×

Kitaifa

Serikali Yafuta Maadhimisho ya Kitaifa ya Walemavu

DODOMA: Serikali imebatilisha uamuzi wake wa kufanya maadhimisho ya Siku ya Walemavu Kitaifa Jijini Dar es Salaam na kutoa agizo...

READ MORE

Ummy Mwalimu: Katika Watanzania 100, Watano Wana Maambukizi ya VVU

UKIMWI bado ni janga kubwa nchini kwetu. Takwimu zinaonyesha maambukizi ya VVU kwa upande wa Tanzania Bara kuwa ni #asilimia5.3....

READ MORE

Wakazi wa Tabata, Arusha Walamba Mil 46/- za m-Bet

M bet.Washindi wa M-bet,Emmanuel  Katema (kushoto) na Ramon  Mane wakifurahia zawadi yao  wakati walipokabikdhiwa hundi ya mfano ya Sh.Milioni Arobaini...

READ MORE

RPC Kakamba wa Singida Alivyoagwa Dar

Mwili ukiingizwa kanisani. Kutoka kushoto ni Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar, CP Simon Sirro, IGP Mstaafu, Said Mwema na...

READ MORE

Mambo Yazidi Kuwa Magumu kwa Wadaiwa Bodi ya Mikopo, Sasa Kukatwa 15% ya Kipato Chao kwa Mwezi

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mhandisi Stella Manyanya. MAMBO yanazidi kuwa magumu kwa wadaiwa wa mikopo ya...

READ MORE

Majambazi Wavamia Mgahawa, Wapora na Kujeruhi Mwanza

Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza. WATU wanaodaiwa kuwa majambazi wamevamia mgahawa wa Dinners uliopo katika mtaa wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Baba wa Mizengo Pinda

DODOMA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana aliongoza mamia ya waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Mzee Xavery Pinda ambaye ni baba...

READ MORE

Mti Mrefu Zaidi Afrika Wagunduliwa Tanzania

Wanasayansi wanasema kuwa wamegundua kile wanaamini kuwa ni mti mrefu zaidi barani Afrika. Mti huo uko bonde moja lililo Kaskazini...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi Desemba 1, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 1, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Sangoma Auawa Akitaka Kumbaka Mgonjwa

SHINYANGA: Mganga wa kienyeji ‘Sangoma’ aliyejulikana kwa jina la Kashinje Kashinje (55), mkazi wa kijiji cha Singita kilichopo Kata ya...

READ MORE

Washia Waadhimisha Kifo cha Mtume Muhammad kwa Maandamano ya Amani Dar

   WAUMINI wa Dhehebu la Shia nchini, leo wamefanya maandamano ya amani kwa ajili ya kuadhimisha kifo cha Mtume Muhammad...

READ MORE

Taasisi za Serikali, Dini na Kiraia Zatakiwa Kufuata Maadili

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Suzan Mlawi, akizungumza jambo kwenye hafla...

READ MORE

Samia Kuzindua Mkutano wa Wasindika Vyakula Nchini

CHAMA cha wasindikaji  wa vyakula nchini  (Tanzania Food Processors Association  – TAFOPA) kinatarajiwa kufanya mkutano wake wa wadau wa uwekezaji...

READ MORE

Tanzia: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida SACP Kakamba Afariki Dunia

DAR ES SALAAM: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida SACP Peter Kakamba amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, leo...

READ MORE

Wafuasi wa CUF Wavamia Makao Makuu ya Chama Zanzibar

MTENDENI, ZANZIBAR: Wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar leo wamevamia Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho yaliyopo eneo...

READ MORE

Scorpion Aongezewa Shtaka la Kujeruhi, Arudishwa Rumande Hadi Desemba 14

DAR ES SALAAM: Mtuhumiwa anayedaiwa kumtoboa macho Said Ally, Salum Njwete (34) maarufu kama Scorpion leo ameongezewa shtaka lingine la...

READ MORE

Ngome ya Wanawake ACT Yamshitaki RC Makonda kwa Kumdhalilisha Afisa Ardhi Kinondoni

  Ngome ya Wanawake ACT Wazalendo imeitaka Tume ya Maadili na Utawala Bora kufanya uchunguzi na kuchukua hatua dhidi ya...

READ MORE

Rais Lungu Ahitimisha Ziara Yake, Akataa Biashara ya Uswahiba

DAR ES SALAAM: Rais wa Zambia, Edgar Lungu amewataka watendaji wa nchi yake na Tanzania, kuweka siasa pembeni na kujikita...

READ MORE

Selfie ya Diamond Akiwa Amevaa Kichupi Aibu Yake Hii Hapa!

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul  ‘Diamond Platnumz’ amezua sintofahamu kwenye mitandao ya kijamii baada ya jana Jumanne kupost kwenye...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano Novemba 30, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 30, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Ziara ya Kushtukiza Gereza la Ukonga Dar

Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni...

READ MORE

Pedeshee Ndama Kortini Kwa Kugushi Nyaraka na Kutakatisha Bil 1.77

DAR ES SALAAM: Mfanyabiashara wa jijini Dar, Ndama Shaaban Hussein almaarufu Pedeshee Ndama Mutoto ya Ng’ombe, aliyewahi kuwa mfadhili wa...

READ MORE

Chadema Waja na Oparesheni Mpya ‘Kata Funua’

Baada ya kuanzisha na hatimaye kukwama kuitekeleza operesheni ya Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta), Chadema imekuja na nyingine itakayokwenda...

READ MORE

Rais Magufuli na Rais Lungu Kufufua Miradi ya TAZARA na TAZAMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa...

READ MORE

Prof. Ndalichako Akanusha Taarifa ya Wanafunzi wa Diploma Kuzuiliwa Kujiunga vyuo Vikuu

DAR ES SALAA: WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imetoa ufafanuzi kwamba haijapiga marufuku watu wenye Stashahada...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne Novemba 29, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 29, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Kesi ya Mke wa Bilionea Msuya Yaahirishwa Tena

DAR ES SALAAM: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeahirisha kutoa uamuzi wa maombi ya Miriam Msuya aliyekuwa mke wa...

READ MORE

Mbunge Lema Akwama Tena Mahakamani, Arudishwa Rumande Hadi Disemba 2

   ARUSHA: Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema leo amefikishwa tena Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kwa ajili ya kusikiliza...

READ MORE

Watakaoruhusiwa Kujiunga na Vyuo Vikuu Mwakani ni Wenye Sifa Hizi Pekee!

DAR ES SALAAM: Kwa mara nyingine, Waziri wa Elimu nchini Tanzania Profesa Joyce Ndalichako, ametoa tamko linalozua mjadala mkali nchini...

READ MORE

Naibu Meya Shinyanga Ajiuzulu, Awatuhumu Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi kwa Ufisadi!

SHINYANGA: Naibu Naibu Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga, David Mathew Nkulila (CCM) ametangaza kujiuzuru ujumbe wa Kamati ya Fedha...

READ MORE

Prof. Ndalichako: Watumishi Waliosoma Vyuo Vikuu Bila Sifa Kufukuzwa Kazi

DAR ES SALAAM: Baada ya matamko kadhaa kadhaa ya serikali kuhusu Sekta ya Elimu nchini hatimaye leo limeibuka jingine la...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yapeleka Maombi ya Kujiunga na Soko la Hisa (DSE)

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imetangaza dhamira yake ya kuuza hisa kwa umma itakayofuatiwa na   kujiunga kwenye   Soko la...

READ MORE

Hatima ya Dhamana ya Godbless Lema Kujulikana Leo

ARUSHA: Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, leo, anatarajia kujua hatima ya dhamana ya kesi ya uchochezi inayomkabili. Lema...

READ MORE

Mbeya ni Jiji la Pili kwa Wingi wa Madhehebu Afrika Likiongozwa na Lagos

JIJI la Mbeya ni la pili kwa wingi wa madhehebu barani Afrika likiongozwa na Lagos lililopo Nigeria. Kwa mujibu wa...

READ MORE

JPM Awapokea Marais Wawili, wa Chad na wa Zambia, Ikulu Dar

 RAIS John Magufuli jana aliwapokea marais wawili, Edgar Lungu wa Zambia aliyewasili kwa ziara ya kiserikali na Idriss Deby wa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu Novemba 28, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 28, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Kiwanda cha Dangote Chasitisha Uzalishaji wa Saruji Mtwara Kutokana na Gharama Kuwa Juu

MTWARA: Kiwanda cha Saruji cha Dangote huko Mtwara kimesitisha uzalishaji kutokana na gharama kuelemewa na gharama za uendeshaji hivyo kuwaacha...

READ MORE

Maalim Seif: Prof. Lipumba, Jeshi la Polisi, Msajili wa Vyama Wanaihujumu CUF

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba,...

READ MORE