×

Kitaifa

Kilichojiri Katika Mgomo wa Saa 24 Wachezaji wa Yanga

        Meneja wa Yanga akizungumza na watu walio ndani ya gari. Wilbert Molandi na Musa Mateja |...

READ MORE

Ndugu Waitenga Familia ya Mzee Small

Na Gladness Mallya | Risasi Mchanganyiko, Toleo la Desemba 21, 2016 DAR ES SALAAM: Miaka miwili tangu kufariki kwa msanii...

READ MORE

Amissi Tambwe Ampasua Kichwa Kocha Simba SC

Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Hamis Tambwe. Nicodemus Jonas | Gazeti la hampioni Jumatano, Toleo la Desemba 21, 2016 INGAWA...

READ MORE

Watuhumiwa Mauaji ya Bondia Mashali Warudishwa Rumande

Na Gabriel Ng’osha, Gazeti la Risasi Mchanganyiko, Toleo la Desemba 21, 2016 DAR ES SALAAM: Vijana saba wanaoshtakiwa kwa tuhuma...

READ MORE

Haya Ndio Maisha Halisi ya Ben Pol, Mbali na Muziki Sana Analima Vitunguu

   Mwanamuziki mahiri wa Bongo Flava, Bernard Paul ‘Ben Pol’  akiwa na mtoto wake nyumbani kwake Tabata- Aroma, jijini Dar....

READ MORE

Hii Funga Mwaka ya 2016! Kutana na Familia Inayoishi Makaburini Dar

  Makala: Waandishi Wetu | Gazeti la Uwazi, Toleo la Desemba 20, 2016 Dar es Salaam: Unaweza kudhani ni simulizi...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumatano Desemba 21, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 21, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Serikali Yakanusha Kuhusu Kuwazuia Watumishi wa Umma Kukopa Benki

Kumekuwa na taarifa inasambazwa katika mitandao ya kijamii, makundi ya ‘WhatsApp’, ‘Facebook’ na majukwaa mbalimbali ikieleza kuwa Serikali imepiga marufuku...

READ MORE

Godbless Lema Akubaliwa Kukata Rufaa ya Dhamana

ARUSHA: Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imelikubali ombi la  Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema,  la kuongezewa muda wa kuwasilisha...

READ MORE

Ngariba wa Wakurya Dar Aibuka, Awatahiri Watoto Saa 9 Usiku!

Na Gabriel Ng’osha | Gazeti la Uwazi, Toleo la Desemba 20, 2016 TOHARA ni jambo la muhimu na la lazima...

READ MORE

Wambura Ataka Wasanii Kurasimisha Kazi Zao

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura, akizungumza mbele ya wanahabari. Rais wa Taasisi ya...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Viongozi Wapya wa CCM Walioteuliwa Hivi Karibuni na DC Mteule wa Ubungo

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mteule Mhe. Kisare Makori (kushoto) akibadilishana mawasiliano na na viongozi wapya wa CCM walioteuliwa hivi...

READ MORE

Hatari Sana! Vitovu vya Vichanga, Maji ya Maiti Vyauzwa kwa Siri Kubwa, Dar

Na Mwandishi wetu | Gazeti la Uwazi Toleo la Desemba 20, 2016 DAR ES SALAAM: Hatari! Kuna msemo kwamba, kila...

READ MORE

‘Gia’ ya Rais Magufuli Ndani ya Chama Yawakosha Nguvu CCM

Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar, Juma Simba, akizungumza na wanahabari. …Akisikiliza maswali ya wanahabari. Wanahabari...

READ MORE

Mpambano wa Nichane Nikuchane, R.O.M.A Vs Darassa Gumzo ‘Vichwa Kuwaka Moto’, Dar Live

Zimesalia siku 15 tu kufikia Mkesha wa Mwaka Mpya ambapo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo...

READ MORE

Wahifadhi: Hakuna Kaburi La Faru John

Arusha. Sakata na kifo cha Faru John (38), limechukua sura mpya baada ya wahifadhi wa eneo la Sasakwa Singita Grumet...

READ MORE

Baba Mzazi wa Ben Saanane Aliyepotea Kukagua Maiti Iliyowekwa Kwenye Kiroba

KILIMANJARO: Wakati polisi wakisema kuwa wanaufanyia mchakato wa vipimo vya vinasaba (DNA), mwili wa mtu anayedaiwa kuuawa nje kidogo ya...

READ MORE

AjaliYaua Watu Wanne Wakiwemo Polisi Wawili

DODOMA: Watu wanne wakiwamo polisi wawili, wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupindua katika kijiji cha...

READ MORE

Mtoto Miaka 3 Auzwa Akatolewe Kafara!

Stori: Waandishi Wetu, Gazeti la Risasi Jumamosi Dar es Salaam: Ni madai ya kushangaza! Kwamba, baadhi ya wanawake ombaomba waliopiga...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Kaburi la Faru John Litafutwe, Lifukuliwe na Mifupa Yake Ipimwe DNA

ARUSHA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeunda tume kuchunguza taarifa inayoelezea utaratibu uliotumika kumhamisha Faru John kutoka Hifadhi ya...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumatatu Desemba 19, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 19, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Ma Modo 10 Waliosumbua 2016

Hamisa Mobeto Na Mwandishi Wetu|Gazeti la Ijumaa Kwenye ulimwengu wa burudani, wapo wadada wanaofahamika kwa jina la Video Queen. Kwa...

READ MORE

Denti Udsm Alia Miguuni Kwa Shigongo

Watoa mada wakiongozwa na Shigongo katika maombi. Kijana Haleluya akimuangukia jukwaani. …Shigogo akimuangalia kijana huyo. …Akiongea jambo. Haleluya akizungumza na...

READ MORE

Uzinduzi wa ‘Yamoto Taarab’ Watia Kiwewe Mashabiki Dar Live

 Kundi la Yamoto likiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wao, Saidi Fela. Mwanamuziki wa Yamoto Taarab, Fatuma Mcharuko, akitunzwa...

READ MORE

Said Fella, ‘Upendo Ni Mimi’ Wachangia Damu Temeke

Wanachama wa Taasisi ya Upendo ni Mimi wakichangia damu katika Hospitali ya Temeke. NA GABRIEL NG’OSHA/GPL Said Fella, ‘Upendo Ni...

READ MORE

Miss Kachumbari wa Kachumbari Show apatikana

Mshindi wa Miss Kachumbari, Anna Mbawala akiwa amepozi baada ya kuibuka mshindi. …Akiwa na warembo wengine. Msanii chipukizi wa Bongo...

READ MORE

Wajasiriamali Wafurika Semina Ya Wezesha Mzawa

  Meza kuu kutoka kushoto ni Mtaalamu wa Kilimo na Ufugaji wa Samaki, mzee Moshi Macmillan, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni...

READ MORE

Wanamuziki Waliovuma 2016

Darassa Alianza kuvuma zaidi kuanzia Januari alipoibuka na Wimbo wa Kama Utanipenda kisha akatoa Heya Haye na Too Much. Kwa...

READ MORE

Tumbuatumbua ya Magufuli yailiza tena familia ya Malecela!

  Rais John Magufuli Matamko yawaponza Anne na Mwele Na Walusanga Ndaki/GPL DHAMIRA ya Rais John Magufuli kutaka kuwarudisha Watanzania...

READ MORE

Mambo mawili ya kumtoa machozi Sanchi

Na Imelda Mtema, Gazeti la Ijumaa Mwanamitindo ambaye hivi karibuni amekuwa gumzo kutokana na umbo lake, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefungukia...

READ MORE

Skendo 10 Za Mastaa zilizotikisa 2016

Modo mwenye figa ya kuvutia nchini Bongo anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya urembo, Sanchoka. Na Mwandishi Wetu | Gazeti...

READ MORE

Lwandamina Aanzia Kileleni, Yanga 3- 0 JKT Ruvu Uwanja Wa Uhuru

Kikosi cha timu ya Yanga kilichoanza dhidi ya JKT Ruvu katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar. Yanga walishinda bao 3...

READ MORE

Makamu wa Rais: Kila Jumamosi ya Pili ya Mwezi ni Siku ya Mazoezi Nchi Nzima

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa muda wa miezi Mitatu kwa halmashauri zote...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumapili Desemba 18, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 18, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

CCM yashinda Umeya Manispaa Mpya ya Kigamboni -Dar

Uchaguzi  wa kumpata Meya wa Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam, umefanyika na hatimaye Diwani wa Kata ya Pemba...

READ MORE

Kanda Ya Kati Waitaka Nyumba Mpya Ya Pili Ya Global

Nyumba ya Global aliyojishindia Nelly Mwangosi. GLOBAL Publishers, kampuni namba moja ya uchapishaji wa magazeti Tanzania, imetangaza nia yake ya...

READ MORE

Madai, Dude Ahamia Rasmi kwa Ester Kiama

      Stori inatoka Gazeti la AMANI DAR ES SALAAM: Kweli OFM Kiboko! Kumekuwepo na madai kwamba, mwigizaji nyota wa sinema...

READ MORE

Baada ya Mkurugenzi wa NIMR Kutumbuliwa, Prof. Kitila Mkumbo Ameyasema Haya

BAADA ya kutenguliwa kwake na Rais Dkt. John Magufuli, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu, NIMR,...

READ MORE

Ngassa Kama Utani Katua Mbeya City

Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Fanja FC, Mrisho Ngassa enzi akiwa Yanga. Wilbert Molandi,Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji wa zamani...

READ MORE

Breaking News: Mbuge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ Apata Ajali, Mtoto Afariki Kwenye Ajali Hiyo

MBEYA: Taarifa zilizoripotiwa na kituo cha runinga cha ITV leo Desemba 17, 2016 zinasema kuwa Mbunge wa Jimbo loa Mbeya...

READ MORE