×

Michezo

Breaking News: Dismas Ten Asimamishwa Yanga

Uongozi wa klabu ya YANGA umemsimamisha Meneja wa Timu, Dismas Ten ili kupisha uchunguzi kufuatia kitendo cha kuwavalisha sare zisizo...

READ MORE

Msolla: Tuna Maandalizi Maalum ya Simba

  MWENYEKITI wa Yanga, Dk Mshindo Msolla, ameweka bayana kuwa, kwa kutambua ukubwa wa mechi yao dhidi ya Simba, wamejipanga...

READ MORE

Tshishimbi Awachimba Mkwara Simba SC

  NAHODHA na kiungo wa Yanga, Mkongomani Papy Tshishimbi, amewachimba mkwara wapinzani wao Simba kwa kuwaambia wasitarajie kupata urahisi wakati...

READ MORE

Wanafanya Makubwa Lakini Hawatajwi

  WAKATI Ligi Kuu Soka Tanzania Bara ikiendelea kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali nchini, Championi Jumatatu linakuletea baadhi ya wachezaji...

READ MORE

Muivory Coast wa Yanga, Balaa Lake Watakoma!

STRAIKA mpya wa Yanga, Muivory Coast, Ykiep Gnaimen, unaambiwa ni hatari wa kupiga mashuti ya mbali kuanzia mita 18-20 na...

READ MORE

Staa La Liga Apiga Goti Uwanjani Akiomba Ndoa

  KIPA wa Klabu ya Real Valladolid inayoshiriki Ligi Kuu ya Hispania (La Liga), Andriy Lunin, ameomba kumuoa mpenzi wake,...

READ MORE

Vidal Aishtaki Barcelona, Kisa Bil 6

  KIUNGO wa Barcelona, Arturo Vidal, amechukua hatua ya kushangaza dhidi ya klabu yake hiyo. Ameamua kuishtaki akidai hajalipwa pauni...

READ MORE

Gadiel: Niliondoka Yanga Sc, Sikulazimishwa, Nafurahia Simba

JOTO la mechi ya watani linazidi kupanda kwa sasa ambapo kila mchezaji na benchi la ufundi wa timu hizi mbili,...

READ MORE

Kaduguda: Yanga Wakija na Mdomo Watakula Tano

  KAIMU Mwenyekiti wa Simba, Mwina Kaduguda, amewatahadharisha wapinzani wao Yanga katika mchezo wao kama watakuja na maneno mengi basi...

READ MORE

Suarez, Sofia Washerehekea Miaka 10 ya Ndoa Yao

  STAA wa Barcelona, Luis Suarez amewakusanya mastaa wenzake kibao Boxing Day kudhuhuria sherehe ya miaka 10 ya ndoa yake...

READ MORE

Wawa: Molinga Jembe, Ila Hanisumbui

IMEISHA hiyo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya beki wa kati wa Simba, Muivory Coast, Pascal Wawa, kudai kwamba, ameziangalia vizuri...

READ MORE

Simba Yaitumia salamu Yanga Yaifunga KMC 2-0

TIMU ya Simba wameitumia salamu Yanga baada ya kuichapa KMC mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam leo...

READ MORE

Guu La Kagere Laibuka Uhuru Dk Ya 229

MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba guu lake juzi limeibuka Uwanja wa Uhuru baada ya kupita dakika 229 alizocheza bila kuzifumania...

READ MORE

Yanga Yavunja Mwiko wa Tanzania Prisons, Sibomana Apiga Bonge Bao

PATRICK Sibomana jana aliwafanya mashabiki wa Yanga walale usingizi mnono kufuatia kufunga bao kali lililoipa ushindi wa bao 1-0 timu...

READ MORE

Simba Waandaa Mkakati Mzito Wa Kuimaliza Yanga

HOMA inapanda aisee! Kuelekea kwenye mchezo wa Kariakoo Derby ambao utapigwa Jumamosi ijayo, Simba mapema tu wameshaweka mkatakati wao kuhakikisha...

READ MORE

Wachezaji Simba, Yanga Watoleana Vitisho vya Kibabe

KUELEKEA mchezo wa Simba dhidi ya Yanga mnamo Januari 4, mwakani, kumekuwa na tambo nyingi kutoka pande zote.   Mchezo...

READ MORE

Mkwasa: Tutawafunga Simba Bila Shida

    KOCHA wa muda wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa amesema kuwa anaamini watawafunga Simba katika mchezo wa Januari nne,...

READ MORE

Yanga Yalia na Kupoteza Mamilioni Mbeya

Klabu ya Yanga imeeleza masikitiko yake kufuatia kuhamishwa kwa mchezo wao wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons kutoka Uwanja wa...

READ MORE

PSG: Kikosi Ghali Zaidi Ligue 1

  MTANDAO wa Transfermarkt, umetoa orodha ya kikosi ghali zaidi ndani ya Ligi Kuu ya Ufaransa ‘Ligue 1’. Katika kikosi...

READ MORE

Mechi Ya Prisons na Yanga Kuchezwa Kesho Samora

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa taarifa kuwa mechi ya ligi kuu kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Yanga...

READ MORE

Bosi Yanga Aifuata ITC ya Niyonzima, Aandaliwa Nyumba

KATIKA kuhakikisha kiungo Haruna Niyonzima anauwahi mchezo dhidi ya watani wao wa jadi, Simba, uongozi wa Yanga umepanga kumpandisha ndege...

READ MORE

GSM Yafanya Kufuru Nyingine Yanga SC

KATIKA kuelekea mchezo wa watani wa jadi dhidi ya Simba, matajiri wa Yanga, Kampuni ya GSM ambao ndiyo wadhamini wa...

READ MORE

Breaking: Uwanja Wa Sokoine Wafungiwa, Mechi Ya Yanga Yaahirishwa

Mchezo wa Yanga dhidi ya Tanzania Prisons wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliokuwa uchezwe kesho tarehe 27/12 kutokana na Uwanja...

READ MORE

Bigirimana Asepa Rasmi Yanga SC

HATIMAYE straika wa Yanga, raia wa Burundi, Issa Bigirimana, ameomba kuachana na klabu hiyo kufuatia kutopata nafasi ya kukichezea kikosi...

READ MORE

Molinga Awatolea Kauli la Kibabe Simba SC

MSHAMBULIAJI tishio wa Yanga, Mkongomani, David Molinga ‘Falcao’, amewatolea kauli la kibabe wapinzani wao wakuu Simba kwa kuwaambia kuwa kwake...

READ MORE

Bosi Championi Amtunuku Njumu Staa wa Yanga Princess – Video

     MHARIRI Mtendaji wa Global Publishers inayomiliki magazeti namba moja kwa michezo nchini, Championi na Spoti Xtra, Saleh Ally...

READ MORE

Kabunda Asimulia, Alivyoshushwa Kwenye Basi la Timu Saa 9 Usiku

    ALIWAHI kutokea bwana mmoja aliyekuwa maarufu sana duniani katika miaka ya 1975, huyu jamaa aliitwa Arthur Ashe, mcheza...

READ MORE

Kocha Mpya Simba Aigomea Ripoti Ya Aussems

  IMEFAHAMIKA kuwa Kocha Mkuu mpya wa Simba, Mbelgiji, Sven Vanderbroeck ameuzuia uongozi wa timu hiyo kufanya usajili katika dirisha...

READ MORE

Nyota Simba kutimkia KMC

    RASHID Juma, mshambuliaji wa Simba, yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na uongozi wa timu ya Manispaa ya Kinondoni,...

READ MORE

Kauli 10 za Kwanza Za Arteta

  MIKEL Arteta ameanza maisha yake ya kwanza akiwa kocha mkuu. Ameteuliwa kuinoa Arsenal akitoka kuwa msaidizi wa Pep Guardiola...

READ MORE

NCHIMBI: Subirini, Nitawaonyesha Kwa Nini Niko Yanga

  HADI sasa kwenye dirisha dogo, Yanga wamekuwa na kasi kubwa kuliko hata ya upepo wa kisulisuli kutokana na kasi...

READ MORE

Amri Said Aipigia Mahesabu Yanga

  JIONI ya kesho Jumanne kwenye Uwanja wa Sokoine kutakuwa na mchezo kati ya Mbeya City dhidi ya Yanga ukiwa...

READ MORE

Viongozi Mbeya City Washambuliwa kwa Mawe

    TIMU ya Mbeya City FC imejikuta kwenye wakati mgumu baada ya viongozi wake wa benchi la ufundi kushambuliwa...

READ MORE

Mkwasa: Simba Wepesi tu, Wanafungika

    KATIKA kuelekea mchezo wa watani wa jadi, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, ametamba kuwa wapinzani...

READ MORE

Punguzo la Bei Kili Marathon Lakaribia Kuisha

  HUKU sikukuu za Krismasi na mwaka mpya zikiwa zimewadia, washiriki wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon wana siku...

READ MORE

Hadija Omary: Mzee Samatta Alipoachana na Wake Zake, Akanioa

KAMA kawaida ya gazeti lako pendwa la Championi Jumatatu ambalo hukuletea makala za wake wa mastaa mbalimbali ambao wamekuwa wakizungumzia...

READ MORE

Mbappe; Mtoto Anayefanya Mambo ya Wakubwa

  MARA chache sana unaweza kumuamini mtoto kufanya mambo makubwa. Mara nyingi watoto huaminika kufanya mambo ya kitoto, lakini Kylian...

READ MORE

Yaya Toure: Mashabiki wa Sasa ni Wajinga Zaidi

  GWIJI Yaya Toure anaamini kuwa ubaguzi kwenye soka umefikia hatua mbaya zaidi kwa sababu mashabiki wa sasa ni wajinga...

READ MORE

Mourinho Sasa awageukia Vertonghen, eriksen

  KOCHA wa Tottenham, Jose Mourinho, amesema sasa anataka mastaa wake, beki Jan Vertonghen na kiungo Christian Eriksen wasaini mkataba,...

READ MORE

Aussems Aikataa Yanga, Apata Dili Mpya

    KOCHA wa zamani wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amekataa kuzungumza chochote kuhusu Yanga, huku kukiwa na taarifa kuwa...

READ MORE