WATUHUMIWA sita wa kumiliki Blogs, Televisheni na Radio za Mitandaoni bila vibali vya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakiwemo watangazazji...
READ MOREMahakama ya Hakimu Mkazi kisutu imewapandisha kizimbani, Benedict Kadege na Shafii Dauda wakikabiliwa na shtaka la kutumia maudhui mtandaoni bila...
READ MOREWATU watano wakiwemo Soudy Brown, Shafii Dauda, Sudi Kadio, Benedict Kadege na Michael Mlingwa wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
READ MOREWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza tume ya watu saba itakayoshughulika na uchunguzi wa ajali ya Kivuko cha Mv Nyerere, iliyotokea...
READ MOREWATANGAZAJI wa Clouds Media, SoudyBrown, Shaffih Dauda, msanii Maua Sama, mpigapicha, MX, mshereheshaji MC Luvanda na watuhumiwa wengine wamefikishwa katika...
READ MOREWATANGAZAJI wa Clouds Media, Soudy Brown, Shaffih Dauda, msanii Maua Sama, mpigapicha, MX, mshereheshaji (MC) Luvanda na watuhumiwa wengine, leo wamepandishwa...
READ MORETUKIO la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere kisiwani Ukara Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, limeathiri kada mbalimbali za Watanzania...
READ MORERais Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Eng. Kamwelwe kutangaza zabuni haraka kwa ajili ya...
READ MOREMbunge wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye amenusurika kifo baada ya gari aina ya Land cruiser VX...
READ MOREMBUNGE wa Ukerewe, Joseph Mkundi ambaye alitoa tahadhari kwa serikali na kuikumbusha kukarabati kivuko cha MV Nyerere kabla hajisababisha maafa,...
READ MOREMWILI wa marehemu Celina Sulubu, mkazi wa Lubambawe wilayani Mkuranga, mkoani Pwani umefukuliwa kwa taratibu za kisheria baada ya mumewe...
READ MORERais Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi...
READ MORENAIBU Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambaye ni Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega, ametoa salamu za pole...
READ MORENi ngumu sana kuamini kama mtu anaweza kunusurika katika ajali ya MV Nyerere iliyotokea huko Kisiwani Ukara wilayani Ukerewe...
READ MOREWAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amesema wanaotumia ajali ya Kivuko cha #MVNyerere kama mtaji wa kisiasa watakamatwa na kuchukuliwa...
READ MOREKWA mujibu wa Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Eng. Isack Aloyce Kamwelwe amesema idadi ya miili ya watu waliofariki dunia katika...
READ MOREMwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amelaani vikali tukio la viongozi wake wa Wilaya ya Kibiti na...
READ MOREWANAWAKE wawili ambao ni mtu na shangazi yake, Kija Lushanga (70) na Pendo (40) ambaye jina la baba yake halikufahamika...
READ MOREIKULU imeeleza kuwa siku ya Jumatatu tarehe 24 Septemba, 2018, itakuwa ni siku ya kazi kama kawaida. Siku 4 alizotangaza...
READ MOREMMOJA wa watu walionusurika kwenye ajali ya kuzama kwa MV Nyerere, Mchori Bulola amesema chanzo cha ajali hiyo ilikuwa ni...
READ MORE#BreakingNews: Mhandisi wa Kivuko cha MV Nyerere kilichopata ajali ya kuzama katika Ziwa Victoria juzi, Alphonce Augustino Cherehani ameokolewa muda...
READ MOREKiongozi wa Kiroho wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Papa Francis ametuma salamu za Rambirambi kwa Watanzania kufuatia ajali ya...
READ MOREWaziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema mazishi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya Mv.Nyerere iliyotokea...
READ MORERais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaonya wanasiasa kutumia tukio la msiba wa jali ya MV Nyerere...
READ MORERais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameagiza Bendera ya Taifa kupepea nusu mlingoti kwa siku nne kuanzia...
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili katika kisiwa cha ukara ukerewe mkoani Mwanza kutoa pole kwa wafiwa na majeruhi wa ajali...
READ MOREWAKATI Simanzi na majonzi vimetawala kwa Taifa zima kutokana na ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kiliyozama jana katika Ziwa...
READ MOREUZINDUZI wa vinywaji vya Juice Kingdom tawi la Tabata- Segerea umeandika historia ya aina yake kwa kukusanya umati mkubwa wa...
READ MOREMAJONZI MAZITO! Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Issack Kamwelwe amesema uokoaji wa miili ya waliofariki dunia baada ya...
READ MOREKAMUNI ya Kiganjani Sercices Ltd imekuja na huduma yake mpya ijulikanayo kama ‘Kopa Umeme Kiganjani Mwako’ ambayo imetambulishwa...
READ MORE16:00 – Idadi ya miili iliyoopolewa yafika 126 Idadi ya miili iliyoopolewa kwenye kivuko cha Mv Nyerere imefikia 125 mpaka...
READ MOREMwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amezungumzia kuhusu uokoaji wa wa Wananchi waliozama kwenye ajali ya MV Nyerere iliyotokea jana...
READ MOREUNAWEZA kusema ni kama alitabiri ajali ya MV Nyerere iliyotokea jana katika ziwa Victoria, ni kutokana na Mbunge wa Ukerewe...
READ MORERais Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi na pole kutokana na ajali ya kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere...
READ MOREHABARI zisizothibitishwa zimeeleza kuwa watu kadhaa wamefariki baada ya kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na...
READ MOREUnited Bank for Africa (UBA) leo imezindua huduma mpya ya chatbot inayojulikana kama LEO ikiwa ni ya kwanza...
READ MOREYametimia! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kukabidhiwa zawadi kwa washindi wa droo za mwisho za Shindano la Tusua Maisha, zoezi...
READ MORENaibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula amezitaka Taasisi za fedha pamoja na waendelezaji...
READ MOREMkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Athuman Kihamia, amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
READ MORE