×

Kitaifa

Waziri Mkuu Apokea Misaada kwa Waathirika wa Mvua Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa ambao unafanywa kwa ufadhili wa kampuni...

READ MORE

Picha: Mabweni ya Iyunga Sekondari Yateketea kwa moto

Askari wa Kikosi cha Zimamoto Jijini Mbeya, akiendelea na jitihada za kuuzima moto unaoendelea kuwaka na kuteketeza Mabweni ya shule...

READ MORE

FFU Yatawanya Wanachuo Waliokuwa Wakiandamana Dar

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. Joseph Kampasi ya Dar es Salaam akitapatapa wakati polisi wakiwatawanya wanafunzi hao leo Jijini...

READ MORE

Kinara Uporaji Benki Mbagala Atiwa Mbaroni

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dar es Salaam, CP Simon Simon Siro akionesha kwa waandishi wa habari bunduki aina ya...

READ MORE

Tyga ajitetea kutoka na Kylie mapema

Staa wa Hip Hop Marekani, Tyga. LOS ANGELES, Marekani BAADA ya maswali mengi kwa staa wa Hip Hop Marekani, Tyga...

READ MORE

Tambwe aipigia hesabu tuzo ya Samatta

Mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe. Said Ally, Dar es Salaam BAADA ya kufungua akaunti yake ya mabao katika michuano...

READ MORE

Madudu tena bandarini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua bandari ya Mtwara na kunusa harufu ya ufisadi katika utoaji wa zabuni ya ujenzi wa...

READ MORE

Nape aitaka TSN kuwa vinara wa ufichuaji maovu

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Nape Nnauye akiwa anakazia jambo kwa wafanyakazi wa kampuni ya magazeti ya...

READ MORE

Walimu Dar kusafiri bure – DC Makonda

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Mwenyekiti wa Darcoboa, Sabri Mabrouk akifafanua...

READ MORE

Rais JPM awasili jijini Arusha

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari aliyekuwa mmoja wa viongozi na...

READ MORE

Tanzia: Ofisa Uhusiano TTCL afariki dunia‏

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bi. Amanda Fredrick Luhanga. OFISA Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL),...

READ MORE

Sinema ujambazi wa kivita jijini Dar

UJAMBAZI wa kutumia vifaa vya kivita umeibuka jijini Dar es Salaam, ukiwemo uliofanyika katika uporaji wa Benki ya Access juzi,...

READ MORE

Mwanamuziki Kassim Mapili azikwa Kisutu

Mwili wa marehemu  Mzee Kassim Mapili ukiwa umebebwa kuelekea makaburi ya Kisutu, Dar. Safari ya kuelekea makaburi ya Kisutu ikianza....

READ MORE

Uchaguzi wa Meya Jiji la Dar Waahirishwa

Baadhi ya Wafuasi wa Ukawa wakifuatilia taarifa iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Madiwani na wabunge wa jiji la Dar mda...

READ MORE

Miliki Nyumba kwa shilingi 500 Tu

WASHINDI WA DROO ZILIZOPITA Washindi wa Droo ya Kwanza =>bit.ly/1Tq5PTu Washindi wa Droo ya Pili ==>bit.ly/1TucKMv Mshindi wa Pikipiki Akabidhiwa...

READ MORE

Wanne wauawa na polisi kwa kuvamia benki Mbagala

Polisi wakiimarisha ulinzi kwenye benki hiyo iliyovamia na wanaosadikiwa kuwa majambazi Mbagala, Dar. WATU wanaosadikiwa kuwa majambazi na ambao  idadi ...

READ MORE

Gari la Nay wa Mitego Lapigwa Mawe, Kuvunjwa Kioo

STAA wa muziki wa Hip Hop nchini Nay wa Mitego jana Ijumaa usiku alikumbwa na tukio baada ya gari lake...

READ MORE

Promosheni Shinda Nyumba Yatikisa Mbagala, Dar

Wasomaji waliokutwa maeneo ya Stendi ya Daladala ya Chamazi wakichangamkia kununua magazeti kwa muuzaji wa Global, (mwenye fulana nyeupe kushoto)....

READ MORE

Njemba anasa kwenye dari akidaiwa kuiba

Njemba huyo akiwa juu ya paa. Na Francis Godwin, Risasi Jumamosi IRINGA: NJEMBA mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sababu...

READ MORE

Taswira ya Msiba wa Mapili

Waombolezaji wakiwa msibani. Mtangazaji na Mdau wa Muziki wa Dansi, Rajab Zomboko akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani). Msanii...

READ MORE

Tamasha la Changia Damu Salama Lafikia Kilele Chake

Zoezi la kujitolea kuchangia damu likiendelea.Watu wakishuhudia tamasha hilo na kusikiliza maelekezo mbalimbali. Wasanii wakitumbuiza. Mmoja wa watu waliojitolea kutoa...

READ MORE

Airtel Fursa Yainua Kikundi cha Vijana Wajasiriamali Lindi

Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (wa pili kushoto), akiwapongeza kikundi cha vijana watano wajasiriamali kijulikanacho kwa...

READ MORE

Shinda Nyumba, Mshindi wa Pikipiki Akabidhiwa

Afisa Masoko Msaidizi wa Global Publishers, David Mwaipaja (kulia) akimkabidhi Lucy Swai ufunguo wa pikipiki aliyoshinda kwenye droo ya pili...

READ MORE

Mawaziri watakiwa kurejesha fomu za maadili leo

Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa  ofisi ya Waziri Mkuu wakati alipotoa maagizo...

READ MORE

Makontena ya bilioni 6/- ya wakwepa kodi kuuzwa

MALI zenye thamani ya Sh bilioni sita za baadhi ya wadaiwa 16, waliokwepa kulipa kodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania...

READ MORE

Basi la Mashimba Express limepata ajali jana

Muonekano wa ajali baada ya basi la Mashimba Express lililokuwa linasafiri kutoka Kahama kwenda jijini Mwanza kugongana na gari dogo...

READ MORE

Vigogo watatu wanusuru hekalu la Dk. Slaa

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa. Vigogo watatu nchini wamejitosa kunusuru nyumba ya...

READ MORE

Wakazi wa Dar wajitokeza kuchangia damu leo

Pichani juu wakazi mbalimbali wa Jiji la Dar wakichangia damu leo katika Uwanja wa Karume. Maofisa wa Damu Salama wakisimamia...

READ MORE

Benki ya NMB Yazindua Promosheni ya Pata Patia

• Zaidi ya shilling milioni 300 kushindaniwa Benki ya NMB imezindua mchezo wa bahati nasibu kwa wateja wake ambapo watakuwa...

READ MORE

Twiga Stars watembelea duka la kisasa la Airtel Expo Dar‏

Afisa huduma kwa wateja wa Airtel , Juma Hassan akitoa maelezo ya jinsi ya kupata huduma mbalimbali za kisasa kwa...

READ MORE

DC Iramba awanyoosha vigogo wa afya

Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida, Christopher Ngubiagai amewasimamisha kazi watumishi sita wa idara afya na kuagiza wakamatwe na...

READ MORE

Steven Wasira atembeza ‘kichapo’

ALIYEKUWA Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika katika Serikali ya awamu ya nne, Steven Wasira, jana nusura atembeze mkong’oto mahakamani....

READ MORE

Naibu Spika anusurika kifo baada ya kupata ajali jana

Naibu Spika Dk. Tulia Mwansasu. NAIBU Spika Dk. Tulia Mwansasu, amepata ajali mkoani Mbeya alikokwenda kwa ajili ya mapumziko. Kwa...

READ MORE

Ticha mbaroni kwa kutupa mtoto chooni kwa Mchungaji

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka Singida: Jeshi la Polisi mkoani Singida limemtia mbaroni Monica Munishi (22), mkazi...

READ MORE

Vigogo waliotorosha makontena kuanza kufilisiwa leo

WADAIWA 16 waliokwepa kulipa kodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), baada ya kutorosha kontena za mizigo yao kwenye Bandari...

READ MORE

NMB yawafikia wakazi wa Kakonko

Benki ya NMB imefungua rasmi tawi lake jipya wilayani Kakonko. Tawi hili limefunguliwa na mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali...

READ MORE

Mama Samia Kuongoza Tamasha la Pamoja Tunafanikisha

Na Daria Erasto Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza Tamasha la...

READ MORE

Picha 5: Sanamu ya Askari Inavyolipamba Jiji la Dar

PICHA NA DENIS MTIMA/GPL

READ MORE