×

Kitaifa

Mjue Mbuzi Damasi Anayefanya Ulinzi, Anakula Maandazi, Nyama, Wali

KAMA ulikuwa hufahamu chukua hii! Mzee Antony Mwandulami mkazi wa Mkoa wa Njombe Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania anafuga...

READ MORE

Rais Magufuli: Ole Wenu… Mtazitapika Hizo Bilioni 3.7 – (Video)

Rais Dkt. John Magufuli amesema atalipa mishahara ya wafanyakazi wa Marine Service kiasi cha Ths. Bilioni 3.7 wanazoidai serikali ndani...

READ MORE

SERIKALI KUPAMBANA NA MIMEA VAMIZI NGORONGORO

    SERIKALI imeazimia kurudisha ikolojia ya hifadhi ya Ngorongoro katika mazingira yake ya asili na kusisitiza kuwa shughuli zote...

READ MORE

Waziri Mavunde azindua Muonekano Mpya wa Chupa ya K-Vant

  Kampuni ya Mega Beverage Company Limited,ya mkoani Arusha, inayotengeneza pombe kali  chapa maarufu ya K Vant, imezindua chupa mpya za...

READ MORE

Lugola Afunguka Mgambo Kupiga Wananchi, Walimu Kutesa Wanafunzi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amelaani tukio lililofanywa na Mgambo wa Jiji la Dar es salaam...

READ MORE

Ngalya: Hivi Chadema Mtahesabu Kura Zipi – Video

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezindua kampeni zake za uchanguzi mdogo wa udiwani katika Kata ya Kizota Jijini Dodoma, baada ya...

READ MORE

WOSIA wa Mzee Majuto kwa Mtoto Wake Hamza Majuto – Video

MTOTO wa aliyekuwa muigizaji nguli wa vichekesho nchini, Amri Athumani maarufu kwa jina la ‘King Majuto’, Hamza Athumani ambaye hivi...

READ MORE

MWANAFUNZI ALIYEZIRAI KWA KIPIGO CHA MWALIMU ATOKA HOSPITALI

Mwanafunzi wa Dhule ya Sekondari ya Kalangalala mkoani Geita, Jonathan Mkono aliyepigwa na mwalimu wake na kulazwa hospitalini, ameruhusiwa kutoka...

READ MORE

WAVUVI KUNDUCHI WAOMBA KUUZIA SAMAKI SOKO LA FERI

WAVUVI wanaofanya shughuli zao katika eneo wa Kunduchi jijini Dar es Salaam, wameiomba Manispaa ya Kinondoni kuwaruhusu kwenda kufanyia biashara...

READ MORE

JAJI AASA KUHUSU JUU YA KUENDELEZA MRADI WA MABORESHO

  WATUMISHI wa Mahakama ya Tanzania wamekumbushwa kuendeleza na kuthamini maboresho yanayoendelea ndani ya Mahakama kupitia Mradi wa Maboresho ya...

READ MORE

Meya Dar Ataka Kiswahili Kifundishiwe Sekondari, Vyuo

MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, ameishauri serikali kuanza kutumia lugha ya Kiswahili katika kufundisha masomo...

READ MORE

MIAKA 54 YA JWTZ: JENERALI MABEYO, MAKONDA WAFANYA USAFI

Wakuu hao wakiwa mstari wa mbele katika zoezi hilo.   MKUU wa Majeshi yaUlinzi nchini (JWT), Venance Salvatory Mabeyo na...

READ MORE

Hatimaye Bobi Wine Apelekwa Marekani Kutibiwa – Video

MBUNGE wa Kyadondo nchini Uganda, ambaye inadaiwa aliteswa na maafisa wa usalama, Robert Kyagulanyi maarufu kwa jina Bobi Wine tayari amesafirishwa kwenda nchini...

READ MORE

Mnunuzi Makontena ya Makonda Afunguka Mazito – Video

MWANANCHI mmoja ambaye amejitokeza kwenye mnada wa kununua makontena yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul...

READ MORE

FAMILIA YA MWALIMU NYERERE YARIDHIA MSITU WA MWALIMU KUHIFADHIWA

      SERIKALI imesema iko tayari kutangaza katika Gazeti la Serikali msitu wa Mwalimu Nyerere uliopo Butiama Mkoani Mara...

READ MORE

CCM Yafanya Uchaguzi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Umoja wa Vijana wa CCM unapenda kuujulisha umma wa Watanzania na wanachama wote kwa ujumla...

READ MORE

MAKONTENA YA RC MAKONDA YASHINDIKANA KUUZWA – VIDEO

MNADA wa makontena 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda umefanyika leo Jumamosi, Septemba 1, 2018...

READ MORE

Gari la Waziri Nusura Liue Mwendesha Baiskeli

MKAZI wa Kata ya Ngogwa, wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Marco Charles (48), amenusurika kifo baada ya kugongwa na gari lenye...

READ MORE

Dar: Mgambo Washusha Kipigo Hevi kwa Raia Kisa Usafi – Video

IKIWA ni saa chache baada ya video kusambaa katika Mitandao ya Kijamii ikionyesha askari mgambo wakimpiga kijana Robson Orotho anayedaiwa...

READ MORE

ALICHOKISEMA RC PAUL MAKONDA LEO – VIDEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amevitaka vyama vyote vya siasa vinavyoendelea na Kampeni za Uchaguzi wa...

READ MORE

Hamza Majuto: Magufuli Aliniteua Nikiwa Kwenye Daladala – Video

GLOBAL TV imefunga safari mpaka katika Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani kwa ajili ya kumtembelea na kuzungumza na Katibu...

READ MORE

Wanafunzi Waandamana Mwenzao Kupigwa na Mwalimu Hadi Kuzirai

WANAFUNZI wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Kalangalala mkoani Geita wameandamana kwenda kwenye ofisi ya Mkuu wa...

READ MORE

TAARIFA MUHIMU KUTOKA OFISI YA RC MAKONDA

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam inashangazwa na taarifa zinazo sambaa mtandaoni juu ya kuwepo kwa Mkutano...

READ MORE

Hofu Mauaji ya Albino Yaongezeka Kuelekea Uchaguzi wa 2020 – Video

HOFU ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini inadaiwa kuongezeka hasa kuelekea katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka...

READ MORE

Mtoto Kuuawa kwa Kipgo, Mkuu wa Shule, Makamu, Afisa Elimu Wasimamishwa

KIFO cha mwanafunzi wa shule ya msingi Kibeta Siperius Eradius aliyedaiwa kuuawa na mwalimu wake kimeondoka na walimu watatu huku...

READ MORE

JPM AWASHA MOTO MAKONTENA YA MAKONDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wote nchini kutekeleza majukumu yao kwa...

READ MORE

Kimenuka! JPM Ataka Makonda Ayalipie Kodi Makontena Yake- Video

Rais John Magufuli ashangazwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingiza makontena 20 nchini...

READ MORE

MAKONTENA YA MAKONDA KUPIGWA MNADA JUMAMOSI

BAADA ya kushindikana kuuzwa kkwenye mnada wa kwanza kutokana na wateja kutofika bei, mnada wa pili wa makontena 20 yenye...

READ MORE

RC HAPI: Hata Msigwa Anaweza Kurudi CCM – Video

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ally Salum Hapi, leo Alhamisi, Agosti 30, 2018 ametembelea ofisi za makampuni ya Global Group...

READ MORE

Daktari Bingwa Atumwa Kuchunguza Mwili wa Mtoto Aliyeuawa Kagera

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha mwalimu mmoja katika...

READ MORE

RC ALLY HAPI AAHIDI MAKUBWA IRINGA

Ally Hapi akiongea jambo katika ofisi za Global Group. MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ali Hapi,  amesema anatarajia kuufanya mkoa...

READ MORE

RC Ally Hapi Atembelea Ofisi za Global Group – Pichaz

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ally Salum Hapi,  leo Alhamisi, Agosti 30, 2018 ametembelea ofisi za makampuni ya Global Group...

READ MORE

MAZISHI ya MAMA ‘SUGU’, Mbowe, Msigwa Wanena Mazito! – Video

MAMA mzazi Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi, Bi. Desderia aliyefariki dunia katika Hospitali yaTaifa ya Muhimbili, amezikwa jana...

READ MORE

RAIS WA ZIMBABWE AMTEUA JENERALI MWAMUNYANGE

RAIS Emmerson Mnagangwa wa Zimbabwe, amteua Mkuu wa Majeshi wa Tanzania Mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange katika Tume ya Kutathmini Athari...

READ MORE

Askari Polisi Wawili Wafukuzwa Kazi Mwanza

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Jonathan Shana, amewafuta kazi askari polisi wawili jijini humo...

READ MORE

Mikataba ya Majuto, Kanumba, Wastara, Mwakyembe Afunguka – Video

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe ametoa ufafanuzi juu ya mikataba ambayo alikuwa anaingia msanii wa vichekesho...

READ MORE

MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR  YAZINDUA PROGRAMU YA KUELIMISHA WATEJA WAKE

  Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imezindua rasmi programu maalum ya kuzungumza na wateja wake kwa lengo la...

READ MORE

KAKA wa LISSU: Huyu Musiba ni Nani Asikamatwe? – Video

KAKA wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), Alute Mughwai Lissu, amesema mwanaharakati Cyprian Musiba anapaswa kukamatwa na kushtakiwa...

READ MORE