×

Makala

WASANII 5 WALIOTUMIA DAWA ZA KULEVYA

DAWA za kulevya zimekuwa changamoto kubwa katika nchi mbalimbali duniani kwani vijana wengi wamepatwa na umauti kutokana na kuathiriwa na...

READ MORE

BAKULI HALICHAGUI MBOGA

NASHANGA bia yenyewe moja lakini asubuhi na wewe unakimbilia mchemsho wa nini? Paaaambeeee shoga, usione simba kaloa na mvua ukasema...

READ MORE

KUFITINISHA WANAOPENDANA ILI WAACHANE FAIDA YAKE NINI?

NAMSHUKURU Mungu kwa kunifanya niione wiki hii nikiwa mzima wa afya huku nikiendelea vyema na shughuli zangu za kila siku...

READ MORE

AMEUVUNJA MOYO WAKO NA KUKUACHA NA MAJONZI ? SOMA HAPA- 2

NAKUSHUKURU mpendwa msomaji wangu ambaye umetumia muda wako ‘kushea’ nami kuhusu mada hii kama tulivyoianza wiki iliyopita. Nimepokea meseji nyingi...

READ MORE

NI RAHISI KUWA NA MCHUMBA NA USIFANYE NAYE MAPENZI ?

NAMSHUKURU Mungu kwa mara nyingine tena kwa kunijalia fursa hii adhimu ya kuzungumza nanyi wapenzi wasomaji wa safu hii. Hakika...

READ MORE

USISEME HUNA BAHATI, UMEJIKAGUA VYA KUTOSHA?

DUNIA ya sasa imejaa sarakasi nyingi sana katika masuala ya mahusiano. Huyu anampenda yule, mwenzake hampendi. Anayemkataa mwenzake naye anampenda...

READ MORE

UKIMFANYIA HAYA MWANAUME UGOMVI MTAUSIKIA KWA MAJIRANI

ALHAMISI nyingine, tunakutana kwenye darasa letu la masuala ya mahusiano. Ni vyema kuyazungumza na kuyafanyia kazi ili mahusiano yetu yazidi...

READ MORE

TUMEKWISHA! HIVI NDIVYO WENYE SIMU ZENYE PICHA ZA NGONO WATAKAVYONASWA

KAMA hujaisikia mbiu, ni vyema ukutangaziwa wazi kwamba wale am­bao bado tunahifadhi picha na video za ngono kwenye simu zetu...

READ MORE

Kuamka Mapema Kunaweza Kukuepusha na Saratani

Wanawake wanaoamka mapema wapo katika uwezekano mdogo wa kupata saratani ya matiti, kwa mujibu wa watafiti nchini Uingereza. Kundi la...

READ MORE

MC WA MSIBANI HAPIGIWI MAKOFI

SHOGAAA eeehh haya sasa sema mwenyewe, ulijifanya hodari wa kupakua kumbe kupika kwenyewe huwezi, haloooo eeeehhh na bado, mwaka ndo...

READ MORE

NI KOSA KUMPA MCHUMBA HUDUMA ZA MKE AU MUME !

 NIANZE kwa kumshukuru muumba wa mbingu na nchi, kwa rehema na fadhila anazonifanyia katika maisha yangu ya kila siku, ama...

READ MORE

MAKONDA, HUU HAPA UFUSKA WA KUTISHA!

VITUKO katika Jiji la Dar es Salaam sijui vitaisha lini? Maana kila uchwao ya kusikia ni mengi; Ijumaa linakupakulia tukio...

READ MORE

KAPTENI HILDA: MWANAMKE WA KWANZA KUENDESHA NDEGE NCHINI

Hilda Wendy Ringo KUNA kazi ambazo wanawake kamwe hawawezi kuzifikiria kuzifanya maana baadhi ya wengi wao watakuambia nataka kufungua duka...

READ MORE

MBINU ZA KUMFURAHISHA MUWAPO FARAGHA-2

NI wiki nyingine tunapokutana katika uwanja huu, mada yetu ni ile tuliyoianza wiki iliyopita, ambayo ama kwa hakika inaonekana kuwagusa...

READ MORE

DC TEMEKE AWAFUNDA WANAVICOBA

MKUU  wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva, amewataka wajasiriamali walio katika mpango wa Vicoba, kutumia vyema huduma za kibenki ili...

READ MORE

KUNA BINADAMU NA BINADAMU WANYAMA KWENYE MAHUSIANO, JIFUNZE

MUNGU ni mwema kila wakati! Alhamisi nyingine tunakutana kwenye kilinge cha mahaba. Tunakutana kupeana elimu, kufunguana mawazo juu ya masuala...

READ MORE

SAA YA UKUTANI HAIVALIWI MKONONI

OHH Anti Naa siku hizi hachambi sana kama zamani, komaaa! Aliyekwambia hii kolamu ya kuchamba nani? Hee heeeiyaaaaa! Waswahili wanakwambia...

READ MORE

JINSI YA KUMTEKA ASIKUACHE !

NI Jumatatu nyingine, tumejaliwa na Mwenyezi Mungu, nami nakukaribisha jamvini mdau tupate elimu ya mapenzi na maisha kwa jumla.  Kama kichwa...

READ MORE

KUNA HATUA KABLA YA KUZAMA PENZINI USIKOSEE!

MAPENZI raha yake ni kupendana. Yananoga zaidi wapendanao wanapopendana kwa asilimia mia. Mwanaume ampende mwanamke kwa kiasi hicho, vivyo hivyo...

READ MORE

MADENTI WAINGIZWA GESTI MCHANA

HIVI wazazi wawafiche wapi watoto wao wa kike ili waweze kutimiza ndoto zao kimasomo? Jibu la swali hili ni gumu...

READ MORE

MBINU ZA KUMFURAHISHA MUWAPO FARAGHA

T ENDO la ndoa (kwa wanandoa) si tu linatumika kuboresha uhusiano kati ya mume na mke bali pia ni dawa...

READ MORE

KUKU MWEUSI HAFUKUZWI USIKU

 WEEEEER-AAAAA shoga yangu! Unaambiwa gari la kuazima haliwezi kukuishia mafuta na utatembea hadi umalize soli za viatu lakini huwezi kukutana...

READ MORE

KUNA MAISHA BAADA YA KUUMIZWA, YATAFUTE HIVI !

DUNIA ya wapendanao kila siku ina mambo mapya. Huyu anaingia huyu anatoka. Kuna ambaye analia na kuna ambaye anacheka. Anayecheka...

READ MORE

RAHA YA MCHEZO NI MAANDALIZI YA KISAIKOLOJIA SIYO UCHAWI

JUMAA ya leo ningependa tujadiliane jambo la tofauti kidogo! Kabla ya yote, tukubaliane kwamba usiri na kukosa uwazi kwenye mambo...

READ MORE

WAKATI MO AKISAKWA ALIYETEKWA SIKU 14 A IBUKA KANISANI

WAKATI mfanyabi­ashara ambaye ni bilionea maarufu Bongo, Mohammed Dewji akisakwa kila kona bila mafanikio, kijana Chris­topher Stambuli (pichani) ambaye alitekwa...

READ MORE

BODABODA HAINA TIKETI

WAJANJA wanakwambia hiviii, hata gari lina sofa lakini siyo za kutengenezwa kwa mbao, upo nyonyo? Heee eheeeeiyaaaa tangu lini mfuniko...

READ MORE

AKIKUSALITI UKAMUACHA, WEWE NI MSHAMBA WA MAPENZI !

NI matumaini yangu kwamba una shauku kubwa ya kujua nini nimekuandalia kwa leo. Ni yaleyale kuhusu maisha yetu ya kimapenzi...

READ MORE

SKENDO YA NGONO KANISANI

SKENDO ya ngono kuingia kwenye nyumba ya Mungu haipendezi; lakini kwa kuwa shetani yu kazini imedaiwa kufika ndani ya Kanisa...

READ MORE

UNAWEZA KUOLEWA N A MTU USIYEMPENDA ?

MUNGU ni mwema, Jumamosi nyingine tunakutana kwenye kilinge. Tunajadili yale ambayo yanahusu uhusiano, uchumba na hata ndoa. Moja kati ya...

READ MORE

TUOMBE WEMA SEPETU APATE MTOTO; LAKINI…..

EEE Mungu naomba mtoto na mimi. Andika ameeni!  Haya ni maneno niliyoyatoa kwenye Mtandao wa Facebook katika Ukurasa wenye jina la...

READ MORE

UTAJUAJE KAMA UPO KWENYE MAPENZI HATARISHI? SOMA HAPA

MATUKIO ya wanandoa kuwaua wenzi wao au kuwafanyia ukatili wa kutisha, yanazidi kuongezeka. Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na...

READ MORE

OMBAOMBA TISHIO KWA WANAWAKE ANASWA!

IRINGA: Ombaomba anayeomba kwa kutumia nguvu ameibuka Iringa hii ikiwa ni mara ya pili kwani huko siku za nyuma tukio...

READ MORE

KUNA WANAOAMINI NDUMBA KWENYE MAPENZI, USIWAPUUZE!

MUNGU ni mwema, Alhamisi nyingine ametujaalia tunakutana katika jamvi letu la ulimwengu wa mahaba. Kama ilivyo ada, hapa tunapanuana mawazo...

READ MORE

KIJIKO CHA JIKONI, HAKIOGOPI MOTO !

SHUUUUTUUUU! Jitu zima hovyo kutwa kuwasema wamama wenzio, hivi jamani mtu kufanikiwa kidogo ndo yamekuwa maneno? Basi yachukue kayachapishe kwenye...

READ MORE

INASIKITISHA! MTOTO ATEKWA, ACHINJWA

BUKOBA: Wakati watoto wawili, Idrisa Ally (13) na Gabriela Kilimba (3) wa jijini Dar wakiwa hawajulikani walipo baada ya hivi...

READ MORE

MLINZI WA MAKABURI: NILISHAWISHIWA NIUZE KIGANJA CHA MTOTO!

DAR ES SALAAM: Mzee mmoja, Charles Magilagila, wa Tabata Segerea ambaye ni mlinzi wa makaburi wa eneo hilo amefunguka jinsi...

READ MORE

UNATAKA KUDUMU PENZINI ?SIRI HII HAPA

WATU wengi wanatamani kudumu kwenye uhusiano lakini bahati mbaya huwa inashindikana. Mtu ambaye hadumu kwenye uhusiano, si kwamba anakuwa hapendi...

READ MORE

PESA INAPOGEUKA KIUNGANISHI KWENYE MAPENZI, HESABU MAUMIVU

IJUMAA imewadia, karibu msomaji wangu kwenye uwanja huu na kama kawaida, mada ya leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Uhusiano...

READ MORE

ALI KIBA UNAZINGUA MZEE! USIPOBADILIKA UTAPOTEZA MASHABIKI

MWANZONI mwa wiki hii, msanii wa kitambo na mwenye heshima kubwa Bongo, Ali Kiba aliachia video mpya ya wimbo uitwao...

READ MORE

UWOYA ULITAKA NDOA MWENYEWE, TULIA SASA !

Irene Uwoya. KWAKO muigizaji wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya. Habari za siku, mambo yanakwenda vizuri? Bila shaka u-mzima wa...

READ MORE