×

Kitaifa

Babu wa Miaka 76 Azua Gumzo, Aweka Bango la Akitafuta Mwanamke wa Kuoa!

DAR ES SALAAM: Katika  hali isiyo ya kushangaza mzee mwenye umri wa miaka 76, Athuman Mchambua, mkazi wa Mtoni kwa...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumatano Desemba 7, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 07, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Diamond Aibuka na Majina 7 kwa Mtoto Wake Mchanga Aliyezaliwa Leo, Aomba Mashabiki Wamchagulie Moja

Pretoria, Afrika Kusini: BAADA ya taarifa kusambaa kwenye social media kuwa msanii wa Bongo Fleva hapa nchini, Nasbu Abdul “Diamond...

READ MORE

Video: JPM Aagiza Machinga Wasiondolewe Katikati ya Jiji la Mwanza, Wachimbaji Wadogo Shinyanga

06 DESEMBA 2016 RAIS MAGUFULI AAGIZA WAMACHINGA WASISUMBULIWE

READ MORE

Diamond na Zari Wamepata Mtoto wa Kiume Leo Des. 6, Bofya Hapa Kuona Pichaz

Pretoria, Afrika Kusini: TAARIFA njema kwa mashabiki wa msanii wa Bongo Fleva hapa nchini, Nasbu Abdul “Diamond Platnumz” ambaye leo...

READ MORE

Mkurugenzi Maelezo: Serikali Inaitambua Mitandao ya Kijamii

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali (katikati) Dk. Hassan Abbas, akizungumza jambo wakati akifungua semina hiyo....

READ MORE

Mukandala Aongezewa Muda UDSM

MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ambaye ni Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete baada...

READ MORE

Ajali ya Lori na Hiace Yaua Watu 9 na Kujeruhi 18, Iringa

IRINGA: Watu tisa wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea eneo la Ifunda mkoani Iringa...

READ MORE

JPM Akutana na Mkurugenzi wa Mauzo wa Kamupuni ya Ndege wa Boeing, Aagana na Balozi wa Cuba & Mwakilishi wa AFDB

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Desemba, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo...

READ MORE

CCM Kufanya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa Des 11-12

DAR ES SALAAM: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitakuwa na kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa...

READ MORE

Aliyekuwa Daktari wa Mwinyi, Profesa Mtulia Afariki Dunia

DAR ES SALAAM: Habari zilizotufikia kutoka Hospitali ya Tumaini zinasema kwamba Profesa Idris Ali Mtulia amefariki dunia usiku wa kuamkia...

READ MORE

Waziri wa Michezo, Nape Atuma salamu za Rambirambi Kifo cha Mchezaji Ismail wa Mbao FC

SOKA: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu mchezaji...

READ MORE

Kikosi Cha Azam Kuhamia Kujiweka Sawa

Wachezaji wa Azam wakifanya mazoezi. Kikosi cha Azam FC, kesho kutwa Jumatano kinatarajiwa kwenda visiwani Zanzibar kuweka kambi ya muda...

READ MORE

Dogo Janja Afiwa na Baba yake Mzazi

Msanii anaesimamiwa na Tip-top Connection inayoongozwa na Madee,anamasikitiko makubwa kwa mumpoteza baba yake  mazazi, Dogo Janja ametumia ukurasa wake wa...

READ MORE

Etihad Yasherehekea Mwaka Mmoja wa Mafanikio Yake Tanzania

Grace Kijo, Mratibu wa Masoko wa Shirika la Ndege la Etihad nchini Tanzania akigawa chokoleti kwa abiria siku ambayo shirika...

READ MORE

Makampuni 5 ya Yusuf Manji Yaondolewa Jengo la Quality Plaza, Apewa Siku 14 Kulipa Deni la Bil 13

Hatimaye makampuni matano yanayomilikiwa na Mfanyabiashara maarufu nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa timu ya Yanga, Yusuf Mehboub Manji  yameondolewa...

READ MORE

Mchezaji wa Mbao FC Agongana na Mchezaji wa Mwadui FC, Afariki Uwanjani!

Mshambuliaji wa timu ya vijana ya Mbao FC U-20 ya mkoani Mwanza, Ismail Mrisho Khalfan anayevalia jezi nambari 4 amefariki...

READ MORE

Mzee wa Upako: Tajeni Nilikunywa Pombe Gani na Katika Baa Gani

DAR ES SALAAM: Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ baada ya kudaiwa kumfanyia fujo jirani...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu ya Disemba 5, 2016

  Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 05, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE

Rais Magufuli Asikitishwa na Taarifa za Uongo Kuwa Amezuia Mizigo ya Mama Salma Kikwete Bandarini

RAIS Dk. John Pombe Magufuli ameeleza kusikitishwa kwake na uzushi unaofanywa kwa lengo la kumchafua Rais Mstaafu wa Awamu ya...

READ MORE

Serikali Yakanusha Tetesi za Katibu Mkuu Utumishi wa Umma, Dkt. Ndumbaro Kujiuzulu

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro. KANUSHO: Serikali imekanusha tetesi katika mitandao ya...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili Desemba 04, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 04, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Waziri Mhagama Aongoza Maadhimisho Ya Kitaifa Ya Watu Wenye Ulemavu

Waziri Jenista Mhagama akisoma hotuba yake katika maadhimisho hayo. Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA),...

READ MORE

Shehe Mkuu Wa Mkoa Wa Dar Atembelea Global Publishers

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum (katikati) akiwa na wafanyakazi wa Global Publishers juzi alipowatembelea...

READ MORE

Polisi Yakamata Watuhumiwa 586 Dar

Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro akizungumza na wanahabari. Sirro akiwaonyesha wanahabari baadhi ya vitu...

READ MORE

Lema Akata Tamaa ya Rufaa ya Dhamana, Adai Yuko Tayari Kusota Rumande, Kesi Yake Kutajwa Februari Mwakani

NA MWANDISHI WETU, ARUSHA: Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) leo Desemba 2, 2016, amewataka mawakili wake kutokukata rufaa...

READ MORE

NMB Yadhamini Semina ya Bloggers

Ofisa Uhusiano wa Benki ya NMB, Doris Kilale (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya milioni kumi Mwenyekiti wa Wamiliki wa...

READ MORE

Serikali Yairuhusu Yanga kutumia Uwanja wa Taifa

Serikali imesaini Mkataba na Klabu ya Yanga kutumia Uwanja Mkuu wa Taifa pamoja na Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya...

READ MORE

Vikongwe Wafanya Ibada Kusherehekea Miaka 60 ya Ndoa Yao

Padre wa Kanisda Katoriki, Parokia ya Roho Mtakatifu, Kiwanja cha Ndege, Mjini Morogoro, Fr. Melkades Mogella (kushoto) akiongoza ibada ya...

READ MORE

Idris Aingilia Bifu la Diamond, Dimpoz, Kiba

MUSA MATEJA, Dar es Salaam WAKATI gumzo la mvu­tano na kutupi­ana vijembe kwa wasanii watatu, Diamond Plat­numz, Ommy Dimpoz na...

READ MORE

Mvua Yaharibu Makazi ya Kaya Zaidi ya 100, Butiama

BUTIAMA: Mvua kubwa ambayo imeambatana na upepo mkali, imesababisha maafa makubwa katika vijiji vitatu vya wilaya ya Butiama mkoani Mara...

READ MORE

Twaweza: Asilimia 88 ya Wananchi Wataka Bunge Lirushwe Live

Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza, Aidan Eyakuze, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). DAR ES SALAAM: UTAFITI wa taasisi ya Twaweza umeonyesha...

READ MORE

Kesi ya Vijana 7 wa Chadema ya Ukusanyaji Matokeo ya Uchaguzi 2015 Yafutwa

DAR ES SALAAM: Kesi ya ukusanyaji matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 iliyokuwa ikiwakabili vijana saba wa Chama Cha...

READ MORE

Kesi ya Shehe Mpemba Kinara wa Meno ya Tembo Aliyetajwa na Rais Magufuli Yapigwa Kalenda

DAR ES SALAAM: KESI inayomkabili mtuhumiwa wa makosa ya kukamatwa na nyara za serikali, Yusuf Ali Yusuf maarufu kama Shehe...

READ MORE