×

Kitaifa

Makonda Awasili Camp Nou, Akutana na Laporta kwa Ajili ya Soka Tanzania

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameanza ziara nchini Hispania na kutembelea klabu ya FC Barcelona, ambako...

READ MORE

Mwanamume Apigwa Risasi Akidaiwa Kujaribu Kuvamia Benki Mwanza – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limethibitisha kifo cha mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35, baada ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 15, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Heche Aulizwa Uraia wa Mke na Watoto wa Lissu, Asema Hajui

Familia ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeibua mjadala mwingine katika kesi hiyo ya uhaini inayokabili baada ya wakili Nassoro...

READ MORE

Ndejembi Aongoza Maandalizi ya Tanzania katika Jukwaa la IAEA Vienna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameongoza kikao cha maandalizi cha viongozi na wataalamu mbalimbali...

READ MORE

Rais Mwinyi Amteua Katibu na Wajumbe Wapya wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefanya uteuzi wa Katibu wa Baraza...

READ MORE

Katuga Ambana Heche Maswali ya Mauaji ya Mawazo na Akwilina

Katika kuendelea kutoa ushahidi katika kesi inayomkabili Tundu Lissu, shahidi John Heche amekabiliwa na maswali makali kutoka kwa Wakili Katuga...

READ MORE

Wasusi Watakiwa Kutumia Programu ya Darling Hair Kujitanua Kibiashara

Dar es Salaam. Wasusi nchini wametakiwa kutumia kikamilifu programu ya Loyalty ya kampuni ya Darling Hair ili kujiongezea mitaji na kukuza biashara zao...

READ MORE

Heche Ahojiwa Kuhusu Ripoti Za Uchaguzi Alizozitumia Mahakamani, Akanusha Kupata Division Four

Dar es Salaam, Septemba 14, 2026 — Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche, ameendelea kuhojiwa mahakamani katika kesi inayomkabili Mwenyekiti...

READ MORE

Ligi Zimerudi, Inter, Newcastle na Villarreal Kukiwasha leo, Odds Kubwa Kutoka Meridianbet

Ligi mbalimbali zimerejea na huu ni msimu wa kutengeneza pesa tuu. Anza safari ya ushindi hapa kwani wengi wametajirika sana....

READ MORE

Oman Yahairisha Mkutano Wa Kujadili Hatma Ya Mlango Wa Hormuz

Oman imetangaza kuahirishwa kwa mkutano uliokuwa umepangwa kujadili hatma ya Mlango wa Hormuz, njia muhimu inayotumika kusafirisha kiasi kikubwa cha...

READ MORE

Mtendaji Mkuu Singida Black Stars Ajiuzulu, Wamtangaza Tabitha Kidawawa

Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars umetangaza mabadiliko ya uongozi baada ya Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo, Kassano Jonathan,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 14, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Video: Diamond na Zuchu Watikisa Kawe! Shughuli ya Mtoto Wao Yawa Gumzo

Shughuli ya mtoto wa Diamond Platnumz na Zuchu imefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili Septemba 13, 2026 katika Ukumbi wa...

READ MORE

Mali Zenye Utata Zakamatwa Oysterbay! TRA na Polisi Wachunguza – Video

Mwenyekiti wa Mtaa wa Oysterbay, Mololo Abel Mwaisumo, amesema upekuzi uliofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na...

READ MORE

Tulia Ackson Amfariji Rais Samia Baada ya Msiba wa Mumewe – Picha

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Uyole, Tulia Ackson, amemfariji Rais...

READ MORE

Zanzibar: Wajumbe wa Kamati ya Pamoja CCM na ACT Wazalendo Watangazwa

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Ofisi ya Baraza la Mapinduzi imetangaza majina ya Wajumbe wa Kamati ya Pamoja ya Majadiliano...

READ MORE

Una Ujasiri? Gates Of Halloween Inakusubiri Meridianbet

Halloween ni wakati wa mavazi ya kutisha, hadithi za kusisimua na burudani isiyo ya kawaida, lakini mwaka huu Meridianbet imeamua...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 13, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Fahamu Maajabu ya Vioo vya TV za Kisasa na Tofauti Zake OLED dhidi ya QLED

Enzi za televisheni zenye boksi kubwa na skrini nzito zimepita. Leo hii, teknolojia imebadilisha TV kuwa kifaa chenye uwezo mkubwa...

READ MORE

Viongozi Mbalimbali Wamfariji Rais Samia Kizimkazi – Picha

KIZIMKAZI, ZANZIBAR: Viongozi mbalimbali wa dini, taasisi za umma na binafsi pamoja na makundi mbalimbali wameendelea kumfariji Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Awasili Tabora Kukagua Zahanati za JMKF

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwanzilishi pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Jakaya Mrisho...

READ MORE

Makamu wa Rais Aagiza Mifereji na Barabara Kuandaliwa Kabla ya El Niño – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amezitaka Mamlaka na Taasisi zinazohusika kuchukua hatua za haraka...

READ MORE

Harmonize Amtembelea Rais Samia Kizimkazi Kutoa Baada ya Kufiwa na Mumewe – Picha

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’, amemfariji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 12, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Watoto wa Wakulima, Wafugaji Kupewa Nafasi Kwenye Ufadhili wa Masomo Algeria

Serikali imeeleza kuwa inalenga kupanua wigo wa fursa za elimu ya juu kwa Watanzania, ikiwemo kuhakikisha wanafunzi kutoka familia za...

READ MORE

Kisa cha Kushangaza! Siku ya Harusi, Ukweli wa Wazazi Wake Wafichuka – Video

Siku ya harusi yake, aliamini wazazi wake ni maskini na walikuwa wakimwaibisha mbele ya watu. Lakini hakujua kuwa ukweli ulikuwa...

READ MORE

Libasse Gueye Mchezaji Bora Agosti, Manqoba Kocha Bora Ligi Kuu

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Libasse Gueye, ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Agosti wa Ligi Kuu ya NBC msimu...

READ MORE

Wilder Icy Fruits Yaingia Na Burudani Mpya Ya Barafu Na Matunda

Meridianbet imezidi kuongeza ladha kwenye burudani za kasino mtandaoni baada ya kuwasili kwa Wilder Icy Fruits, mchezo mpya kutoka Expanse...

READ MORE

Kabla Ya Gaborone, Nondo Afunguka Kiwango Chake Msimu Huu

Nahodha wa Yanga SC, Bakari Nondo, amesema sababu kubwa ya kurejea kwenye kiwango bora ni maandalizi mazuri pamoja na ushirikiano...

READ MORE

Marioo, Jux Na Wasanii Wengine Kushiriki Afrimma Musicfest Dallas

Mashabiki wa muziki wa Afrika nchini Marekani wanatarajiwa kupata burudani ya aina yake kupitia AFRIMMA Musicfest, itakayofanyika Septemba 12 katika...

READ MORE

Kesi Ya Ugaidi: Mhadhiri Udom Melkisedek Kaijage Aachiwa Huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kitunzi Kaijage, baada ya upande...

READ MORE

Maisha Ya Ujasiri! Bahati Rashidi Afichua Sababu ya Kubeba Matunda na Mtoto Kwa Baiskeli -Video

Hivi karibuni, video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii imemuonyesha mwanamke mmoja akiendesha baiskeli huku amembeba mtoto mgongoni, na nyuma akiwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 11, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Amfariji Rais Samia Kizimkazi

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, pamoja na Mawaziri wengine, wamefika nyumbani kwa Rais...

READ MORE

Mahakama Yaagiza IGP, CDF NA DCI Kutoa Ushahidi Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeagiza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Mkuu wa Jeshi...

READ MORE

Mbowe Amfariji Rais Samia Kizimkazi Baada ya Kufiwa na Mumewe

Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe, amemfariji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

PSV vs Shakhtar Donetsk: Vita ya Champions League Yaandaliwa Uholanzi

Huu ni mchezo wa kwanza kwa timu hizi katika hatua ya ligi ya Champions League msimu huu, hivyo pointi tatu...

READ MORE

Balozi wa China na Viongozi Wengine Wamfariji Rais Samia Kizimkazi Baada ya Kufiwa na Mumewe

Viongozi, wanasiasa, mabalozi pamoja na wageni mbalimbali wameendelea kumtembelea na kumfariji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia...

READ MORE

Zelenskyy Aokoka Ajali! Ndege Yake Nusura Igongwe na Drone

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amekumbwa na tukio la taharuki wakati akisafiri kutoka Moldova kuelekea Oslo, Norway, baada ya ndege...

READ MORE