×

Kitaifa

Polisi: Mhitimu wa SUA Aliyeuawa, Alivutwa Shingo

Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia mtu mmoja kwa mahojiano kufuatia kifo cha mhitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo...

READ MORE

Wanafunzi Wasio na Sare Wasizuiliwe Shuleni

WAZIRI wa TAMISEMI Ummy Mwalimu, amewataka wakuu wa shule wasiwazuie wanafunzi kuanza masomo pale wanapokuwa hawana sare za shule, bali...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa EAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano Maalum wa 18 wa Wakuu wa Nchi...

READ MORE

Simanzi Kuaga Mwili wa Mrembo wa SUA Aliyeuawa

Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)  mkoani...

READ MORE

Waziri: Fedha Zimetafunwa Hapa, Aagiza Waliotafuta Wasakwe

Naibu Waziri Ofisi ya Rais tawala za Mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) anayeshghulikia Afya, Dkt. Festo Dugange ameagiza kufanyika...

READ MORE

Mamia ya Polisi Kumwagwa Mitaani Sikukuu

JESHI la Polisi mkoani Geita limejipanga kuwatumia maofisa wa jeshi hilo zaidi ya 754 waliotoka mafunzoni ili kusaidia kudhibiti matukio...

READ MORE

Mvua Yakosesha Makazi Kaya 65

ZAIDI ya kaya 65 katika Kijiji cha Imbilili Kata ya Signo wilayani Babati mkoani Manyara, zimekosa makazi baada ya nyumba...

READ MORE

Mifugo Kuanza Kuvikwa Hereni

MWONGOZO wa utambuzi, usajili na ufuatiliaji wa mifugo kwa njia ya hereni za kieletroniki zinawekwa kwa mnyama mwenye umri zaidi...

READ MORE

Mabasi Yang’olewa Namba Mwanza

Mabasi tisa ya abiria katika stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza yang’olewa namba na kuzuiwa kuendelea na safari...

READ MORE

Shehena ya Mionzi ya Nyuklia Haijafika Dar

Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) imesema shehena iliyokuwa na viasili vya mionzi ya nyuklia iliyokuwa kwenye meli MV...

READ MORE

100 Wapata Ajira Uwanja Unaojengwa na GGML Geita

NA MWANDISHI WETU ZAIDI ya Watanzani 100 wamepata ajira katika mradi wa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa michezo unaojengwa...

READ MORE

NMB Yashinda Tuzo ya Benki Salama Zaidi Nchini

  NMB ndiyo benki salama zaidi nchini kwa miaka miwili mfululizo baada ya leo kutangaza kupokea tuzo ya ubora huo...

READ MORE

Macho, Masikio kwa Polepole

Miongoni mwa makada watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioitwa kujieleza mbele ya kikao cha Halmashauri Kuu, jina la Humphrey...

READ MORE

Serikali Kuifuatilia Meli Iliyobeba Taka-Nyuklia

SERIKALI imesema haina taarifa za kushikiliwa kwa meli ya mizigo iliyobeba taka za nyuklia nchini Kenya ambayo iliripotiwa kuwa njiani...

READ MORE

Viongozi CCM Mbaroni kwa Tuhuma za Kumpiga Polisi

KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Babati, Filbert Mdaki (52) na Katibu wa Jumuiya ya vijana UVCCM wa...

READ MORE

Ataka Kutapeli Familia ya Mtoto Aliyefufuka, Yamkuta

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema wanamshikilia Charles Christopher kwa kutaka kuitapeli familia ya Mtoto anaedaiwa kufufuka...

READ MORE

Mrembo Aliehitimu Chuo Kikuu SUA Auawa na Wasiojulikana

MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) ambaye amehitimu hivi karibuni aliyefahamika kwa jina la Magreth Mashue ameuwawa...

READ MORE

Mchungaji Mwanamke KKKT Auawa Kikatili

Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, Elizabeth Ng’unga (36) ameuawa kikatili kwa kutobolewa macho...

READ MORE

Waitara: Marufuku Kupandisha Nauli

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara ameagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) kuwachukulia hatua wamiliki na...

READ MORE

Aweso: Tumekwamua Miradi ya Maji Kichefuchefu 142 Kati ya 177

MBOZI-SONGWE WAZIRI wa Maji Mhe Jumaa Aweso akiwa mkoani Songwe ametoa taarifa maalumu juu ya mageuzi makubwa yaliofanyika katika kukwamua...

READ MORE

NEEC Yaitunuku GGML Tuzo ya Mwekezaji Bora kwa Watanzania

  BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limeitunuku Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) tuzo maalumu ya...

READ MORE

Yanga Yamuwinda Kipa wa Ruvu Shooting

Mabosi wa Yanga wanafikiria uwezekano wa kumpata mlinda lango wa Ruvu Shooting Mohammed Makaka kuchukua nafasi ya kipa namba moja...

READ MORE

Lita 4,000 za Diesel Zaibiwa Mradi wa Reli ya SGR

JESHI la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata Lita 4,135 za mafuta aina ya Diesel ambazo zinadaiwa kuibiwa kutoka kwenye Mradi...

READ MORE

Halotel Yatoa Msaada Shule ya Sekondari Bonyokwa

  Kampuni ya simu za mkononi ya Halotel hapa nchini imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya masomo kwa waalimu na...

READ MORE

Ndugai: Hakuna sababu za kubishana na mamlaka”

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema hakuna sababu za kubishana na mamlaka juu ya...

READ MORE

Majambazi Watano Wauawa Kigoma

WATU watano wanaosadikiwa  kuwa ni majambazi wameuwawa na Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma katika Ziwa Tanganyika baada ya kutekeleza uporaji wa...

READ MORE

Askofu Gwajima ‘Roho ya Paka,’ Aijibu Mapigo CCM

UNAWEZA kusema Mbunge wa Kawe (CCM), Askofu Josephat Gwajima, ana roho ngumu au ya paka, kwani licha ya chama chake,...

READ MORE

Amshambulia Mkewe Kisa Kutaka Kuachwa, Wananchi Wajibu Mapigo

JESHI la Polisi katika eneo la Kisii nchini Kenya wanamshikilia Daniel Asiago kwa kumshambulia na kumjeruhi kwa kumkatakata Mke wake...

READ MORE

 Mabishano Kuhusu Sare za JWTZ Kesi ya Mbowe

MABISHANO ya kisheria yameendelea leo Jumatatu Desemba 20, 2021 katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...

READ MORE

Chongolo Awapongeza Umoja Wa Wanawake Tanzania (Uwt)

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewapogeza Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) kwa kazi...

READ MORE

Mauaji ya kikatili yaliyotikisa jamii 2021

Wakati tukielekea kufunga mwaka 2021, tunakumbuka matukio ya mauaji yaliyotokana na sababu mbalimbali. Matukio hayo yalisababisha hofu miongoni mwa wanajamii...

READ MORE

NMB, Jubilee Life Wazindua Mpango wa Uwekezaji, Utunzaji na Bima

  BENKI ya NMB kwa kushirikiana na Jubilee Life Insurance, imezindua mpango wa utunzaji, uwekezaji na bima uitwao ‘Fanaka Plan,’...

READ MORE

Osha Yazindua Mpango Wa Mafunzo Kwa Taasisi za Serikali

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umezindua rasmi mpango wa mafunzo ya Usalama na Afya kwa Taasisi...

READ MORE

Wazadi Wagomea Shule Kufundisha Kingereza

WAZAZI wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mukendo, iliyopo Musoma mkoani Mara wamekataa mpango wa Serikali kubadili Shule hiyo ili...

READ MORE

Kichanga Chakutwa Kimetupwa Mtoni – Video

UNYAMA! MWILI wa mtoto mchanga umekutwa ukielea juu ya maji katika ukingo wa mto eneo la Tandale Chama jijini asubuhi...

READ MORE

Mwalimu Ajichoma Moto Kisa Kufukuzwa Kazi Kwa Kumpa Mimba Mwanafunzi

Mwalimu wa Shule ya Msingi Magemo iliyopo Webuye, Kaunti ya Bungoma nchini Kenya, Wycliffe Akeve amejichoma kwa moto katika jaribio...

READ MORE

Askari Polisi Aliyesifia Gongo Atimuliwa Kazi

Konstebo wa Polisi, Ramadhani Khalfan Said amefukuzwa kazi kwa kwenda kinyume na mwenendo mema wa Jeshi la Polisi Tanzania baada...

READ MORE

Mchengerwa: Watumishi Watakaozuiliwa Likizo Walipwe

WAZIRI wa Nchi, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amesema kuwa likizo ni haki ya mtumishi...

READ MORE

Zitto Kabwe Akutwa na Covid-19

Kiongozi Mkuu wa ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe amesema alipimwa na kukutwa Virusi vya Corona (COVID 19) baada ya kupatwa...

READ MORE

Polepole Baada ya Kufungiwa na TCRA “Kazi ya Kusema Ukweli ina Safari” – Video

  MBUNGE Humphrey Polepole amesema kazi ya kusema ukweli ina safari kidogo lakini hatokatishwa tamaa na uamuzi wa Kamati ya...

READ MORE