×

Kitaifa

Ajira Mpya: LUHETI Yatangaza Nafasi za Daktari, Muuguzi na Wengine

Njombe. Taasisi ya Mafunzo ya Afya Lug arawa (LUHETI), iliyoanzishwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Njombe, imetangaza nafasi tano za...

READ MORE

Mvuvi Akaa Siku 4 Baharini, Ashuhudia Wenzake Wakifa, Afunguka – Video Part 1 & 2

Hemed Hashim Mohammed, mvuvi na mkazi wa Msasani Bonde la Mpunga jijini Dar es Salaam, amesimulia tukio la kutisha alilopitia...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 11, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Arusha Imenoga! Shusho, Rose Muhando, Upendo Nkone Wanawasha Moto Leo

ARUSHA: Viwanja vya Shule ya Sekondari Sinon vimegeuka kuwa kitovu cha sifa na ibada, huku mamia ya washiriki wakikusanyika kumsifu...

READ MORE

Trump Aibua Mengine Baada ya Kukosa Tuzo ya Amani ya Nobel

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameeleza tena kutoridhishwa kwake na uamuzi wa Kamati ya Nobel wa kutomchagua kuwa mshindi wa...

READ MORE

Tropiglow Power Frame Yaingia Meridianbet, Mwanga Wa Burudani Wawaka

Dunia ya burudani za kasino mtandaoni imepata msisimko mpya baada ya Tropiglow Power Frame kuanza kupatikana mapema kupitia Meridianbet. Mchezo...

READ MORE

Shigongo Asikiliza Kero za Wananchi Buchosa, Aweka Wazi Mipango ya Maendeleo – Video

BUCHOSA: Mamia ya wananchi wa Jimbo la Buchosa wameendelea kujitokeza katika mikutano ya hadhara ya Mbunge wao, Eric Shigongo, inayofanyika...

READ MORE

Meddie Kagere Aweka Wazi Ugumu wa Maisha ya Mchezaji – Video

Mshambuliaji Meddie Kagere amefunguka kuhusu changamoto zinazowakabili wachezaji wa soka, akieleza kuwa kucheza mechi huwa rahisi zaidi ukilinganisha na mazoezi...

READ MORE

Ajali ya Morogoro: Serikali Yawaita Ndugu wa Abiria Kutambua Miili -Video

MOROGORO: Serikali imewataka ndugu wa watu waliosafiri kwa basi la Green Line kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya Oktoba 8,...

READ MORE

Mwanaume Adaiwa Kumuua Mkewe, Kisha Kujisalimisha Polisi – Video

Tukio la kusikitisha limeripotiwa mkoani Dodoma, ambapo Mfaume Khatibu (36) anadaiwa kumuua mke wake, Shukrani Riziki (30), kabla ya kwenda...

READ MORE

Video: Familia ya Marehemu Jane Urassa Yatoa Tamko Baada ya Mazishi

Mwakilishi wa familia ya marehemu Jane Urassa amezungumza baada ya mazishi ya Oktoba 9, 2026, akitoa tamko kuhusu mambo mbalimbali...

READ MORE

Derby ya Kariakoo leo: Vifaa Maalumu Kukagua Vyumba vya Kubadilishia Nguo

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa itatumia vifaa maalumu vya kupima ubora wa hewa (Gas Detectors) kukagua vyumba...

READ MORE

Mkurugenzi Muhimbili Awaondoa Hofu Wagonjwa Wanaopelekwa Mloganzila – Video

DAR ES SALAAM — Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Delilah Kimambo, amewaondoa hofu wananchi wanaopelekwa kutibiwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 10, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Mazishi ya Jane Urassa Yafanyika Wilaya ya Hai, Kilimanjaro – Video

HAI, KILIMANJARO: Mwili wa marehemu Jane Maloo Urassa umepumzishwa katika nyumba yake ya milele katika Kata ya Same, Wilaya ya...

READ MORE

Milton wa Australia Achaguliwa Kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mpaka 2029

ARUSHA: Spika wa Baraza la Wawakilishi la Australia, Milton Dick, amechaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), akichukua...

READ MORE

Barker Aweka Mkakati wa Kuzima Silaha za Yanga, Mngqithi Afichua Maandalizi – Video

Makocha wakuu wa Simba SC, Steve Barker, na Yanga SC, Manqoba Mngqithi, leo Oktoba 9, 2026 wameeleza mikakati yao kuelekea...

READ MORE

Rais Samia Atoa Salamu za Rambirambi Vifo vya Watu 32 Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Watu 32 Wafariki, 37 Wajeruhiwa Moro, Hospitali ya Rufaa Morogoro Yathibitisha – Video

Watu 32 wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili za barabarani zilizotokea usiku wa kuamkia leo Oktoba 9,...

READ MORE

Familia ya Urassa Yakataa Ukoo wa Kweka Kufika Nyumbani Kwao Kuaga Mwili wa Jane – Video

HAI, KILIMANJARO: Familia ya Urassa imesema haitaruhusu watu wa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao katika Kijiji cha Nkuu Sinde,...

READ MORE

TPLB Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Matumizi ya Viwanja vya Mazoezi Kabla ya Mechi

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya viwanja kwa ajili ya mazoezi ya timu siku moja...

READ MORE

Maafa Ukraine: Watu 30 Wauawa Baada ya Mabasi ya Abiria Kushambuliwa

KRAMATORSK, UKRAINE: Zaidi ya watu 30 wameuawa na wengine 18 kujeruhiwa baada ya mashambulizi ya Urusi kulenga mabasi mawili ya...

READ MORE

Morogoro Yatikiswa na Ajali Mbili Usiku Mmoja, Zaidi ya 30 Wadaiwa Kufa, Polisi Wafunguka – Video

Zaidi ya watu 30 wanadaiwa kufariki dunia katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo, Oktoba 9, 2026, mkoani...

READ MORE

Jihan Atwaa Tuzo ya Global Beauties, Mashabiki Wamiminika Kumpongeza

Miss Grand Tanzania, Jihan Dimack, amepokea pongezi kutoka kwa mashabiki wake baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo ya Grand Pageant...

READ MORE

Vocha za Kukwangua Kusitishwa Januari 1, 2027, TCRA Yatoa Maelekezo Mapya

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza mpango wa kusitisha matumizi ya kadi za kukwangua za muda wa maongezi ya simu...

READ MORE

Wizara Yapiga Marufuku Simba na Yanga Kufanya Mazoezi Uwanja wa Uhuru Kuelekea Dabi

Dar es Salaam. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema Uwanja wa Uhuru upo tayari kwa ajili ya kuandaa...

READ MORE

Mahakama Yaahirisha Uamuzi wa Kesi ya Said Issa Dhidi ya Chadema

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi kuhusu maombi ya zuio katika kesi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 9, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Anayedaiwa Kuuawa kwa Risasi na Mumewe Aagwa Mbezi Beach Dar, Kuzikwa Kesho Moshi -Video

Mwili wa Jane Urassa umefikishwa leo, Oktoba 8, 2026, katika Kanisa la KKKT Mbezi Beach, Dar es Salaam, kwa ajili...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Azungumza na Wawakilishi wa SpaceX na Starlink

Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezungumza na wawakilishi wa kampuni za SpaceX na Starlink kuhusu uwekezaji wa kampuni...

READ MORE

Tanzania na Msumbiji Zasaini Makubaliano ya Ulinzi na Usalama

Mawaziri wa Ulinzi wa Tanzania na Msumbiji wamesaini mikataba ya makubaliano yenye lengo la kuimarisha usalama na ushirikiano wa kiulinzi...

READ MORE

BoT Yaacha Riba Asilimia 6.25 kwa Robo ya Nne ya 2026

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amesema kiwango cha riba kwa robo ya nne ya mwaka 2026...

READ MORE

Sombi Kuzindua Wiki ya Vijana wa CCM Wilayani Kalambo, Rukwa

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM, Rehema Sombi Omary (MNEC), anatarajiwa kuzindua Wiki ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) leo, Oktoba...

READ MORE

Chalamila Aonya Machinga Kariakoo, Aweka Kikomo cha Oktoba 24, Awaonya Wazazi Bonyokwa – Video

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 8, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Polisi Dodoma Yawakamata Watuhumiwa 98 Kwa Makosa Mbalimbali

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda raia na mali zao, ambapo katika kipindi cha...

READ MORE

Video: Mwabukusi Amtaka Mutungi Kuvifuta Vyama Visivyofanya Shughuli, Atoa Wito kwa Gen Z

DAR ES SALAAM — Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa...

READ MORE

Video: Mr Blue Afunga Bangi Ilivyovuruga Maisha Yake Kipindi cha Ujana

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Mr. Blue @mrbluebyser1988, amefika ndani ya Studio za Global TV kwa ajili ya mahojiano maalum katika kipindi cha #Kontena. Katika mahojiano...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 7, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Mara: Wakili Ashikiliwa kwa Tuhuma za Kumuua Mpenzi Wake – Video

MARA: Jeshi la Polisi linamshikilia Wakili Keneth Nkiko, mkazi wa Mwigobero mwenye umri wa miaka 28, kwa tuhuma za kumuua Magreth Richard (22). Kwa mujibu wa taarifa za...

READ MORE