×

Kitaifa

GLOBAL HABARI: SUMAYE AICHARUKIA TUME YA UCAGUZI

WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa CHADWMA Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia...

READ MORE

WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI WA LESOTHO ATEMBELEA MRADI WA DART

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho, Mhe. Lehlohonolo Moramotse (wa tatu kulia) akisisitiza jambo akiwa kwenye moja ya Mabasi yaendayo...

READ MORE

DC ILALA AZINDUA UTARATIBU KUWATAMBUA MACHINGA KARIAKOO

  MKUU  wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, leo amezindua utaratibu maalumu wa kuwatambua wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama Wamachinga  kwa...

READ MORE

WASTARA AANZA RASMI MATIBABU INDIA – PICHAZ

Msanii wa filamu za Bongo, Wastara Juma, tayari ameshawasili nchini India na kuanza rasmi matibabu ya mguu wake katika Hospitali...

READ MORE

Breaking News: Moto Wateketeza Maduka Mbagala – Video

Moto umelipuka na kuteketeza maduka zaidi ya 10 katika maeneo ya Mbagala -Rangi Tatu, Raound About ya kuelekea Charambe, mchana...

READ MORE

Aliyekamatwa na Mabilioni Airtport Aachiwa Huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru na kumrudishia fedha zake, Winfred Busige (33), raia wa Uganda aliyekamatwa akisafirisha fedha...

READ MORE

Nassari Kortini kwa Tuhuma za Kumpiga Diwani

Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Joshua Nassari leo Februari 6, 2018 amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya...

READ MORE

Bilionea Aliyefunga Ndoa na Wake Wawili kwa Mpigo Aanika Alichofanyiwa na TRA

Ili kuisoma Exclusive hii…. ingia #GlobalPublishersApp. Kama huja-install tumekurahisishia sana, Install #GlobalPublishersApp sasa na uingie kwenye MENU ya MAGAZETI utasoma kila...

READ MORE

SHEHE MKUU AMVAA MANGE, AMPA MWAKA MMOJA – VIDEO

  SHEHE  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa amemuonya mwanaharakati maarufu, Mange Kimambi kwa madai kuwa amemporomoshea...

READ MORE

JPM, JK, Lowassa Walivyomzika Mzee Kingunge – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya...

READ MORE

Mwili wa Mzee Kingunge Waagwa Dar – Pichaz

MWILI wa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Mzee kingunge Ngombale Mwiru umeagwa leo asubuhi katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar...

READ MORE

JK na Lowassa Waungana na Waombolezaji Kuaga Mwili wa Kingunge

  RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na aliyekuwa Waziri Mkuu wake kabla ya kujiuzulu, Edward...

READ MORE

Breaking News: Mwanasheria Mkuu wa Serikali Aapishwa Rasmi Bungeni

NAIBU Spika wa Bunge, Dkt.  Tulia Ackson amemwapisha Mmwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dkt. Adelardus Kilangi bungeni na kumkabidhia vitendea...

READ MORE

Mke wa Majuto Akesha Akimuombea Mumewe

  MKE wa mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athuman ‘Majuto’, Aisha Yusuf amesema kuwa siku za hivi karibuni alipoanza kuugua tena...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU, FEB 5, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Feb 5, 2018. Ni yale ya...

READ MORE

Maradona Yamkuta Kisa Kumtusi Trump

  NYOTA wa zamani wa soka nchini Argentina, Digo Maradona amenyimwa kibali cha kuingia nchini Marekani baada ya kudaiwa ‘kumtusi’...

READ MORE

GLOBAL HABARI: JPM AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, amemwapisha Dkt. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali...

READ MORE

EXCLUSIVE: KIZAAZAA MSIKITINI, IMAMU APOTEA KIMAAJABU, WAUMINI WATIMKA

KIZAAZAA cha aina yake kimeukumba msikiti wa Tawba uliopo Makongo Juu jijini Dar baada ya Imamu wa msikiti huo, anayefahamika kwa...

READ MORE

WAKAZI WA SALANGA WALALAMIKIA UBOVU WA BARABARA YA KING’ONGO-KIMARA

    WAKAZI wa Kimara Matosa wanaopita katika barabara ya King’ongo kuelekea maeneo ya Goba jijini Dar es Salaam, wamelalamikia...

READ MORE

Lowassa: Nitaukumbuka Moyo wa Mzee Kingunge – Video

  WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Ngoyai Loowassa ameeleza kusikitishwa kwake na kifo cha aliyekuwa...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAMOSI, FEB 3, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Feb 3, 2018. Ni yale ya...

READ MORE

HAPATOSHI… John Heche ‘Awasha Moto Bungeni’ Kisa Ufisadi – Video

IKIWA ni mwendelezo wa vikao vya mkutano wa 10 wa Bunge la 11, vionavyoendelea katika makao makuu ya nchi mjini,...

READ MORE

Basi la Abiria Laanguka na Kuua

  BASI la abiria mali ya kampuni ya Tahmeed coach linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda nchini...

READ MORE

RC WA NYERERE ALIA KUTAPELIWA NYUMBA KURASINI

  MZEE  Juma Waziri Juma ambaye aliwahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini enzi za utawala wa Mwalimu Julius Nyerere,...

READ MORE

JPM kutunuku Kamisheni kwa Maofisa wa JWTZ, Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli kesho tarehe 03 Februari, 2018 atawatunuku kamisheni...

READ MORE

Wanafunzi Royal College – Dar Waandamana

  WANAFUNZI wa Chuo cha Uandishi wa Habari cha jijini Dar es Salaam, Royal College of Tanzania leo wameandamana wakipinga...

READ MORE

BREAKING: TAKUKURU Yawanasa Watumishi Feki wa ‘Ikulu’

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imewakamata watumishi feki watatu waliokuwa wakifanya matukio kwa kutumia jina la...

READ MORE

Mtoto wa Rais Akutwa Amejiua

Havana: MTOTO wa kiume wa kwanza wa aliyekuwa rais wa Cuba, Fidel Castro, aitwaye Fidel Ángel Castro Díaz-Balart (68) jana alikutwa amejiua...

READ MORE

Mzee Kingunge Kuzikwa Jumatatu Dar

MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru anatarajiwa kuzikwa Jumatatu Februari 5, 2018 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti...

READ MORE

Kingunge, Mkewe Tangu Ujana Hadi Kaburini

KUFUATIA kifo cha mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya taifa Muhimbili,...

READ MORE

TAARIFA YA FAMILIA KUHUSU MSIBA WA MZEE KINGUNGE

  KINJEKITILE Ngombale Mwiru ambaye ni mtoto wa mwanasiasa mkongwe nchini, marehemu Ngombale Mwiru ambaye amefariki leo asubuhi katika Hospitali...

READ MORE

DENTI AUAWA KWA UMEME AKICHAJI SIMU BAFUNI

Kseniya wakati wa uhai wake.  Msichana huyo alikutwa akiwa amezimia kabla ya kufa akiwa katika jakuzi alilokuwa akiogea huku simu...

READ MORE

BREAKING NEWS: PATROBAS KATAMBI Awalipua ‘CHADEMA’

  Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la vijana la Chama cha Demookrasia na Maendeleo-CHADEMA ambaye hivi karibuni alikihama chama hicho...

READ MORE

Zanzibar: Ndege ya NIT Yaaguka na Kuuwa Marubani

Marubani wawili wamefariki Dunia katika ajali ya ndege wakati wa kurusha ndege baada ya matengezo katika Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE