×

Michezo

Chikwende Akomba Mil 127 Simba Kukamilisha Dili

PERFECT Chikwende tayari amesaini mkataba wa miaka miwili Simba akitokea FC Platinum ya Zimbabwe lakini taarifa ikufikie kuwa jamaa amekomba...

READ MORE

Kocha Mbelgiji: Nipeni Simba Muone Mambo

IVAN Jacky Minnaert raia wa Ubelgiji ni mmoja kati ya makocha waliofanya mazungumzo na uongozi wa Simba kwa ajili ya...

READ MORE

Rasmi: Chikwende Mali ya Simba

RASMI, Winga Perfect Chikwende raia wa Zimbabwe aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya FC Platinum ni mali ya Klabu ya...

READ MORE

Yanga Yamalizana na Mtambo wa Mabao

FISTON Abdulazack raia wa Burundi amemalizana na mabosi wa Klabu ya Yanga ili kuongeza makali Kwenye safu ya ushambuliaji. Abdulazack...

READ MORE

Mapokezi Ya Yanga Dar ni Balaa, Mashabiki Wafurika (Picha +Video)

  KIKOSI cha Yanga wamewasili mchana wa leo Januari 15, 2021 kutokea Zanzibar na kupokelewa kwa shangwe na mamia ya...

READ MORE

Liverpool vs Man United Kukiwasha Jumapili Hii

Tukianzia kule Uingereza kwenye EPL – Kutakuwa na mechi ya wakubwa wa ligi hiyo, wikiendi hii ni Liverpool vs Manchester...

READ MORE

Samatta Arejea Uwanjani, Atundika Bao!

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Fenerbahce ya Uturuki, Mbwana Samatta amerejea rasmi Uwanjani baada ya kuwa nje...

READ MORE

Majeraha ya Yacouba Pasua Kichwa Yanga

MAJERAHA ya nyama za paja aliyoyapata kiungo mshambuliaji nyota wa Yanga, Yacouba Songne yameendelea kukiweka kikosi hicho katika hofu kubwa...

READ MORE

Wachina Waomba Kujenga Uwanja Yanga

MEELEZWA kuwa kuna kampuni tisa hadi sasa zimetuma maombi ya kutaka kutengeneza Uwanja wa Yanga uliopo Kigamboni jijini Dar huku...

READ MORE

Saido Aanika Alivyoimaliza Simba Sc Akiwa Majeruhi

SAIDO Ntibanzokiza, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa wachezaji wenzake walimuomba awasaidie kuimaliza Simba, Januari 13 licha ya kuwa alikuwa...

READ MORE

Chikwende Anukia Ndani ya Simba

IMEELEZWA kuwa Perfect Chikwende nyota wa Klabu ya FC Platinum yupo kwenye hesabu za mwisho kutua ndani ya Klabu ya...

READ MORE

Barbara Ashambuliwa Zanzibar, Akimbilia Polisi

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez juzi Jumanne usiku alivamiwa na kufanyiwa fujo katika Uwanja wa Amaan, Visiwani...

READ MORE

Majanga Tena! Morrison Nje Miezi 6 – Video

IMEELEZWA kuwa Bernard Morrison nyota wa kikosi cha Simba atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita kutokana na...

READ MORE

Yanga Kulipeleka Kombe Kwa Mama Karume

BAADA ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi, Yanga inalitoa kombe hilo kwa mashabiki wa timu hiyo visiwani Zanzibar...

READ MORE

Prince Dube Yupo Fiti Kuanza Kazi

Mshambuliaji kutoka nchini Zimbabwe Prince Dube atajiunga na kikosi cha Azam FC kilichoweka kambi kisiwani Unguja – Zanzibar kwa ajili...

READ MORE

Kigonya Amwaga Wino Azam FC

KLABU ya Azam FC imemsajili mlinda mlango kutoka  Uganda, Mathias Kigonya,  kwa mkataba wa miaka miwili, akitokea klabu ya Forest...

READ MORE

Onyango Aipa Tano Yanga

Beki wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Wekundu wa Msimbazi Simba Joash Onyango Achieng, amewapongeza Young Africans kwa kufanikiwa kutwaa...

READ MORE

Senzo: Mapinduzi Cup Kama ‘Bonanza’

Mshauri Mkuu ndani ya Klabu ya Young Africans kwenye mchakato wa kuelekea mabadiliko Senzo Mazingiza Mbatha, amesema anatambua michuano ya...

READ MORE

Cheza Hold’em Poker Kwa Pesa Halisi Kupitia Meridianbet

Hold’Em Poker kupitia Meridianbet pekee. Unapenda kucheza poker na rafiki zako au unajiamini wewe ni mbobezi na kwamba ungependa kushindana...

READ MORE

Taifa Stars ya Yakabidhiwa Mkwanja Mzito wa CHAN

Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Abdallah Ulega ameikabidhi timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’...

READ MORE

Yanga Sc Yaanika Siri ya Kuitungua Simba SC

BAADHI ya wachezaji wa Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi 2021 Young Africans wamefichua siri ya kuwadhibiti wapinzani wao Simba SC...

READ MORE

Kaze Amkingia Kifua Michael Sarpong

CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuwa anaamini uwezo wa mshambuliaji wake, Michael Sarpong ni mkubwa lakini kwa sasa...

READ MORE

Tuisapoti Taifa Stars Ifanye Vizuri CHAN

KUACHA kuipa sapoti Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa namna yoyote ile kwa Mtanzania ni makosa. Tunasema ni...

READ MORE

Sasa United Inawania Ubingwa

BEKI wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, amesema anashangaa kuona mashabiki wa timu hiyo hawaamini, lakini ukweli ni kwamba...

READ MORE

Straika Mkongo Afungukia Usajili Wake Yanga SC

STRAIKA wa kimataifa wa DR Congo, Kadima Kabangu ambaye anakipiga katika kikosi cha DC Motema Pembe ya nchini humo, amefungukia...

READ MORE

Yanga Watwaa Kombe La Mapinduzi Yaifunga Simba

KIKOSI cha Yanga kimeibuka na ubingwa wa Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Simba baada...

READ MORE

Azam FC Yamalizana na Kipa wa Kimataifa

  GOLIKIPA wa kimataifa wa Uganda, Mathias Kigonya, amefuzu vipimo vya afya, tayari kujiunga na Klabu ya Azam FC akitokea...

READ MORE

Mapinduzi Cup: Kikosi Cha Simba Dhidi ya Yanga

NI muda tu unasubiriwa kwa sasa kabla ya watani wa jadi Yanga v Simba kukutana ndani ya Uwanja wa Amaan,...

READ MORE

Mapinduzi Cup: Kikosi cha Yanga Dhidi ya Simba, Ntibazonkiza Yumo

KIKOSI cha Yamga kitakachoanza leo dhidi ya Simba, Kombe la Mapinduzi, Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

READ MORE

Daladala za Sabasaba Dodoma Zagoma

MADEREVA na wamiliki wa Daladala, stendi ya Sabasaba jijini Dodoma, wamegoma kutoa huduma ya usafirishaji kwa madai eneo ni dogo,...

READ MORE

Yanga Vs Simba: Hali Ilivyo Nje Ya Uwanja Wa Amaan, Mashabiki Wafurika -Video

 TAYARI ipo wazi kwa sasa fainali ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, Uwanja wa Amaan ni kati ya watani...

READ MORE

Uganda Yafunga Mitandao ya Kijamii Kabla ya Uchaguzi

MAMLAKA ya udhibiti wa mawasiliano nchini Uganda imeamuru kufungwa kwa mitandao ya kijamii na njia za kutumiana ujumbe kabla ya...

READ MORE

Makocha Simba, Yanga Wachimbana Mkwara -Video

KATIKA kuhakikisha kila upande unafanikiwa kuibuka na ushindi katika mchezo wa leo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi, makocha wa...

READ MORE

Video: Yanga Vs Simba – Shangwe La Mashabiki Kutoka Dsm Hadi Zanzibar

 ARDHI ya Zanzibar leo Januari 13, itatetema kwa kishindo cha mtanange wa Watani wa Jadi (Simba Sc vs Yanga...

READ MORE

Man United Yaongoza EPL, Yawapiga Burnley

Klabu ya soka ya Manchester United ya nchini England, imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo...

READ MORE

Kocha Ibenge Afunguka Kujiunga Simba, Aitaja Yanga – Video

Kocha wa Timu ya Taifa ya DR Congo na Klabu ya AS Vita ameeleza kuhusu tetesi za kujiunga na Simba...

READ MORE

Aggrey Aagwa Kwa Heshima, Stars Yaibana DR Congo

  KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kinachonolewa na Kocha Mkuu, Etienne Ndayiragije jana kimelazimisha sare ya...

READ MORE

Ligi Mbalimbali Barani Ulaya Kutimu Vumbi Wiki Hii!

Kunako EPL Jumanne hii, Sheffield United uso kwa uso na Newcastle United. Sheffield ya msimu huu ni tofauti na ilivyokuwa...

READ MORE

Viingilio Simba, Yanga Vyapanda Mapinduzi

Simba na Yanga wanakutana leo Jumatano Januari 13, 2021 katika mchezo wa fainali wa Kombe la Mapinduzi huku viingilio vikipanda....

READ MORE

Miquissone Aondolewa Simba

MENEJA wa klabu ya Simba, Abbas Ally, amesema kuwa kiungo wa timu hiyo, Luis Miquissone, ameondolewa kikosini na kuwekwa chini...

READ MORE