×

Kitaifa

Joseph Mungai Hatunaye Tena

  Aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu na Mbunge wa Mufindi Kaskazini (CCM), Joseph james Mungai amefariki dunia jioni hii katika...

READ MORE

Lema Apandishwa Kortini, Anyimwa Dhamana na Kurudishwa Rumande

ARUSHA: Mbunge wa Arusha Mjini kwa kupitia CHADEMA, Godbless Lema leo Novemba 8, 2016 amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa Arusha...

READ MORE

DC Arusha Azindua Wiki ya Usalama Barabarani Chini ya Vodacom Tanzania

Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya kaskazini, Henry Tzamburakis cheti cha...

READ MORE

Zitto Kabwe: Sitta Amenilea kwa Kunisomesha

Alfajiri ya tarehe 7 Novemba 2016, tunaamka na kukutana na habari za kusikitisha kuwa Mzee Samwel John Sitta, Spika Mstaafu...

READ MORE

Jeshi la Polisi Mbeya Lawatimua Kazi Askari Wawili kwa Kuwadhalilisha Wanafunzi wa Kike

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na shughuli zake za kila siku ili kuhakikisha mkoa unakuwa salama hii ni...

READ MORE

Mwili wa Samuel Sitta Kuwasili Alhamisi, Kuzikwa Urambo Jumamosi

  Kiongozi Mkuu wa Kitaifa wa Skauti ambaye pia alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mwantuma Mahiza akisaini kitabu cha...

READ MORE

Mama Akutana na Mwanaye Aliyepotea Zaidi ya Mwaka Kupitia Video ya Wanandoto

 Mama Adam akiwa na mwanaye jana kwenye kituo cha kulelea watoto cha CHAKUWAMA. Kala Jeremiah akiwa katika pozi na Adam...

READ MORE

Maneno ya Mwisho ya Samuel Sitta Kabla ya Kifo

Samuel Sitta enzi za uhai wake. Dar es Salaam: Kabla ya kifo chake Spika wa Bunge mstaafu, Samuel Sitta alisema...

READ MORE

Exclusive: Timiza Ndoto Yako na Wezesha Mzawa, Nunua Gari, Kiwanja, Bajaj Watakulipia!

Kampuni yaako ya Wezesha Mzawa inakupa fursa ya kumiliki kitu chochote ukitakacho maishani.Ni rahisi tu, tuambie unataka nini sisi tutakununulia...

READ MORE

Chadema Wampigania Lema, Wataka Apelekwe Mahakamani Haraka

ARUSHA: Chadema imetua Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kufungua kesi dhidi ya Mwanasheria Mkuu na Jeshi la Polisi ikitaka mbunge...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumanne Novemba 8, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 8, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Hospitali ya Muhimbili Yapokea Mashine ya Utrasound ya Kung’amua Magonjwa ya Figo

DAR ES SALAAM: Hospitali ya Taifa Muhimbili imepokea  msaada wa mashine kubwa na ya kisasa  ya Utra Sound maalum  kwa...

READ MORE

Tanzia: Mwenyekiti wa Klabu ya Azam, Said Mohammed Afariki Dunia

Uongozi wa Klabu ya Azam FC kwa masikitiko makubwa, unatangaza kifo cha mwenyekiti wake, Mzee Said Mohamed Abeid, kilichotokea alasir...

READ MORE

Una tatizo lolote kuhusu simu yako.. Tecno wamekujibu hapa

Kampuni inayoongoza kwa kuuza simu bora kwa gharama nafuu ambayo kila Mtanzania anaimudu, Tecno imefanya “kujiongeza” katika kukusaidia mteja wake...

READ MORE

Shigongo Atoa Vitabu 20 Kwa Washindi

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia) akimkabidhi zawadi ya kitabu Selina Ezekiel katika Ofisi za Global Publishers zilizopo...

READ MORE

Kufungwa kwa Mageti ya Daraja la Kigamboni Kwasababisha, Vurugu, Foleni

DAR ES SALAAM: Kufungwa kwa muda kwa mageti mengi ambayo hutumiwa na magari kupita katika Kivuko cha Daraja la Nyerere...

READ MORE

Pichaz: Taswira ya Msiba wa Samueli Sitta Nyumbani Kwake Masaki Dar

Samwel Sitta, enzi za uhai wake. Mwenyekiti wa Chama Ccha Mmapinduzi Mkoa wa Dar-es-Salaam, Ramadhan Madabida katikati akifarijiana na waombolezaji...

READ MORE

Ommy Dimpoz, Alikiba Wamekuletea “Kajiandae” Inapatikana Mkito

Mkali wa wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz aliyetamba na kibao chake cha “Baadae” ametuletea burudani mpya akiwa na Alikiba inaitwa...

READ MORE

Makonda Kujenga Vituo 20 Vya Kisasa Vya Polisi Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wananchi Kituo cha Polisi cha Tandika, Dar. ..Maongezi yakiendelea...

READ MORE

Ajali ya Noah na Lori Yaua 17 Shinyanga

SHINYANGA: Watu 17 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za...

READ MORE

Rais Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Samwel Sitta

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri...

READ MORE

Tanzia: Spika Samwel Sitta Afariki Dunia

DAR ES SALAAM: Spika wa Bunge la Tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Samuel Sitta (74) amefariki dunia...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumatatu Novemba 7, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 7, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Benki ya Twiga Kuanza Kutoa Huduma Novemba 8, 2016

Kwa mamlaka iliyopewa kisheria kupitia kifungu namba 58(2) (a) na (b) cha Sheria ya Mabenki na Taasisi za Fedha ya...

READ MORE

Mgonja: Watumiaji Wa Barabara Kupatiwa Elimu Wiki Ya Usalama Barabarani

DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Kamati ya Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam,  Elifadhili Mgonja (pichani anayezungumza) amesema...

READ MORE

Hatimaye Bunge Lapitisha Mswada Sheria ya Huduma za Habari

Hatimaye mchana huu wabunge wamepitisha bungeni muswada wa sheria ya huduma za habari wa mwaka 2016 uliojadiliwa kwa siku mbili....

READ MORE

Mwenye Nidhamu Ana Silaha Dhidi ya Ujinga na Umasikini

Vita dhidi ya umasikini kwa kiwango cha kaya mpaka Taifa kwa jumla, nidhamu naipa namba moja kama ni sababu ya...

READ MORE

Listi Ya Wasanii Watakao Kinukisha Jukwaa La Fiesta, Dar leo

Staa kutoka Nigeria, Yemi Alade. Mkali wa ngoma ya Wash, Where, Dulo kutoka Nigeria, Tekno Miles. Staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Mbunge Sadifa Afunguka Ishu ya Ulevi

NA IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI: WIKI hii tumefunga safari mpaka visiwani Zanzibar, ambapo imeenda kuyadadavua maisha halisi ya mbunge...

READ MORE

Polisi Dar Yaeleza kwa Nini Hawajamkamata Tundu Lissu

DAR ES SALAAM: Jana, Novemba 4, 2016 iliripotiwa kwenye vyombo vya habari kwamba Mbunge na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumamosi Novemba 5, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzani leo Novemba 5, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti...

READ MORE

Tundu Lissu Akataa Kujisalimisha Mahakamani

Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuagiza Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu...

READ MORE

Nape Nnauye Awsailisha Bungeni Mswada wa Huduma za Habari

  Hotuba ya Waziri Nape Nnauye Kuhusu Mswada wa Huduma za Habari

READ MORE

Rais JPM Atumia Saa 2 Kutathimini Mwaka Mmoja Madarakani na Wanahabari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam leo....

READ MORE

Wananchi Wafuatilia Mahojiano Kati ya JPM na Wahariri

Baadhi ya wananchi wakifuatilia mahojiano ya vyombo mbalimbali vya habari na Rais Magufuli kwenye runinga. WANANCHI  leo walifuatilia mahojiano kati...

READ MORE

Vurugu Zilivyotanda Kati ya Machinga Vs Mgambo Moro!

Eneo la Soko Kuu la Morogoro ambapo baada ya kuvunjwa kwa lengo la kumpisha makandarasi kujenga soko la Kisasa ya...

READ MORE

Live Updates: Yanayojili Kwenye Mahojiano ya JPM na Wanahabari

IKULU, DAR ES SALAAM: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 04 Novemba, 2016...

READ MORE