×

Michezo

Dakika 125 za Saido Yanga, Zavunja Rekodi

BALAA aliloanza nalo kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Said Ntibazonkiza ‘Saido’ sio la kitoto unaambiwa, kwani nyota huyo amevunja rekodi...

READ MORE

Sadiki Momba na Baina Mazola Walivyotoana Kijasho Ulingoni

Bondia Baina Mazola na Sadiki Momba usiku wa kuamkia leo walitoana kijasho ulingoni kwenye mpambano wa raundi nane usiokuwa wa...

READ MORE

Man U Yaishushia Mvua ya Mabao Leeds Utd, Yaipiga 6-2

TIMU ya  Manchester United, jana usiku Desemba 20, 2020,  ilifanikiwa kupata ushindi mzito wa mabao 6-2 dhidi ya Leeds United,...

READ MORE

Ratiba Ya Yanga Kuivaa Ihefu Yapanguliwa

RATIBA ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Ihefu FC dhidi ya Yanga uliotarajiwa kuchezwa Desemba 26, imepanguliwa na...

READ MORE

Saido: Nitawapa Ubingwa Yanga SC

WAKATI jana Jumamosi akitarajiwa kucheza mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Bara akiwa na Yanga, kiungo mshambuliaji wa timu...

READ MORE

FC Platinum Wawawekea Mkakati Mzito Simba

WAKATI Simba ikiondoka jana kuelekea nchini Zimbabwe kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum...

READ MORE

Tuyisenge in, Carlinhos Out Yanga

USISHANGAE siku ukiona Yanga inamtambulisha straika mwenye nguvu na urafiki mkubwa na nyavu, Mnyarwanda Jacques Tuyisenge na kumtoa kwa mkopo...

READ MORE

Mondi Msaidie Baba’ako

Miongoni mwa stori zilizo-trend wiki hii ni pamoja na picha inayomuonyesha baba mzazi wa msanii wa muziki nchini Nasibu Abdul...

READ MORE

Yanga Inapiga Tu! Dodoma Jiji Walala na Viatu Arusha

  MABINGWA wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara Yanga Sc wameendeleza wimbi la ushindi baada ya leo Desemba 19 kufanikiwa...

READ MORE

Spoti Xtra Laendelea Kumwaga Zawadi kwa Wasomaji

GAZETI bora zaidi la michezo hapa nchini, Spoti Xtra, limezidi kuwapa tabasamu wasomaji wake kwa kuzidi kugawa zawadi mbalimbali kupitia...

READ MORE

Lwandamina Aanika Mikakati ya Usajili Azam

KOCHA Mkuu wa Azam FC, George Lwandamina amesema kuwa katika kuhakikisha mipango ya kutwaa ubingwa kwa timu hiyo inatimia, atakaa...

READ MORE

TFF Yamruhusu Saido Kukiwasha Dhidi ya Dodoma Leo

UONGOZI wa Yanga umepokea kibali kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) cha kumruhusu kiugo wao mshambuliaji raia wa Burundi, Said...

READ MORE

Yondani Aibukia Coastal Union

SIYO Namungo FC tena, safari hii jina la beki wa kati na nahodha wa zamani wa Yanga Kelvin Yondani limeibuka...

READ MORE

Ruvu Shooting Yaibana Azam FC, Chamanzi

AZAM FC imekubali sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Ruvu Shooting Desemba 18, 2020 kwenye mchezo wa Ligi Kuu...

READ MORE

Pawa Yako kushinda Milioni 65 Hata Bila ya Kushinda bet yako hapa betPawa

BetPawa inakupatia nafasi mbili zaidi  kushinda kiasi kikubwa hata kama bet yako haijashinda, katika gawio letu la milioni 500. Kila...

READ MORE

EPL na Serie A Kunogesha Wikiendi Ya Mashabiki wa Soka

Nchini Uingereza kunako EPL, ligi ndio kwanza inapamba moto! Hapa ni mechi baada ya mechi, waswahili wanasema ‘hatupoi, hatuboi. Timu...

READ MORE

Wasauz Wamrudisha Dube Uwanjani

MADAKTARIwaliosimamia matibabu ya straika hatari wa Azam, Prince Dube kutokea nchini Afrika Kusini ‘Sauz’, wamempunguzia straika huyo muda wa kukaa...

READ MORE

Lwandamina Aomba Muda Azam FC

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Mzambia, George Lwandamina, yupo katika mchakato wa kumchunguza nyota mmojammoja katika kikosi hicho ili kupembua...

READ MORE

Haruna Niyonzima Aongeza Mkataba Yanga

KLABU ya Yanga leo Desemba 18, 2020 imeongeza mkataba na kiungo mshambuliaji Haruna Niyonzima kutokana na Kocha Mkuu wa Yanga,...

READ MORE

Bosi Simba Afuata Vifaa Vipya Sauz

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba (C.E.O), Barbara Gonzalez, tayari ameanza maandalizi ya msimu wa 2021/2022 na juzi alikuwa kwenye...

READ MORE

Erasto Nyoni: Tutawafunga Platinum Kwao

BEKI wa Simba ambaye anamudu pia kucheza kama kiungo mkabaji, Erasto Nyoni, amesema kuwa mashabiki na wanachama wa klabu hiyo...

READ MORE

Yacouba Ana Jambo Lake, Atikisa Yanga SC

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, raia wa Burkina Faso, Yacouba Songne, ameweka rekodi nzuri katika timu hiyo ya kuwa kinara wa...

READ MORE

Kagere Aweka Rekodi ya Kibabe Bongo

MSHAMBULIAJIwa kimataifa wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, ameandika rekodi mpya na ya kibabe ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya...

READ MORE

Yanga Princess Yapaa Kileleni Kibabe

USHINDI wa mabao 5-0 waliopata ugenini Yanga Princess dhidi ya ES Unyanyembe, umewafanya warejee kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu...

READ MORE

Simba Yawafuata FC Platinum na Full Muziki

JESHI la wachezaji 24 wa Simba leo Ijumaa Desemba 18, 2020 wamekwea pipa kuelekea Zimbabwe kwa ajili ya mchezo wa...

READ MORE

Lewandowski, Klopp, Manuel Neuer Wanyakua Tuzo Bora za FIFA

ROBERT Lewandowski, mshambuliaji nyota wa Bayern Munich ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa Fifa huko Zurich na kuwashinda washindi wa miaka...

READ MORE

Shikalo Kama Zali, Anusurika Panga la Kaze Yanga

KWA mara ya kwanza, Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, ametaja sababu za kipa wake Mkenya Farouk Shikalo kuwekwa...

READ MORE

Lewandowski Ashinda Tuzo Mchezaji Bora Fifa

MCHEZAJI wa kimataifa wa Poland anayewachezea mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, Robert Lewandowski, usiku wa jana Desmba 17, amefanikiwa kushinda...

READ MORE

Rekodi Mpya ya Kagere Mbele ya Wachezaji Wengine

Mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda na Klabu ya Simba SC, Meddie Kagere amefikisha mabao 50 ya Ligi Kuu Tanzania bara...

READ MORE

Uongozi KMC Watoa Tamko Penati ya Simba

UONGOZI wa KMC umesema kuwa maamuzi ya penalti iliyotolewa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara jana, Desemba 16 hayapo mikononi...

READ MORE

Yanga SC Wamfuatamuuaji wa Azam FC

BAADA ya kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili jana Jumanne, tayari uongozi wa Yanga umeingia katika mazungumzo na beki wa...

READ MORE

Simba Wanaiwaza FC Platinum Desemba 23

KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameweka wazi kwamba kwa sasa akili zake zipo kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika...

READ MORE

Mbelgiji Ashusha Beki, Straika Simba

BAADA ya kukamilisha usajili wa kiungo Mgan-da, Thaddeo Lwanga, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amependekeza usajili wa beki na...

READ MORE

Nahodha AS Vita Awapa Mchongo Yanga FC

KIUNGO wa AS Vita ya DR Congo, Jeremy Mumbere, amesema Yanga itatisha zaidi kama itafanikisha dili la kumsajili mshambuliaji wa...

READ MORE

Yanga Yaanza ya Majembe Haya Dirisha Dogo

MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga na Mkurugenzi Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said, amesema kuwa wamepokea ripoti...

READ MORE

Carlinhos Afanyiwa Vipimo Yanga SC

KUFUATIA kusumbuliwa na mejeraha ya nyonga kwa muda mrefu, Kiungo wa Yanga, Carlos Carlinhos amefanyiwa kipimo cha MRI ili kubaini...

READ MORE

Sarpong: Nacheza Kwa Maelekezo Ya Kocha

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong, ameibuka na kusema hawezi kupoteza muda wake kuwafi kiria Sarpong: Nacheza kwa maelekezo ya...

READ MORE

Saido Aanza Kuitisha Simba

SUPASTAAmpya wa Yanga, Mrundi, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, amewatisha wapinzani wao, Simba kwa kuwaambia wakikutana uwanjani atapambana kwa ajili ya kufanya...

READ MORE

Jose Mourinho: Ushindi Wa Liverpool Ni Wa Kutengenezwa

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Tottenham, Jose Mourinho amesema kuwa ushindi ambao wameupata wapinzani wake Liverpool kwenye mchezo wao wa...

READ MORE

Simba Yafikisha Pointi 32, Yaipiga KMC Kwa Mkapa

BADO pointi tano tu Simba kuifi kia Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara. Hiyo ni baada ya jana...

READ MORE