×

Kitaifa

Kenyatta Mgeni Rasmi Sherehe za Uhuru TZ

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa...

READ MORE

Video: Mondi, Ummy, Kigwangalla, Wasira, Dewji Kwenye Mjadala Mzito

MAWAZIRI Ummy Mwalimu, Liberata Mulamula, Mbunge Hamis Kigwangala, mfanyabiashara Azim Dewji na mwanamuziki Diamond Platinumz, leo Desemba 07, wameshiriki kwenye...

READ MORE

Forbes Yamtaja Rais Samia Orodha ya Wanawake 100 Wenye Nguvu Duniani

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametajwa na Jarida maarufu duniani la takwimu na...

READ MORE

Jela Miaka 45 kwa Kumbaka na Kumpora Mwanamke Mjerumani

MAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa mkoani Iringa imemuhukumu Selemani Juma mwenye umri wa miaka 36 kwenda jela miaka 45 na...

READ MORE

RC Afuta Likizo za Watumishi

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amefuta likizo kwa watumishi wote wa Serikali ambao idara zao zinahusika na ujenzi...

READ MORE

Vyombo vya Habari Vilivyofungiwa Kufunguliwa Hivi Karibuni

SERIKALI imesema ipo mbioni kuvifungulia vyombo vya habari ambavyo bado vimefungiwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yanayoendelea hivi sasa baina...

READ MORE

Mwalimu Aliyevujisha Mitihani ya Utabibu Diploma Kushitakiwa

Mitihani ya muhula wa pili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 iliyofanyika kitaifa kuanzia Agosti 16, 2021 hadi Septemba 30, 2021...

READ MORE

Samia Awapongeza Tembo Warriors, Awatupia Dongo Namungo – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Viongozi na wachezaji wa Timu ya Taifa ya...

READ MORE

Ndalichako Acharuka Rushwa ya Ngono Taasisi za Elimu

  Serikali imesema haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu kwani ni ukosefu wa maadili na vinashusha heshima ya...

READ MORE

Mikopo kwa Watakaooana

  Mtia nia wa kugombea urais nchini Kenya ameahidi kutoa mikopo yenye thamani ya kati ya TZS milioni 10 hadi...

READ MORE

Mama Aliyeua Wanae Kwa Sumu Afunguka Mazito, Aomba Kifungo – Video

MAMA anayetuhumiwa kuwaua wanawe wawili na kujeruhi watatu kwa sumu ya kuua wadudu kwenye nyanya, imebainika ametelekezwa na wanaume watano...

READ MORE

Auawa kwa Fumanizi, Muuaji Ajipeleka Polisi

MKAZI wa Kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada...

READ MORE

Ajinyonga kwa Kutotajwa na Padri Kwenye Misa ya Shukrani

MKAZI wa mtaa wa Kanisani B uliopo wilaya ya Ludewa mkoani Njombe anaefahamika kwa jina la Raban Razalo (48) amefariki...

READ MORE

Mahakama Yakataa Ombi la Kukamatwa Shahidi Kesi ya Sabaya

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imetupilia mbali ombi la kutoa hati ya kukamatwa shahidi wa 10 wa Jamhuri, Francis Mroso...

READ MORE

Padri Alivyopata Mafunzo ya Kijeshi Cuba, Kenya

JAMBO kubwa lililopamba mahafali ya 15 ya Chuo Kikuu Ardhi (ARU) yaliyofanyika juzi, ni uwepo wa mhitimu wa Shahada ya...

READ MORE

Sababu ya Mwanri Kuamrisha Shamba Livurugwe

Balozi wa zao la pamba nchini Aggrey Mwanri, ameamrisha shamba la Jeremia Kisumo na Laher Robert wakazi wa Mshinde, Kata...

READ MORE

Rais Samia: Nitaendelea Kuzunguka – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema safari ya uwekezaji kuna njia ndefu na ndiyo maana wakati mwingine analazimika kutoka kwa ajili...

READ MORE

Waliokufa Baada Ya Basi Kutumbukia Mtoni Wafika 32

Idadi ya watu waliopoteza maisha ya baada ya basi walilokuwa wakisafiria, kusombwa na maji katika Mto Enziu, Ngune, Kaunti ya...

READ MORE

Rais Samia Kumwaga Barabara, Kivuko Kikubwa Kigamboni – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea kilio cha wananchi wa Kigamboni kuhusu changamoto ya...

READ MORE

Samia: Kwa Mungu Kuna Kujibu, Nikifika Huko Nitasema – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepiga marufuku baadhi ya watendaji wanaofanya kazi kwa mazoea na...

READ MORE

Yanga Yafyeka Wanne, Yumo Kabwili

KUELEKEA usajili wa dirisha dogo, taarifa zinasema kuwa tayari Kamati ya Usajili ya Yanga imeanza kazi baada ya kuwafyeka wachezaji...

READ MORE

Msukuma ‘La Saba A’ Atunukiwa Udaktari

Mbunge wa Geita Mjini, Mhe. Joseph Kasheku maarufu kama “Msukuma” jana Jumapili, Desemba 6, 2021 ametunukiwa Udaktari wa Heshima katika...

READ MORE

Mtatiro Akamata Tani 10 za Korosho Zilizooza

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ameendesha oparesheni ya mazao wilayani Tunduru kwa siku 2 mfululizo na kufanikiwa kukamata...

READ MORE

Mwigulu Ataka Wazazi Kuwasaidia Wahitimu Kujiajiri

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba amesema katika Taifa la Tanzania uhalisia ni kwamba kati ya vijana 100...

READ MORE

Samia: Mambo ya Hovyo Yalifanyika Huko Nyuma, Inabebeshwa Awamu ya Sita – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ya watu ndani ya Serikali wamekuwa...

READ MORE

Rais Samia Abaini Madudu Bandari, Avunja Bodi TPA, Shirika la Meli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kutangaza kuzivunja Bodi ya Mamlaka ya Badari Tanzania (TPA) na...

READ MORE

Njoo Uniambie ‘Dada Nimeshindwa’ – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, afanye...

READ MORE

Nandy Akiri Kudharauliwa Tuzo za Afrima

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Fausta Mfinanga maarufu kama Nandy amefunguka ya moyoni yale aliyoyapitia pindi akiwa nchini Nigeria...

READ MORE

Magari 4 Yagongana, Basi la Lateketea na Kuua

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisaha malori matatu mkoani Songwe. Ajali hiyo iliyotokea...

READ MORE

Wananchi Wadai Kulazimishwa Kuchanja Ndipo Watibiwe – Video

 WANANCHI wa Jimbo la Buchosa, lililopo wilaya ya Sengerema wameeleza kero mbele ya mbunge wao, Mhe. Eric Shigongo kuwa wamekuwa...

READ MORE

Ajimwagia Mafuta ya Taa Mwilini na Kujichoma Moto

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kupitia Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Mjini Magharibi ACP. Elisante Makiko...

READ MORE

Mtoto Achomwa kwa Mkasi wa Moto Kisa ‘Flash’

MTOTO wa kiume mwenye umri wa miaka 9 anayesoma darasa la tatu katika Shule ya Msingi Bugoyi A, Mjini Shinyanga...

READ MORE

Mwanafunzi Abakwa, Atobolewa Macho na Kuuwawa

Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Maendeleo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, Zinati Alifa mkazi wa mtaa...

READ MORE

 Dozi Nyingine 115,200 za Johnson & Johnson Yawasili Nchini

Tanzania imepokea shehena ya Chanjo aina ya Janssen Dozi 115,200 zitakazotumika kuchanja wananchi 115,200 kwa ufadhili wa Serikali ya Ubeligiji...

READ MORE

Kichanga Kilichotupwa Chooni Chaokolewa

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limemuokoa mtoto mchanga wa kiume anayekadiliwa kuwa na umri wa siku mbili hadi tatu aliyekuwa...

READ MORE

 Danadana Majaribio Treni ya SGR Dar – Moro

DANADANA zimeendelea kutawala juu ya kukamilika kwa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha Dar – Morogoro, baada ya...

READ MORE

 Tanzania Yaongoza kwa Matumizi ya Bangi Afrika Mashariki

Licha ya sheria kali za kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya, tafiti zilizopo zinaonyesha kuwa Watanzania hutumia zaidi bangi kuliko...

READ MORE

Tanzania Kuanza Kuzalisha “Smart Phone”

Serikali imemtaka muwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber chenye uwezo wa kuzalisha nyaya za mkongo a mawasiliano kuharakisha ujenzi uliosalia...

READ MORE

 Mtoto wa Miaka 13 Ajinyonga

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issa, amesema Mtoto anayefahamika kwa jina la Evancy Underson mwenye umri wa miaka...

READ MORE

Marekani Yaanza Kuishawishi Tanzania Kuruhusu Bangi

Nia ya kampuni ya Kampuni ya Honest Marijuana inayolima bangi kuwekeza nchini Tanzania imeibua mjadala kuhusu iwapo nchi inapaswa kuhalalisha...

READ MORE