×

Kitaifa

Pichaz: Daraja la Waenda kwa Miguu la Furahisha Jijini Mwanza

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (aliyeko mbele) akikagua daraja hilo. MWANZA: Ujenzi wa daraja la waenda...

READ MORE

Mbunge Kuwasaidia Wamachinga Mwanza Kufungua Kesi ya Madai

MANZA: Siku nane baada ya Rais John Pombe Magufuli kuagiza kusitishwa mara moja kwa zoezi la kuwahamisha wafanyabiashara ndogondogo maarufu...

READ MORE

Aliyetobolewa Macho na ‘Scorpioni’ Aanza Kutoa Ushahidi Mahakamani

NA DENIS MTIMA | GPL; Dar es Salaam: KESI ambayo imekuwa ikivuta hisia za watu wengi jijini Dar na maeneo...

READ MORE

Mwanachuo Aliyejifanya Shilole Apandishwa Kizimbani

  Thomas Lucas Magula ‘Shilolekiuno_official’ (katikati), akiwa ameshikiliwa na polisi wakati wa kupandishwa kizimbani. Na Musa Mateja HATIMAYE lile sakata...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumatano Desemba 14, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 14, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Kamanda Sirro: Aliyetishwa na Kauli ya Mzee wa Upako Afungue Kesi

DAR ES SALAAM: Polisi  Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemtaka yeyote anayeona kuwa kauli iliyotolewa na Mchungaji Kiongozi wa...

READ MORE

JPM Amteua Dkt Kazungu Kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, jana tarehe 13 Desemba, 2016 amemteua Dkt. Khatib M....

READ MORE

Serikali Yatangaza Ajira za Walimu wa Sayansi na Hisabati

SERIKALI imetangaza kuajiri walimu wa masomo ya sayansi na hisabati katika shule za sekondari ambao wametakiwa kupeleka nakala za vyeti...

READ MORE

Wateja wa Vodacom Kulamba Bilioni 5 Kupitia Nogesha Upendo

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (katikati) akizungumza jambo katika hafla hiyo. Kutoka kushoto ni...

READ MORE

Grand Tech Wajitolea Kujenga Barabara ya Shimo la Udongo kwa Zege

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akijaribu mojawapo ya mashine za kutengeneza barabara ya Kampuni ya Grand...

READ MORE

CCM Yawateua Polepole Kuwa Katibu wa Itikadi & Uenezi, Mpogolo Naibu Katibu Mkuu Bara

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Humphrey PolePole ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi...

READ MORE

Modo Mwenye Figa Ya Kuvutia Sanchoka Atembelea Global TV Online

Modo mwenye figa ya kuvutia nchini Bongo anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya urembo, Sanchoka yeye hupenda kujiita Sanchi akiwa...

READ MORE

Mwanzilishi wa JamiiForums, Maxence Melo Akamatwa na Polisi, Anyimwa Dhamana

DAR ES SALAAM: Mwanzilishi, Mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo, ameitwa na baadaye kuwekwa selo katika Kituo...

READ MORE

Kesi ya Pedeshee Ndama ya Kugushi Nyaraka Yaahirishwa Kisutu

Ndama Shaaban Hussein almaarufu Pedeshee Ndama Mutoto ya Ng’ombe (katikati) akiwa Mahakama ya Kisutu leo. Pedeshee Ndama Mutoto ya Ng’ombe...

READ MORE

Mabadiliko Yaliyofanywa Ndani ya CCM na Halmashauri Kuu Chini ya JPM

Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imekutana leo tarehe 13/12/2016 jijini Dar es salaam kwa kikao cha siku moja cha...

READ MORE

Mapya Yaibuka Kufuatia Miili 6 Kufungwa Kwenye Viroba na Kutupwa Mto Ruvu (Picha+Video)

Mto Ruvu ambapo miili sita ya watu ilikutwa ikielea mnamo Desemba 6, 2016. Mojawapo ya kaburi ilipozikwa baadhi ya miili....

READ MORE

JPM Aanika Mambo 10 ‘Pasua Kichwa’ Ndani ya CCM, Aahidi Kuanza Nayo

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli ameanika mambo 10 ‘pasua kichwa’ (yanayosumbua utendaji na utekelezaji wa...

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Ngusa Samike Kuwa Mnikulu

Rais Dk John Pombe Magufuli (pichani juu) leo maemteua Bwana Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu Ofisi ya Rais, Ikulu. Katika...

READ MORE

China Kujenga Uwanja Wa Kisasa Msoga

PWANI: Serikali ya China imetoa ufadhili wa ujenzi wa uwanja wa Michezo kwa Shule ya Msingi Msoga iliyopo Halmashauri ya...

READ MORE

Sanchoka: ‘Nilimuokota’ Idris Sultan Kwenye Apartment Sauzi, Amfungukia Gigy Money

       MODO mwenye figa la kuvutia anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya urembo, Sanchoka yeye hupenda kujiita Sanchi ameanika namna...

READ MORE

Maneno Tata ya Mzee wa Upako kwa Wandishi wa Habari, Jeshi la Polisi Kutoa Tamko Leo

DAR ES SALAAM: Siku moja baada ya Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu Mzee wa Upako kusema...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumanne Desemba 13, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 13, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Semina Ya Fursa Dar: Mbinu Lukuki za Kujikwamua Zatolewa kwa Washiriki

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akitoa somo kwa wanasemina waliohudhuria. Umati wa watu waliohudhuria...

READ MORE

Shoo Ya EATV 2016 Wasanii Wafunikana Mlimani City, Dar

Mshindi wa tuzo tatu za EATV 2016 katika vipengele vya Video Bora ya Mwaka, Wimbo Bora wa Mwaka na Mwanamuziki...

READ MORE

Alichokisema Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kwenye Sherehe za Maulid, Singida

Katika kusherekea siku ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammed (S.A.W), Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuwatumikia Watanzania...

READ MORE

Haya Ndiyo Yaliyojadiliwa na Kamati Kuu ya CCM Jana, Wasaliti Ndani ya Chama Sasa Roho Juu

DAR ES SALAAM: CCM imeanza mchakato wa kuwashughulikia wasaliti ndani ya chama hicho, walioisumbua kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015....

READ MORE

Mzee wa Upako: Wote Walionichafua Watakufa Mwakani, Wasipokufa Nitaanza Kuuza Gongo

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo, maarufu kwa jina la Mzee wa Upako jana amesema waandishi wote wa...

READ MORE

Sheikh Ponda Amtembelea Godbless Lema Gerezani, Lema Aandika Barua Nzito Akiwa Gerezani

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda amemtembelea Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema katika...

READ MORE

CCM Yakanusha Taarifa Inayosambazwa Kwenye Mitandao Kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa Sekretarieti

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia page yake ya Twitter ...

READ MORE

Nape Nnauye: Tuzo Za EATV Zitafanya Rais Magufuli Aendelee Kuniacha

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kushoto)  akimsikiliza Bonny Love mshindi wa tuzo ya heshima....

READ MORE

Historia Imeandikwa Kwenye Tuzo za EATV Mlimani City

 Host wa tuzo za EATV 2016, Salama Jabir akifanya yake usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar....

READ MORE

Alichokiandika Young D Kuhusu Mtoto Wake Tamar

  Staa wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’Mtoto wake Tamar. Staa wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’ ameyasema...

READ MORE

Baada ya Waziri Mkuu Majaliwa Kukabidhiwa Pembe, Mapya Tena Yaibuka Kifo cha Faru John

Dar es Salaam. Kifo cha Faru John aliyehamishiwa Hifadhi ya Creta ya Ngorongoro kimeendelea kupunguza idadi ya wanyama hao ambao...

READ MORE

Kamati Kuu ya CCM: Leo ni Kikao cha Kwanza kwa Mwenyekiti JPM, Yatakayojadiliwa Yapo Hapa

Dar es Salaam. Kamati Kuu ya CCM inakutana leo huku kaulimbiu ya “Hapa Kazi Tu” ikitarajiwa kutawala kikao hicho cha...

READ MORE

Meli Yenye Malori 600 ya Kiwanda cha Dangote Yawasili Mtwara

MTWARA: Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Dangote Cement Industries ya jijini Mtwara, ambaye pia ni bilionea namba moja Barani Afrika,...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumapili Desemba 12, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 12, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Washindi Wa Tuzo Za EATV 2016 Hawa Hapa, King Kiba Noma, Atwaa Tuzo 3 (Video)

Mshindi wa tuzo tatu za EATV 2016 katika vipengele vya Video Bora ya Mwaka, Wimbo Bora wa Mwaka na Mwanamuziki...

READ MORE

Video: JPM Akutana na Kuzungumza na Bilionea Dangote, Pia Amuapisha Ole Sendeka na Watumishi wa Wizara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Desemba 2016, amekutana na kufanya mazungumzo...

READ MORE

Wanafunzi Vinara wa Insha Afrika Mashariki Kutoka Tanzania Hawa Hapa

Kutoka kushoto ni Sospeter Berling, Alex Joseph, Maria Erick na Hans Frank. Mshindi wa shindano hilo Alex Joseph (kulia) akifanya...

READ MORE