×

Michezo

Nchimbi: Nitaitungua Simba Mapemaa!

DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa ikitokea amepata nafasi atahakikisha anaitungua Simba. Nchimbi, Jumamosi iliyopita alifunga mabao yote mawili...

READ MORE

Bocco Amuachia Balaa Dida

JOHN Bocco, nahodha wa Simba, ameacha balaa kwa Lipuli baada ya kuwafunga bao kwenye ushindi walioupata Simba mbele ya Lipuli...

READ MORE

Azam Yawatema Jaffary Maganga, Idd Cheche

UONGOZI wa Azam FC umesema umeachana na msemaji wa timu hiyo,  Jaffary Idd Maganga,  na kocha msaidizi, Idd Nassor Cheche....

READ MORE

Mbelgiji Yanga SC Apangua Kikosi

  BIG bosi wa benchi la ufundi la Yanga, Mbelgiji Luc Eymael, ameshtuka na kupitisha maamuzi ya kupangua kikosi chake...

READ MORE

Mbelgiji Yanga: Huyu ndiye Fei Toto ninayemtaka

BAADA ya kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, kuonyesha kiwango bora katika mchezo uliopita dhidi ya Alliance, kocha mkuu...

READ MORE

Luis Ameshindikana, Hivi Ndivyo Alivyoichinja KMC

HUYU Luis Miquissone ameshindikana! Ndivyo unaweza kusema baada ya raia huyu wa Msumbiji, jana kufunga mabao mawili ya haraka haraka na...

READ MORE

Eymael Aipa Onyo Kali Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amefikisha ujumbe mzito kwa wapinzani wake Simba kuwa watakapokutana wasitarajie wepesi hata kidogo kutoka...

READ MORE

Wachezaji Watatu Juventus Wakutwa na Corona

Klabu ya Juventus imevunjilia mbali kambi zote za mazoezi pamoja na kuamuru timu yao ya vijana walio na umri chini...

READ MORE

Siku 28 tu, Amunike Atimuliwa El Makkasa ya Misri

Klabu ya El Makkasa ya nchini Misri imemfuta kazi aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo, Emmanuel Amunike kutokana na mfululizo...

READ MORE

Bahati Nasibu ya Shinda Gari Kupitia Championi Yatikisa Mitaani

  NI baba lao, ndiyo wimbo pendwa unaoimbwa hivi sasa katika mitaa na miji yote ya Tanzania, mara baada ya...

READ MORE

Kipigo Cha Liverpool Chamtesa Van Dijk

BEKI Kisiki wa Liverpool, Virgil Van Dijk, amesema kuwa timu yao inatakiwa kujiangalia upya, baada ya kichapo cha kushtukiza juzi...

READ MORE

Samatta Aweka Rekodi ya Kibabe Wembley – Video

Mbwana Samatta amefunga bao lake la kwanza kwenye Uwanja wa Wembley kunako Dakika ya 41 wakati Aston Villa ikivaana na...

READ MORE

Manchester City Watwaa Ubingwa wa Carabao Cup

Dakika 90 za Mchezo Kati ya Manchester City na Aston Villa kwenye Uwanja wa Wembley zimemalizika huku Manchester City wakiibuka...

READ MORE

Mkwasa Abadili Mbinu Yanga

BILA kificho, Kocha Msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa amesema kuwa kasi waliyoionyesha kipindi cha pili kwenye mchezo wa mzunguko wa...

READ MORE

Siri Ya Niyonzima Kuoa Mke Wa Pili Yafi Chuka

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima, juzi Jumanne aliishika mitandao baada ya kusambaa picha na taarifa kuwa amefunga ndoa, huku...

READ MORE

Mbelgiji Amnyooshea Mikono Yondani

AKIMCHE-ZESHA kwa mara ya kwanza namba sita, Kocha Mkuu wa Yanga Mbelgiji Luc Eymael amefurahishwa na kiwango kikubwa alichokionyesha beki...

READ MORE

Rekodi zaibeba Yanga leo Uhuru

LEO Februari 29, Yanga itawakaribisha Alliance kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Uhuru huku ikibebwa na rekodi....

READ MORE

Tshishimbi Amaliza Utata Wa Morrison, Luis

BAADA ya ubishani mkubwa wa kupambanishwa kati ya kiungo wa Yanga, Bernard Morrison na yule wa Simba, Luis Miquissone, hatimaye...

READ MORE

Yanga: Simba Chukueni Tu Kombe, Kipigo Kinawahusu

SIMBA chukueni tu kombe, lakini kipigo kinawahusu, hii ni kauli ya Yanga ambayo wameitoa kuelekea mechi ya watani wa jadi,...

READ MORE

Kisa Simba, Yanga SC Wambananisha Morrison

MABOSI wa Kampuni ya GSM ni kama wameshtukia kitu vile kutoka kwa watani wao wa jadi, Simba, ni baada ya...

READ MORE

Mkwasa Akabidhiwa Mikoba Yanga

MABOSI wa Yanga wamewaambia wapinzani wao, Simba kwamba wasitarajie kwamba watakutana na urahisi watakapokutana nao wakiamini kocha Luc Eymael hawajui...

READ MORE

Eymael: Simba Walinipa Mbinu Kuiua Gwambina

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji Luc Eymael, amefunguka kwamba alitumia mbinu ya kuwatazama Gwambina wakati walipocheza na Simba, mwaka jana...

READ MORE

Banda Mikononi Mwa Mamelodi

BEKI Mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Highlands Park inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini, Abdi Banda, atakutana...

READ MORE

Championi, Spoti Xtra Baba Lao, Ndinga Mpya Kutolewa kwa Wasomaji

BAHATI nasibu ya Jishindie Gari Mpya iliyoanzishwa na Kampuni ya Global Publishers kupitia magazeti yake ya michezo ya Championi na...

READ MORE

Ile Ishu ya Kina Makame Kutimuliwa Kwenye Nyumba, Ipo Hivi…

MAPEMA jana, kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, ilikuwa ikisambaa picha ikiwaonyesha baadhi ya wachezaji wa Yanga, Abdulaziz Makame, Adeyum Saleh...

READ MORE

Dilunga: Waleteni Hao Yanga SC

STAA mpya wa Simba, Hassan Dilunga, amekiangalia kikosi cha Yanga, kisha akasema: “Waleteni hao Yanga mapema tu tumalizane nao.”  ...

READ MORE

Zidane Ampigia Salute Guardiola

KOCHA Mkuu wa klabu ya Real Madrid, Zinedine Zidane amemwangia sifa kocha wa Manchester City, Pep Guardiola na kusema ni...

READ MORE

Yanga Ndiyo Tumeanza, Watuliza Mashabiki -Video

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima, jana Jumatano alirudisha furaha ndani ya kikosi hicho baada ya kufunga bao pekee katika...

READ MORE

Yanga: Simba Tunawapiga Kiulaini Tu

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael amefunguka kuwa licha ya kushindwa kupata matokeo mazuri katika mechi nne mfululizo, lakini...

READ MORE

Vigingi Vya Mbelgiji Yanga Hivi Hapa!

KOCHA wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael kwa sasa anapasua kichwa kuona namna gani atakirejesha kikosi chake kwenye ubora wa kupata...

READ MORE

Chelsea Yachezea Kichapo cha Kufa Mtu Kutoka Kwa Bayern

MECHI kati ya Chelsea na Bayern Munich iliwashuhudia wababe wa Bundesliga wakipiga hatua kubwa ya kukaribia kufuzu kwa duru ya...

READ MORE

Simba Yaitupa nje Stand United Kombe la Shirikisho

Timu ya Simba leo Jumatano 25, 2020 imesonga mbele Kombe la Shirikisho dhidi Stand United kwa mikwaju ya penalti ya...

READ MORE

Luis Miquissone ni Habari Nyingine

KIUNGO wa Simba raia wa Msumbiji, Luis Miquissone, amefunguka kuwa baada ya kufanikiwa kufunga bao lake la kwanza msimu huu,...

READ MORE

Kagere Karudi ‘Nitafunga Mpaka Basiiii’

STAA wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, amesema kuwa kitu kilichompa ukame wa mabao katika michezo minne ya Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Video: Yanga Wamrudisha Jerry Muro, Atoa ‘Password’ kwa Mashabiki

    UONGOZI wa Klabu ya Yanga, leo Februari 25, 2020 umezungumza na wanahabari baada ya timu hiyo kutoka  sare...

READ MORE

Bocco: Huyu Luis ni Balaa Lingine

NAHODHA wa Simba, John Bocco, amefunguka uwezo unaoonyeshwa na kiungo mpya wa timu hiyo, Luis Miquissone, raia wa Msumbiji, haupaswi...

READ MORE

Ronaldo Anamlipa Mpenzi Wake Sh Mil 236 kwa Mwezi

SUPASTAA Cristiano Ronaldo, amekuwa akimpa mchumba wake Georgina Rodriguez dola 80,000 (zaidi ya Sh milioni 236.4) kila mwezi ili kumsaidia...

READ MORE

Wawa: Kisiki cha Simba Kinachoipigia Hesabu Yanga Namna Hii

MIONGONI mwa mabeki visiki ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2019/20, huwezi kuliacha jina la Pascal Wawa, raia...

READ MORE