×

Kitaifa

Historia Kuwekwa Tanzania, Mabasi 3650 Mwendokasi Kuletwa

Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema Serikali inapanga kuongeza mabasi ya Mwendokasi kwa awamu ya kwanza kutoka 210 yaliyopo sasa...

READ MORE

Wazee wa Kichaga Wamtaka Kimei Kufuta Kauli

BAADHI ya wazee wa kabila la Wachagga wamelaani kauli ya Mbunge wa jimbo la Vunjo Dkt Charles Kimei aliyoitoa hivi...

READ MORE

JWTZ Latoa Tamko Kuhusu Matapeli Ajira Jeshini

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetoa ufafanuzi kuhusu vitendo vya rushwa, ulaghai na utapeli vinavyofanywa na baadhi ya watu...

READ MORE

Walimu Wachangia Vyoo na Wanafunzi 500

Zaidi ya wanafunzi 500 wa Shule ya Msingi Omunga, kakika Wilaya ya Rorya, mkoani Mara, wanalazimika kuchangia vyoo na walimu...

READ MORE

Aomba Msamaha kwa Kumsaliti na Wanawake 12

Huenda ikawa Kanye West amewavutia watu wengi kuiga kitendo alichofanya kwa kukiri makosa yake hadharani na kuomba radhi Kim Kardshian...

READ MORE

Wanafunzi Waliopata Ujauzito Kurejeshwa Shuleni ni Uamuzi wa Serikali

Rais Samia, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli iliyotolewa siku za hivi karibuni na Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako inayowahusu wanafunzi wote...

READ MORE

Ombi la Mbowe na Wenzake Lakataliwa Mahakamani

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imekubali pingamizi la mawakili wa Serikali la kutopokea barua kama...

READ MORE

Rais Samia Akerwa na Kauli ya Waziri Wake Kuhusu Sukari

RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kukerwa na kauli ya waziri wake aliyoitoa kuhusu uingizaji wa sukari nchini kutoka Uganda.  ...

READ MORE

Huawei Yatoa Vifaa Vya Maabara Ya TEHAMA UDOM

  Kampuni ya Huawei Technologies Tanzania imetoa msaada wa maabara ya TEHAMA kwa Chuo Kikuu cha Dodoma ikiwa na nia...

READ MORE

Watu Sita Wafariki kwa Kula Samaki Aina ya Kasa

JUMLA ya watu sita wamepoteza maisha na wengine 12 wakiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya ya Micheweni baada ya...

READ MORE

NBC Yatoa Saruji Mifuko 920, Madawati100 Kuboresha Elimu Mara, Mtwara

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa msaada wa mifuko ya saruji 920 (sawa na tani 46) yenye thamani ya...

READ MORE

Rais Museveni Afanya Ziara Bandari ya Dar

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Museveni amefanya ziara katika Bandari ya Dar Es Salaam na Ujenzi wa Reli ya...

READ MORE

Wakusanya Ushuru wa Maegesho Mkoa wa Dar Wafundwa

  Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) leo tarehe 28 Novemba, 2021 umeendesha Semina ya kuwajengea uwezo Wakusanyaji...

READ MORE

Mahakama Yaonyeshwa Video za Sabaya Alivyopewa Mil 90 Benki

SHAHIDI wa upande wa Jamuhuri wa kesi inayomkabili aliyekua Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita,...

READ MORE

Vigogo TAKUKURU, UVCCM Watajwa Kesi ya Sabaya

SHAHIDI wa 10 katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, Francis Mrosso...

READ MORE

RC Makalla: Hali ya Maji Tumuachie Mungu

Mkuu wa mkoa Dar es Salaam , Amos Makalla amekiri kwamba hali bado si shwari na kilichopo ni kuomba kudra...

READ MORE

Mwili wa Baba Yake Bashe Wawasili na Kuzikwa Usiku Nzega

MWILI wa Marehemu Sheikh Mohamed Bashe umepumzishwa usiku wa kuamkia leo katika Makuburi ya Waislamu Kitongo Mjini Nzega Mkoani Tabora....

READ MORE

Benki ya Exim Yatangaza Washindi wa Droo ya Kwanza ya ‘Weka Mkwanja Tukutoe!’

Dar es Salaam: Novemba 24, 2021: Benki ya Exim imetangaza washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya ‘Weka Mkwanja...

READ MORE

UNESCO Yatangaza Julai 7 Siku ya Kiswahili Duniani

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeitangaza rasmi tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa...

READ MORE

Malawi Yamuomba Tyson Kuwa Balozi Wake wa Bangi

WIZARA ya Kilimo ya Malawi imemwandikia barua bingwa wa zamani wa ndondi duniani, Mike Tyson ikimuomba kuwa balozi wa bangi...

READ MORE

Wezi Wavamia Kanisa, Waiba na Kujisaidia Kwenye Ofisi ya Mchungaji

WAKAZI wa kaunti ya Vihiga nchini Kenya wameingiwa taharuki baada ya watu wasiojulikana kuvamia Kanisa la Mumbita Church of God...

READ MORE

Kesi ya Kina Mbowe, Inspekta Maulid Aeleza Ushahidi Wake

SHAHIDI wa nne wa upande wa mashtaka katika kesi ndogo ndani ya kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman...

READ MORE

Mapingamizi Yaghubika Kesi ya Kina Mbowe

MAHAKAMA Kuu (Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi) imetupilia mbali mapingamizi manane kati ya tisa yaliyoibuliwa na mawakili...

READ MORE

Shahidi Aeleza Walivyowakamata Watuhumiwa Kesi ya Mbowe

Shahidi wa tatu wa upande wa mashtaka katika kesi ndogo ndani ya kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman...

READ MORE

Sehena ya Dozi 499,590 za Pfizer Yatua Tanzania

Serikali ya Tanzania imesema leo Novemba 23, 2021 Tamzania imepokea Dozi 499,590 za Pfizer kutoka nchini Marekani ambazo zitakinga Watanzania...

READ MORE

Benki ya Exim Yakabidhi Msaada wa Madawati 100 Mwanza

Benki ya Exim Tanzania (Exim Bank) imekabidhi madawati 100 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20, kwa ajili ya...

READ MORE

Maagizo kwa Ujenzi wa Madarasa, Pesa za Uviko-19

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI David Silinde amezitaka halmashauri zote nchini ambazo zinatekeleza ujenzi wa vyumba vya madarasa vinavyojulikana...

READ MORE

Makamba: TANESCO Msikodi Mitambo

Waziri wa Nishati, January Makamba amelielekeza Shirika la Umeme (TANESCO) kuhakikisha kwamba pamoja na kadhia ya umeme inayoendelea, Shirika hilo...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumbaka Mjamzito – Video

Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia mtu mmoja mwenye umri wa miaka 25 (jina limehifadhiwa) mkazi wa mtaa wa Ilazo...

READ MORE

Rais Samia Awatunuku Kamisheni Maofisa 118 wa JWTZ

  Rais Samia Suluhu Hassan amewatunuku vyeo vya luteni usu maofisa 118 wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) katika Chuo cha...

READ MORE

Akamatwa kwa Tuhuma za Mauaji, Mwingine Asakwa

JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Mbagala Wilaya ya Mbeya, Shizya Juma (32) maarufu Rais kwa...

READ MORE

Biashara ya Ngono Sh 3000 Yawamaliza Wavuvi

MHITIMU wa Shahada ya Uzamivu kutoka Chuo cha Afya KCMC katika taaluma ya Huduma ya Afya ya Jamii, Maseke Mgalo...

READ MORE

Sakata la Mgao wa Umeme, Makamba Aanza Doria

WAZIRI wa Nishati, January Makamba, ameanza doria katika mito inayoingiza maji katika mabwawa ya vituo vyote vya kuzalisha umeme kwa...

READ MORE

Mfanyakazi Muhimbili Afariki Akivuta Kamba Uwanjani

Mfanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Ally Lidengi amefariki uwanjani wakati akicheza mchezo wa kuvuta kamba kwenye mashindano ya...

READ MORE

Wakulima wa Korosho Lindi, Mtwara Washauriwa Kujiwekea Akiba NBC

Mkuu wa Wilaya ya Lindi Bw Shaibu Ndemanga amewashauri wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya Lindi na Mtwara...

READ MORE

GGML Yamwaga Mil 248 Kuwezesha Watumishi Wake Kuhitimu Shahada ya Uzamili

JUMLA ya watumishi waandamizi 18 wa kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wamehitimu Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa...

READ MORE

Rais Samia Aomboleza Kifo cha Jaji Mwaikugile

Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Hamis Juma kufuatia kifo cha jaji mstaafu...

READ MORE

Sakata la Maji! Aweso Apita Mtaa kwa Mtaa

BAADA ya kazi kubwa usiku na mchana kuhakikisha maji ya mto Ruvu yanafika mitamboni na kuepusha Shughuli za binadamu tenki...

READ MORE

Rubani Aliyepotea, Spidertracks Yaonekana

WAKATI Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) ikitoa taarifa ya kusitisha shughuli za utafutaji wa rubani Samweli Gibuyi, familia yake...

READ MORE

Unyama! Baba wa Kambo Aua Watoto Wawili wa Mkewe

WATOTO wawili wa familia moja wameuawa na baba yao wa kambo kwa kuwaziba midomo na kukosa pumzi baada ya kutokea...

READ MORE