Browsing Category
Matangazo
Unasumbuliwa na Vidonda vya Tumbo? Suluhisho Lipo
#DALILI 10 ZA VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS) NA MADHARA YAKE VISIPOTIBIWA
0717172230
✍🏻Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa…
Funga CCTV Camera kwa Bei Rahisi Kabisa
Tufuate @salamasanatz
@salamasanatz
Kwa Full Materials plus Installation. #0717124999
- CCTV Camera Complete Installation 4 Cameras = 750,000/
- Electric Fence adi Unakabidhiwa kwa Meter = 22,000/
- Automatic Motor Gate…
Miche Bora Inayozaa Matunda kwa Muda Mfupi
Karibu ujipatie miche bora ya kisasa ya matunda yenye afya na ustawi mzuri wenye mazao mengi,miche yetu inatokana na ubebeshwaji (grafting),budding na Hybrid seed.
Miche tuliyonayo ni embe chungwa, limao, ndimu, chenza,…
Sofa Kali, Bei Chee
Umeziona na kuzipenda furnitures zetu???
Basi usingoje mpaka umtembelee rafiki yako ndo uzikute furnitures zetu bali kuwa wa kwanza kununua yeye azikute kwako 👌😘🔥
Sisi federicoferino furnitures tunakuhakikishia…
Nafasi za Masomo Itulahumba Sec School
Itulahumba Sekondari School inawatangazia nafasi za Masomo kwa kidato cha kwanza (form 1) 2022.
Tumekuwa na Matokeo Mazuri kidato cha NNE kila Mara tazama matokeo haya kwa mwaka 2019 & 2020
Matokeo kidato cha NNE Itulahumba…
Nafasi za Masomo Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam – Duce (2021/2022)
Mkuu wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) anatangaza nafasi za masomo ya umahiri na stashahada ya uzamili (postgraduate diploma) kwa mwaka wa masomo 2021/2022 katika kozi zifuatazo.
• Master of Arts in Public Administration…
Tecno Camon 15, Simu Yenye Muonekano na Teknolojia ya Hali ya Juu
UBUNIFU zaidi wa teknolojia unaendelea kutenda haki duniani ambapo mawasiliano yanafanyika katika muda unaotakiwa na kikamilifu kuliko hapo mwanzo.
Teknolojia mbalimbali zimeleta mabadiliko ya haraka kutoka katika simu za…
Mama Lishe Wachuana Kupika Chapati, Utashangaa!
AKINAMAMA Lishe wa Soko la Ilala jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa, Aprili 3, 2020, wametoana jasho katika Shindano la Kupika Chapati lililoendeshwa na Makampuni ya Azania Group kwa kushirikiana na Makampuni ya Global Group.
…
GNM Waikwepa Corona, Njia Rahisi ya Kusafirisha Hii Hapa
GONJWA hatari la Corona lililoanzia Wuhan nchini China, linaendelea kusababisha madhara makubwa duniani kote, huku tayari wagonjwa kadhaa wakiwa wamebainika hapa nchini.
Inafahamika kwamba tangu kuzuka kwa ugonjwa huu,…
St. Mary’s Waukubali Ubora Sabuni za King Limau na Marhaba
MAKAMPUNI ya Azania Group ambao ni watengenezaji wa sabuni bora za King Limau na Marhaba ambazo zinasifika kwa ubora, wakishirikiana na kikosi cha Matangazo cha Makampuni ya Global Group, jana Ijumaa, Februari 21, 2020,…
Chuo cha KITM Chamwaga Tena Nafasi Mpya za Masomo 2020
Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) kilichopo Mwenge na Sinza-Mapambano, jijini Dar es Salaam, chenye usajili wa NACTE No. Reg/ANE/029, anapenda kukufahamisha kuwa usajili wa muhula mpya wa masomo umeanza…
King Limau na Marhaba Soap ni Habari Nyingine
Promosheni ya nguvu ya sabuni za unga za King Limau na Marhaba Soap iliyofanyika kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, imeweka rekodi ya aina yake kutokana na ubora wa sabuni hizo zinazozalishwa na Kampuni ya Azania Group…
Sabuni za King Limau na Marhaba Zaweka Rekodi Mitaani
KAMA ulishazoea kutumia sabuni za kawaida mtaani kwa ajili ya matumizi mbalimbali na pengine ulishazoea kwamba ndivyo sabuni zinavyotakiwa kuwa, utakapopata nafasi ya kutumia sabuni mpya za Marhaba na King Limau, utastaajabu!
…
Nafasi za Kazi Global, Mwadishi wa Habari Anahitajika
Nafasi za kazi
Je, wewe ni BINGWA wa HABARI za MJINI zinazowahusu MASTAA na WATU
maarufu?
Unaweza kufuatilia habari za UCHUNGUZI?
Una uelewa wa mambo ya BURUDANI hasa muziki wa NDANI na NJE ya NCHI?
Ukiwa na SIFA hizi fika OFISINI…
OFA! Tsh 250,000 Tu, Unapata Laptop ya Kisasa Kabisa
JE, UNAHITAJI Kompyuta au vifaa vyake? Don Technologies Ltd ni wauzaji wakubwa wa Computers za kisasa aina zote pamoja, smartphones na vifaa vyake (Computer accessories). Don Technologies Ltd tunao Mawakala nchi nzima hivyo unaweza…
Punguzo Kubwa la Tiketi za Ndege kwa Asilimia 47, Bofya ==> Hapa
UNA uwezo wakufika popote pale unapotaka kufika!! Nunua Tiketi ya ndege kwa punguzo hadi asilimia 47%. Unadhani kusafiri iko nje ya uwezo wako? Tunakuthibitishia kua wazo hili sio la kweli tena mwaka 2019.
Endelea kusoma ili…
NMB Yazindua Huduma Mpya ya Masta Boda
Dunia inakwenda kwa kasi sana! Kutokana na changamoto ya foleni hasa katika maeneo ya mijini, watu wengi siku hizi hupendelea zaidi usafiri wa bodaboda!
Watumiaji wa bodaboda wameongezeka maradufu lakini pia, vijana wanaotoa huduma ya…
Airtel Yanogesha Wiki ya Huduma kwa Wateja
AIRTEL yanogesha wiki ya huduma kwa wateja, yatangaza punguzo la simu za smartphone la hadi elfu 35 katika maduka yake.
Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel katika wiki hii ya huduma kwawateja imetangaza kuwa…
Safirisha Mizigo Yako Kirahisi kwa GNM Cargo
KAMA wewe ni mfanyabiashara mkubwa au mdogo, bila shaka ndoto zako ni kwenda kuagiza mzigo nje ya nchi, hususan nchini China ambako bidhaa nyingi hupatikana kwa bei nafuu lakini kinachowatatiza wengi, ni kwamba hawajui wapi pa kuanzia.…
KIUT: TUMERUDI UPYA, MTUAMINI
“KUTELEZA siyo kuanguka!” Ni msemo tunaoutumia pale tunapokatishwa tamaa ya kusonga mbele. Msemo huu unatupa faraja ya kusimama tena.
Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala nchini Tanzania (KIUT) ni miongoni mwa vyuo vikuu…
Baada ya Kumaliza Kifungo cha TCU, Kampala University Yaja Upya
Kuteleza sio kuanguka” ni msemo tunaoutumia pale tunapokatishwa kabisa tamaa ya kusonga mbele, msemo huu unatupa faraja ya kusimama tena. Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala nchini Tanzania (KIUT) ni miongoni mwa vyuo vikuu vilivyoufanyia…
EMINA YAJA NA SULUHISHO LAVIJIDUDU VYA MARADHI MAJUMBANI
VIJIDUDU vienezavyo maradhi kwa binadamu, ni tatizo kubwa hasa kutokana na uchafu wa mazingira yanayotuzunguka, na kusababisha watu wengi waugue maradhi ambayo walikuwa na uwezo wa kujikinga kabla hayajawapata.
Maeneo ambayo…
ATOLLSPEED HYBRID OVEN; MASHINE YA KUOKA MIKATE YENYE ‘MAAJABU’
HEBU vuta picha, unafanya biashara ya kuoka mikate, oda zimekuwa nyingi, wateja wanakusubiria, lakini uwezo wako wa kuzalisha ni mdogo, jasho linakutoka kutokana na joto kali ndani ya jiko lako la kuokea mikate, hujui cha kufanya!…
JAFFERJEE: MABINGWA WA VIFAA VYA USALAMA MAHALI PA KAZI
Hakuna shughuli ngumu kama uendeshaji wa mitambo mikubwa, kufanya kazi viwandani, migodini au kwenye miradi mikubwa ya ujenzi wa maghorofa, nyumba za kawaida na miundombinu kama madaraja na kadhalika.
Usalama kazini huwa ni…
SHUHUDIA HAWA JAMAA WANAVYOMUOKOA FUNDI – PICHAZ
BAADHI ya Wabongo tumekuwa na utaratibu usiofaa hasa kwenye shughuli za ufundi kwa kufanya kazi zetu bila kufuata misingi ya taaluma hiyo aidha kwa kukaidi au kupotezea (kuchukulia poa) ikiwemo kutokuvaa vifaa vya kazi wakati wa…
MLETE MWANAO HEALSUN SCHOOLS – ARUSHA
PRE & PRIMARY & TECHNICAL SECONDARY SCHOOL, DAY AND BOARDING
IMESAJILIWA KWA NO AR.01/07/075
SECONDARY REG NO S 5023
Healsun Pre-Primary Primary & Technical Secondary ikishirikiana na shirika lisilo la kiserikali la…
Saluni Hii ‘Balaa’ kwa Urembo, Mitindo Dar; Tazama Wanachokifanya – VIDEO
KAMA wewe ni dada au mama unayekiumiza kichwa chako kutafuta saluni itakayokuremba na kukufanya uonekane mrembo bila kuathiri ngozi yako au nywele zako, jibu ni moja tu, wacheki Goddess Glam Salon. Hapa kuna kila huduma ya…
Kopa Chap Chap Kupitia NMB KLiK
NMB wamekusogozea huduma zao karibu yako zaidi kupitia NMB KLiK. Furahia huduma bora za kibenki kwa urahisi, haraka bila usumbufu wakati wote. #NMBKaribuYako #NMBKlik
Nafasi za Masomo Kidato cha 5, Shule Sekondari Msangani, Kibaha
Shule ya Sekondari Msangani yenye namba za usajili S1133 ni shule ya bweni kwa wavualana na wasichana kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita, ipo Kata ya Msangani, Kibaha, Kwa Mathias mkoa wa Pwani umbali wa kilomita sita kutoka Barabara…
House for Rent/Sale at Ukuni- Bagamoyo
The House is 3 bedrooms with its toilets, One Spacious Master Bed Room, Kitchen, Sitting Room, Dining Room, A garage, A Bar, still brand new. Located just off the Main Road to Bagamoyo Town. Ukuni is one of the well planned Low density…
Buswita Akabidhiwa Namba Ya Chirwa
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Pius Busitwa, leo atacheza namba tisa akimrithi mshambuliaji Mzambia, Obrey Chirwa aliyeshindwa kuongozana na msafara huo kuelekea Shelisheli.
Kutokana na ushindi wa bao 1-0 Jijini Dar es…
Mzee Akilimali: Chirwa Asipewe Penalti Yanga SC
KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali, amelitaka benchi la ufundi la timu hiyo linaloongozwa na Mzambia, George Lwandamina, kuhakikisha wanatafuta mbadala wa mchezaji atakayekuwa anapiga penalti badala ya Mzambia,…
Mbinu za Kutengeneza Shape Yako Unekane wa Kisasa
PENDEZA NA KESSY PRODUCT:
Weka muonekano wako vizuri sasa, wauzaji wa products za asili na mafuta yasio na madhara yeyote wala kemikali kwa matumizi na matokeo ni kwa araka kuanzia wiki mbili hadi nne.…