×

Michezo

John Bocco: Sasa Naanza Kazi Simba

STRAIKA mpya wa Simba, John Bocco ‘Adebayor’ amebainisha bayana kuwa ataanza kuonyesha cheche zake za kutupia mabao ndani ya kikosi...

READ MORE

NIYONZIMA: SINA MANENO MENGI, TUKUTANE UWANJANI

  KIUNGO Mshambuliaji wa Simba raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima ametambulishwa rasmi katika kikosi cha timu hiyo na anatarajiwa kuwa...

READ MORE

MSIJIDANGANYE, SIMBA HAIJASAJILI MALAIKA

  MASHABIKI wa Simba, leo watamiminika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Tamasha la Simba...

READ MORE

Wanasimba Mkiungana Kwa Moyo Safi, Mtafika Mbali

LEO Jumanne, Klabu ya Simba inaadhimisha miaka 81 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1936 ambapo kutakuwa na kilele cha Tamasha la...

READ MORE

Watanzania Wajitokeza Kumsaidia Jini Kabula

MUDA mfupi baada channel ya mtandaoni ya Global TV Online kuendesha kampeni maalum yakumchangia fedha za kusaidia matibabu na huduma...

READ MORE

Okwi: Nimeisha? Njooni Muone Mavituz Yangu

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi amefunguka kuwa amejipanga kuonyesha kiwango cha hali ya juu kwenye mchezo wa leo...

READ MORE

Nghambi azindua kampeni kuwania Makamu Rais TFF

  MGOMBEA wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Mulamu Nghambi, leo amezindua kampeni zake...

READ MORE

VIDEO: Shuhudia Niyonzima Alivyoanza Rasmi Mazoezi na Okwi Simba

  KIKOSI cha Simba leo kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Boko Veterani uliopo Ununio jijini Dar ikiwa ni maandalizi ya...

READ MORE

Tambwe Atimka Yanga Usiku Mnene

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Amissi Tambwe, juzi usiku aliondoka nchini kwa siri na kwenda nchini Kenya bila ya uongozi...

READ MORE

Sol Campbell Alivyosherehekea Ushindi Wa Arsenal Na Mashabiki Wa Tanzania

Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Sol Campbell, leo aliiangalia mechi ya timu yake hiyo ya zamani ilipokuwa ikimenyana na Chelsea...

READ MORE

ARSENAL WAANZA MSIMU KWA NGAO YA JAMII, WAWAPIGA CHELSEA

Mabingwa wa Kombe la FA, Arsenal wametwaa Ngao ya Jamii kwa kuifunga Chelsea kwa penalti 4-1 baada ya kutoka sare...

READ MORE

Simbu Ashika Nafasi Ya Tatu, Abeba Medali Ya Shaba London

  MWANARIADHA Mtanzania, Alphonce Simbu, jana alifanikiwa kubeba medali ya shaba kwenye mashindano ya riadha ya dunia yanayoendelea jijini London,...

READ MORE

Sol Campbell Azipongeza Timu za Soka za Walemavu Dar (Video)

Sol Campbell baada ya kutua nchini Agosti 5, alipokelewa na SportPesa uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere upande wa...

READ MORE

Sol Campbell Alivyotua Tanzania, Apokelewa na SportPesa

Beki kisiki wa zamani wa Arsenal, Sol Campbell,  tayari ametua nchini kwa ajili ya ziara ambayo ni mwaliko wa SportPesa...

READ MORE

YANGA YAACHWA KWENYE MATAA, SINGANO AREJEA AZAM FC, ASAINI

Licha ya kuwa winga Ramadhani Singano alikuwa akiwania na Yanga ambapo tayari mazungumzo yalikuwa yameshafanyika ili asaini kikosini hapo, mchezaji...

READ MORE

SIMBA WATUA DAR ES SALAAM KUTOKA SAUZI, WAPO KAMILI KWA SIMBA DAY

Baada ya kufanya mazoezi kwa siku kadhaa nchini Afrika Kusini hatimaye  wakijiandaa kwa ajili ya msimu ujao wa 2017/18, hatimaye...

READ MORE

FT: YANGA 3-2 SINGIDA UNITED, UWANJA WA TAIFA

FULL TIME Mwamuzi anamaliza mchezo, Yanga wanaibuka na ushini wa mabao 3-2, awali Yanga walikuwa nyuma kwa mabao 2-1 lakini...

READ MORE

Simba Mlichokifuata Sauz Kidhihirisheni Nyumbani

KIKOSI cha Simba, kilikwenda Afrika Kusini kuweka kambi ya ku­jiandaa na msimu ujao ambapo wikiendi hii kinatarajiwa kurejea nchi­ni tayari...

READ MORE

Yanga Kumjaribu Ajibu Kwa Pluijm Leo Taifa

YANGA chini ya Kocha George Lwandamina, leo Jumamosi itacheza mechi ya kirafiki na Singida United inayonolewa na Hans van Der...

READ MORE

Kapombe Atupwa Ndanda

BEKI wa kati wa Azam, Abbas Kapombe amepelekwa kwa mkopo Ndanda FC ya Mtwara kwa ajili ya kukuza kiwango chake...

READ MORE

Sol Campbell Wa Arsenal Anatua Dar Leo

  BEKI wa zamani wa Arsenal, Sol Campbell anatarajiwa kutua nchini leo Jumamosi mchana kwa mwaliko wa Kampuni ya Michezo...

READ MORE

Msuva Atupia Mbili Morocco, Aonja Ushindi

NYOTA wa zamani wa Yanga, Simon Msuva ameendelea kung’ara katika kikosi cha timu yake mpya ya Difaa Hassan El Jadida...

READ MORE

Singano Anakwenda Yanga

KIUNGO mshambuliaji Ramadhan Singano ambaye alikuwa akiichezea Azam FC, Alhamisi mchana alirejea nchini akitokea Morocco alikokwenda kwa ajili ya kucheza...

READ MORE

MOURINHO AMETUMIA BILIONI 384 KUSAJILI VIUNGO WAKABAJI

DIRISHA la usajili bado halijafungwa, presha kubwa imekuwa ikiongezeka kwa makocha hasa wale wa timu kubwa. Katika Ligi Kuu ya...

READ MORE

IDDI PAZI: NILIKUWA STRAIKA, BAADAYE NIKAWA KIPA BORA

NI ngumu sana kutaja majina ya makipa bora waliowahi kutokea nchini Tanzania bila ya kulijumuisha jina la Iddi Pazi Shaaban...

READ MORE

BILIONEA NEYMAR AWEKA REKODI YA DUNIA

MBRAZILI Neymar ameandika rekodi ya dunia kwa kutua ndani ya kikosi cha Paris SaintGermain kwa ada ya pauni 198m (Sh...

READ MORE

Shuhudia Mbwembwe za Neymar Alivyotua Rasmi PSG

Nyota wa soka wa Brazil, Neymar Jr ametambulishwa rasmi na klabu yake mpya ya Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufarasa baada...

READ MORE

Lwandamina Kuitesti Mitambo Kesho

WACHEZAJI wapya wa Yanga wakiongozwa na Ibrahim Ajibu, kiungo Raphael Daud na kipa Mcameroon, Rostand Youthe kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Omog Akubali Kuanza Kazi Na Niyonzima Dar

WAKATI kikosi cha Simba kinaendelea kujifua nchini Afrika Kusini kikijiandaa na msimu ujao wa 2017/18, kiungo mpya wa timu hiyo,...

READ MORE

Baada Ya Kutua Lipuli, Busungu Alishukuru Championi

  JUMATATU iliyopita aliyekuwa straika wa Yanga, Malimi Busungu alifanikiwa kujiunga na timu ya soka ya Lipuli ya mkoani Iringa...

READ MORE

Baba: Msuva Anakwenda Hispania

BABA wa winga wa zamani wa Yanga, Happygod Msuva ambaye ni Simon ameibuka na kuwaambia Simba kuwa kama walishindwa kumsajili...

READ MORE

UHAMIAJI YATHIBITISHA KUWA WALLACE KARIA NI MTANZANIA

Mgombea wa urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, ambaye alikuwa katika wakati mgumu juu ya uraia wake,...

READ MORE

DSTV yazindua msimu mpya wa soka, Premier kutangazwa kwa Kiswahili

    WAKATI vuguvugu la soka ulimwenguni likizidi kupanda, Kampuni ya Multichoice Tanzania kupitia King’amuzi cha DSTV, imezindua kampeni maalum...

READ MORE

LIVE: Msikie Baba Mzazi wa Msuva Akifunguka Alivyompigania Mwanaye

GLOBAL TV Online, Kupitia kipindi chake cha Michezo, SPOTI HAUSI, kimeongea EXCLUSIVELY na Baba Mzazi wa aliyekuwa mchezaji wa Timu...

READ MORE

MATIC AMETUA UNITED AISEE

MOJA ya usajili uliokuwa unasubiriwa kwa hamu kubwa ni wa kiungo wa Chelsea Nemanja Matic, kutua Manchester United. Mashabiki waliokuwa...

READ MORE

Omog: Nimemaliza Kazi, Waleteni Yanga

KOCHA wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog, amesema kuwa, wiki hii ya mwisho katika kambi yao ya Afrika Kusini, atakuwa akiwapa...

READ MORE

Lwandamina Amaliza Utata Wa Mcameroon, Mnigeria, Awapa Dakika 180 Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga Mzambia, George Lwandamina amemaliza mazoezi ya fitinesi na jana jioni alitarajia kupanga vikosi viwili vitakavyocheza mechi...

READ MORE

Manula: Nimekuja Simba Kufanya Kazi

KIPA mpya wa Simba, Aishi Manula ameweka bayana kuwa, atahakikisha anaifanya kazi yake vizuri ipasavyo kwa lengo la kuiwezesha timu...

READ MORE

Kiungo Mpya Yanga Mtambo wa Mabao

YANGA imelamba dume baada ya kukamilisha usajili wa kiungo mpya wa timu hiyo, Raphael Daud kutoka Mbeya City kwani rekodi...

READ MORE

Neymar Amesepa Barcelona, Sasa Kujiunga Rasmi PSG

  IKIWA takribani miezi miwili tangu tetesi za kuanza kusambaa kuhusu mvutano wa mkali wa Brazil anayekipiga FC Barcelona ya...

READ MORE