×

Michezo

Mohamed Salah Achongewa Sanamu, Hafanani nayo, Inachekesha!

SANAMU za kuchekesha na zisizofanana na nyota wa soka ambazo zimekuwa zikichongwa, hivi karibuni zimefika kwa mwanasoka maarufu wa Misri,...

READ MORE

Muziki wa Kagere wamuibua Tambwe

STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe, ameibuka na kusema straika wa Simba, Meddie Kagere ni moto wa kuotea mbali. Ni baada ya...

READ MORE

C.EO Mpya Simba Aanza na Mkwara Mzito

KLABU ya Simba imemtangaza rasmi Mtendaji Mkuu (C.E.O), Crescentius Magori huku akitangaza kwamba moja ya mipango yake ambayo ataifanya baada...

READ MORE

Wachezaji Leicester City Wawasili Thailand Kumzika Mmiliki wa Klabu

Wachezaji wa Leicester City wamewasili nchini Thailand kwa mazishi ya mmiliki wa klabu ambaye alifariki kwenye ajali ya helikopta. Jamie Vardy...

READ MORE

Mussa Mathias ashinda bajaj ya SportPesa

UNAWEZA kusema Watanzania wameamua na kila mtu anapambana kwa nafasi yake kuhakikisha anashinda na timu ya ushindi SportPesa. Kwa nini...

READ MORE

 Simba SC Yatenga 750m za Usajili

WAKATI dirisha la usajili Tanzania Bara likitarajiwa kufunguliwa Novemba 15, mwaka huu, imebainika kwamba wachezaji mbalimbali wa kimataifa kutoka mataifa...

READ MORE

MATOKEO YA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SIMBA SC

 Matokeo Mwenyekiti-Sued Mkwabi kura 1579 kayi ya 1628 Wajumb: Asha Baraka.        -1180 Hussein Kitta.       – 958 Dr...

READ MORE

ZAHERA: MAKAMBO Hawezi Hata Mama Angu Anafunga Pale – Video

Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amefunguka mambo kadhaa juu ya sare ya 1-1 dhidi ya Ndanda ambayo wameipata...

READ MORE

KOCHA NDANDA AANIKA MBINU ALIYOITUMIA KUWADHIBITI YANGA – VIDEO

Kocha wa Ndanda FC akizungumza namna alivyowabana Yanga kisha kwenda nao sare ya bao 1-1.

READ MORE

NDANDA FC YAIBANA MBAVU YANGA SC – VIDEO YA MABAO IKO HAPA

Dakika 90 zimemalizika kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa mabingwa wa kihistoria Yanga kulazimishwa suluhu ya bao 1-1...

READ MORE

NMB YAICHAPA CRDB ‘BANKERS BASKETBALL LEAGUE’

MICHUANO ya Mabenki kwa Mpira wa Kikapu (Bankers Basketball League – BBL 2018), imeendelea kupamba moto hapa nchini, ambapo juzi...

READ MORE

Uchaguzi Simba… Dalali awaonya wanachama

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Hassan Dalali, amewaasa wanachama wa klabu hiyo kuwa makini kuelekea katika uchaguzi mkuu...

READ MORE

SIMBA KUWEKA HISTORIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAPYA LEO

WANACHAMA  wa klabu ya Simba wataweka historia leo (Jumapili) watakapoingia kwenye uchaguzi mkuu kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha...

READ MORE

Real Madrid Kumnunua Diaz wa Manchester City

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amepinga tetesi kwamba amekuwa akimshawishi mshambuliaji wa Barcelona na Argentina, Lionel Messi, 31, kujiunga...

READ MORE

Ajibu: Nimerudi, nipo fiti naanza na Ndanda

LEO saa 1 Usiku Yanga itakuwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar kukipiga na Ndanda FC katika mchezo wa ligi...

READ MORE

Yanga yamng’ang’ania Manji

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unatambua Yusuf Manji bado mwenyekiti wao hadi pale watakapopokea barua kutoka Baraza la Michezo la...

READ MORE

BUSUNGU: LIPULI MSINITAFUTE NIPO DOM NAFANYA BIASHARA

HIVI karibuni Kocha wa Lipuli FC, Selemani Matola aliweka wazi kuwa hajui alipo mchezaji wake Malimu Busungu na kwamba kambini...

READ MORE

KAGERE AFANYA YAKE, AWAPIGA MBILI KAVU JKT

Mambo mawili yaliyofungwa na Meddie Kagere katika dakika za 11 na 38 kipindi cha kwanza yameiwezesha Simba kung’ara kwa ushindi...

READ MORE

Sh Milioni 302 Zakusanywa Mashindano ya Acacia – Pichaz

ZAIDI ya Sh milioni 302.6 zimekusanywa katika kilele cha mashindano ya baiskeli ya ACACIA Imara Pamoja Cycle Challenge, ambayo lengo...

READ MORE

NYOTA SERENGETI AFUZU SOKA LA KULIPWA

NAHODHA wa Serengeti Boys, Morice Abraham amefanikiwa kufuzu majaribio yake ya kucheza soka la kulipwa katika klabu ya vijana (U17)...

READ MORE

Waingereza Wamuita Samatta Premier

BABA mzazi wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta, ameweka wazi kuwa majarida makubwa ya nchini...

READ MORE

POSHO YA OKWI, CHAMA INALIPA MSHAHARA YANGA

NEEMA imeendelea kuwashukia wachezaji wa Simba, unaambiwa kama mchezaji akicheza mechi ya Ligi Kuu Bara na timu ikapata ushindi, basi...

READ MORE

YONDANI: MKINILETEA HUYU WAMEKWISHA

BEKI mkongwe wa kati na nahodha wa Yanga, Kelvin Yondani amesema akisajiliwa mlinzi wa Rayon Sports ya Rwanda, Abdoul Rwatubyaye...

READ MORE

Zahera aleta kiberenge kama Msuva Jangwani

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera yuko kwenye hatua za mwisho kumalizana na winga kiberenge mwenye kasi aina ya Simon Msuva...

READ MORE

Meneja asema alipo Ibrahim Ajibu

BAADA ya nyota wa Yanga, Ibrahim Ajibu kukosekana katika mechi mbili za ligi ambazo zote timu hiyo ilishinda bao 1-0,...

READ MORE

TFF Yamwambia Bocco Asahau Man United

TAMKO lilitolewa na Bodi ya Ligi Tanzania Bara jana Jumatano, linamaanisha kwamba John Bocco na wachezaji wengine wa Simba hawataiona...

READ MORE

AMANI, SPOTI XTRA YAZIDI KUKIMBIZA KITAANI

Kikosi cha mauzo cha Kampuni ya Magazeti nya Global Publishers Ltd (GPL) watoaji wa magazeti ya Amani, Uwazi, Risasi, Ijumaa,...

READ MORE

Wanyarwanda wakataa mamilioni ya Yanga SC

KLABU ya Rayon Sports ya Rwanda imekataa dau lililotolewa na Yanga kwa ajili ya kukamilisha usajili wa beki wao, Abdul...

READ MORE

Manji arejea na Ally Mayay Yanga

MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji atarejea klabuni hapo muda wowote kuanzia sasa lakini sura ya kwanza atakayoitambulisha kwenye uongozi wake...

READ MORE

Chama ampoteza Fei Toto Bongo

MAMBO yakiwa moto Ligi Kuu Bara kiungo mahiri wa klabu ya Simba, Mzambia Claytous Chama ameonekana bora kitakwimu na kuweza...

READ MORE

Mbinu za Mzungu Simba SC zavuja

MBINU anazozitumia Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems kuwamaliza wapinzani wake katika kipindi cha pili, zimevuja.   Mbinu hizo zimevuja...

READ MORE

Kocha wa Chelsea Aliyetaka Kuzichapa na Mourinho Aadhibiwa

Mmoja wa makocha wa Chelsea, Marco Ianni, amepigwa faini na Chama cha Soka cha England (FA) kutokana na alivyosherehekea bao...

READ MORE

Yanga Yaitungua Lipuli, Tazama Bao la Makambo – Video

Timu ya Yanga imeendeleza moto wake ndani ya Ligi kuu baada ya kufankiwa kushinda mchezo wake wa leo dhidi ya...

READ MORE

Ronaldo: Niliachana na Real Madrid Sababu ya Rais Florentino Pérez

MWANASOKA Cristiano Ronaldo amesema kubadilika kwa uhusiano wake na rais wa klabu ya Real Madrid, Florentino Pérez, kulimfanya aachane na...

READ MORE

Kwa Simba hii unakufa tu

SIMBA ya sasa ukikutana nayo unakufa tu, hakuna ubishi kuhusu hilo, jana imefanikiwa kushinda mechi ya nne mfululizo kwenye Ligi...

READ MORE

Yanga, beki Rayon mambo safi

YANGA imefikia pazuri na beki wa kati wa Rayon Sports ya Rwanda, Abdul Rwatubyaye. Usajili wa beki huyo katika kikosi...

READ MORE

Mashabiki Man U Wachukizwa na Mourinho Kuhusu Penalti ya Pogba

PAMOJA na kurejea katika mstari wa kujiweka sawa baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Juventus ya Italia, Manchester United ambayo...

READ MORE

Nyoni, Juuko Wampa Wakati Mgumu Mbelgiji

BAADA ya hivi karibuni Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems kufanikiwa kuiona pacha ya mabeki wake wawili wa kati,...

READ MORE

EL CLASICO: BARCELONA YAITWANGA MADRID 5-1

KLABU ya Barcelona imeishushushia kipigo cha aina yake mahasimu wao, Real Madrid baada ya kuwafunga mabao 5-1 katika mechi ya...

READ MORE

IMETHIBITISHWA: Mmiliki Leicester City Amefariki kwa Ajali ya Helikopta

BILIONEA mmiliki wa Klabu ya Soka ya Leicester City, Vichai Srivaddhanaprabha (61), raia wa Thailand amethibitishwa kuwa miongoni mwa watu waliofariki...

READ MORE