×

Michezo

Mchezaji wa Yanga, Ally Yusuf Amefariki Dunia Dar Leo

Mchezaji wa zamani wa Yanga, Ally Yusuf ‘Tigana’ amefariki dunia leo Novemba 5, 2019 Alhamis mchana katika hospitali ya Amana,...

READ MORE

Kaseja Aachwa Kilimanjaro Stars, Aishi Manura Ndani

Kocha Mkuu wa Kilimanjaro Stars, Juma Mgunda amemwacha kipa Juma Kaseja na kumchukua Aishi Manula katika kikosi chake cha wachezaji...

READ MORE

Mwakinyo Usijimwambafai Kupitiliza

USIKU wa Ijumaa ya wikiendi iliopita naamini ulikuwa mzuri kwa mashabiki wa mchezo wa ngumi za kulipwa nchini baada ya...

READ MORE

Ni Ongala na Maxime Yanga SC

YANGA ina majina mawili ya Makocha mezani ambayo mmoja wao ndiye atakayekuwa kocha msaidizi wa Yanga kuanzia mwezi ujao na...

READ MORE

Mwakinyo Amuomba Radhi Matumla

BONDIA Hassan Mwakinyo, ameamua kuweka tofauti zake pembeni na bondia mkongwe Tanzania, Rashid Matumla baada ya jana kumuomba radhi mbele...

READ MORE

Rashford Amfanya Kitu Mbaya Mourinho Old Trafford

BAADA ya kukaa Manchester United kwa takribani miaka miwili, hatimaye jana Jumatano, Jose Mourinho alirejea klabuni hapo.   Mourinho alirejea...

READ MORE

Wazee Wanaobebwa na Penalti Bara

MSIMU mpya wa Ligi Kuu Bara unaendelea   kusonga mbele timu zikiwa zimecheza  mpaka mechi 13 ingawa bado kuna baadhi ya...

READ MORE

Simba Yamchomoa Kocha Stars

MABOSI wa Simba wanauchukulia umuhimu mchezo wao wa watani wa jadi, Yanga ni baada ya kuwasiliana na Shirikisho la Soka...

READ MORE

Patrick Aussems: Simba Kuna Viongozi ‘Waongo’

Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Patrick Aussems ‘Uchebe’ Novemba 3, 2019 kupitia  ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter...

READ MORE

Simba SC yawazuia Yanga kuondoka Dar

WACHEZAJI wa Yanga wameambiwa na uongozi: “Hakuna kuvunja kambi, mtabaki hapahapa Dar mpaka mtakapocheza na Simba.”   Hii imetokea siku...

READ MORE

Kocha Aussems Akwea Pipa na Kusepa Zake – Video

HATIMAYE aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji ameondoka nchini Tanzania na kurejea nyumbani kwao...

READ MORE

Aussems Ampa Majukumu Matatu Kocha Simba

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, ametamka kuwa kocha ajaye ndani ya kikosi hicho, anatakiwa anatakiwa akifanyie mambo...

READ MORE

EXCLUSIVE VIDEO: JAMES MSUVA Kuhusu SOKA, Amtaja SAMATTA, Kusajiliwa ULAYA…

 Global TV imefanya mahojiano na mshambuliaji wa timu ya KMC, James Msuva, ambaye pia ni mdogo wa Mshambuliaji wa...

READ MORE

Mwakinyo Kapigwa… Hakuna Anayesema Kitaalamu

GUMZO ambalo limetawala katika mijadala ya michezo kwa wikiendi hii ni kwamba bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo alipigwa na Arnel Tinampay...

READ MORE

Ayoub Semtawa… Dakta ri anayeki piga Coastal Union

MOJA ya kasoro kubwa za wanasoka wengi hapa nchini na duniani kote ni elimu. Wanasoka wengi wamekuwa na elimu za...

READ MORE

Mrithi wa Aussems Simba ni Huyu

WAKATI Kocha Msaidizi akiwa Selemani Matola, jina la Kocha Mkuu wa AS Vita ya DR Congo, Jean-Florent Ikwange Ibengé limetajwa...

READ MORE

Tshishimbi, Yondani Wafanya Kikao Kizito Yanga

NAHODHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Papy Tshishimbi, amepanga kukutana na mabeki wa timu hiyo kwa ajili ya kufanyia kazi changamoto...

READ MORE

Mzunguko wa Kwanza Wala Vichwa vya Makocha 9 Bongo

LIGI Kuu Tanzania Bara kwa sasa inazidi kuchanja mbuga ikiwa ipo kwenye mzunguko wa kwanza, ushindani umekuwa mkubwa kwa timu...

READ MORE

Azam Chupuchupu Kuchezea Kichapo

KLABU ya Azam jana iliponea chupuchupu kupokea kichapo mbele ya JKT Tanzania na kulazimishwa sare ya mabao 2-2 katika mchezo...

READ MORE

Okwi Afungua Akaunti Ya Mabao Misri

KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Simba hivi sasa anayekipiga Al Ittihad Alexandria ya Misri, Mganda Emmanuel Okwi, amefungua akaunti ya...

READ MORE

Mshindi wa Gari la SportPesa Asimulia Alivyoshinda

PROMOSHENI ya Faidika na Jero iliyokuwa inachezeshwa na Kampuni ya kubashiri ya SportPesa imemalizika kwa Yusuph Jackson, 29, mkazi wa...

READ MORE

Mourinho: Carrick Ameniita Man United

Mourinho: K OCHA wa Tottenham Hotspur, Jose Mourinho amesema kuwa mtu pekee aliyemwalika kwenye Dimba la Old Trafford ni Michael...

READ MORE

Mambo Matatu…Utata Ushindi Wa Mwakinyo – Video

BONDIA wa ngumi za kulipwa Tanzania, Hassan Mwakinyo, juzi alifanikiwa kumchakaza kwa pointi mpinzani wake, Arnel Tinampay raia wa Ufilipino....

READ MORE

Mwakyembe Azindua Mashindano ya Shimmuta Mwanza

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo hapa nchini, Dkt. Harrison Mwakyembe leo Jumamosi, Novemba 30, 2019 amezindua mashindano ya...

READ MORE

Breaking: Kocha Aussems Afungasha Virago Simba Sc

Kocha wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems, kupitia akaunti yake rasmi ya Instagram leo Novemba 30, 2019 amethibitisha kuwa Bodi ya...

READ MORE

Matola Kutua na Silaha Zake Simba

WAKATI kukiwa na tetesi za Kocha wa Polisi Tanzania, Seleman Matola kutakiwa na Simba, taarifa zinasema tayari kocha huyo ameanza...

READ MORE

Liver Kumkosa Fabinho Wiki 10

KIUNGO tegemeo wa Liverpool, Fabinho anatarajiwa kukosa mechi kadhaa muhimu kwa timu yake kutokana na kupata majeraha ya kifundo cha...

READ MORE

Makambo Kuikamua Yanga SC Mil 204

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kuwa kama kweli inamuhitaji mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Heritier...

READ MORE

Shuhudia Raundi Zote 10, Mwakinyo vs Tinampay (Picha +Video)

BONDIA Hassan Mwakinyo amemchapa Arnel Tinampay kutoka Ufilipino katika pambano  kali la Super Welter la raundi 10, lililopigwa usiku wa...

READ MORE

Mfaume Amchapa Keis Ally, Alia Kubebwa – Video

BONDIA Mfaume Mfaume amemtwanga bondia mwenzake Keis Ally, katika raundi ya nane na ya mwisho kwenye pambano la utangulizi kusindikiza...

READ MORE

Kiduku Ammaliza Msauzi kwa TKO, Amtaka Dulla Mbabe (Picha +Video)

BONDIA Twaha Kiduku kutoka Morogoro, amemchakaza bondia kutoka Afrika Kusini, France Ramabolu,  kwa TKO kwenye raundi ya tano ya mpambano...

READ MORE

Yanga Yamrudisha Tambwe Dar

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umedaiwa kuwa upo kwenye harakati za kutaka kumrudisha Mrundi, Amissi Tambwe kikosini hapo kwa ajili...

READ MORE

Breaking: Arsenal Yamtimua Kocha Mkuu Emery

KLABU ya Arsenal leo Ijumaa, Novemba 29, 2019, imemfuta kazi kocha mkuu wake, Unai Emery, baada ya kushindwa kupata ushindi...

READ MORE

CECAFA: Kikosi cha Stars Chatangazwa, Etienne Amuita Manula

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) kilichoitwaa kwaajili ya michuano ya Mataifa Afrika Mashariki na Kati...

READ MORE

Straika Mzambia Wa Yanga Atumiwa Tiketi Ya Ndege

VIONGOZI wa Yanga, jana walimtumia tiketi ya ndege mshambuliaji wao, Mzambia Mybin Kalengo ili arejee nchini kupata matibabu ya haraka...

READ MORE

Yanga Mkubali Dante Awe ‘Mbuzi’

HADITHI ya beki wa kati wa Yanga , Vicent Andrew maarufu kama Dante imechukua sura mpya baada ya mashitaka kufika...

READ MORE

Benchi la Ufundi Kuvunjwa Simba, Matola Anukia

IMEFAHAMIKA kuwa wakati wowote Klabu ya Simba itaachana na benchi zima la ufundi huku tetesi zikimtaja kocha wa sasa wa...

READ MORE

Mwakinyo Aapa Kuua Leo, Mfilipino Aanza Visingizio

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ameapa kuwa atahakikisha mpinzani wake, Arnel Tinampay raia wa Ufilipino ‘anafia’ ulingoni...

READ MORE

Vigogo Yanga Wakwea Pipa Alfajiri Kuiua Alliance

      KATIKA kuhakikisha wanapata pointi tatu, mabosi wa Yanga watano, leo alfajiri walitarajiwa kusafiriki kwa ndege kutoka Dar...

READ MORE

Jezi Nyekundu ya Zahera Yaacha Maswali

KOCHA ambaye jina lake likitajwa tu mashabiki wa Yanga wanashtuka, Mwinyi Zahera ametua nchini usiku wa kuamkia jana Jumatano. Zahera...

READ MORE