KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Deus Kaseke, amewasili jijini Dar es Salaam akitokea nyumbani kwao Mbeya na wakati wowote atamwaga wino...
READ MOREKWA mara nyingine Yanga imeifunika Simba kwa gharama za mishahara kwa wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ambao wamesajiliwa hadi...
READ MORENAHODHA wa Simba, Jonas Mkude, amesema kuondoka kwa mshambuliaji wa timu hiyo, Ibrahim Ajibu ndani ya kikosi chao hakutakuwa na...
READ MOREKOCHA wa Taifa Stars, Salum Mayanga amesema michuano ya Baraza la Vyama vya Soka Kusini mwa Afrika (Cosafa) itakisaidia kikosi...
READ MOREBONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Idd Pialali ni mmoja kati mabondia watatu wa Tanzania watakaopanda ulingoni Julai...
READ MORESTRAIKA wa Arsenal, Olivier Giroud amezungumza na Kocha wa Everton, Ronald Koeman kuhusu uwezekano wa kujiunga kikosini mwake. REAL Madrid...
READ MOREMUDA mfupi baada ya Yanga kumtambulisha mshambuliaji, Ibrahim Ajibu aliyetokea Simba, kocha wa timu hiyo, George Lwandamina ameagiza mchezaji huyo...
READ MORESTRAIKA Mbwana Samatta wa KRC Genk ya Ubelgiji kuanzia msimu ujao atavaa jezi namba 10 katika kikosi hicho akiachana na...
READ MOREUKIONA mwenyeji wako anakukaribisha halafu anakueleza jambo kuonyesha ana hofu nawe kuhusiana na jambo fulani basi ujue una shida...
READ MOREBAADA ya kumtambulisha rasmi mchezaji wake mpya, Ibrahim Ajibu kutoka Simba, mashabiki wa Yanga mkoani hapa, wamesema wana imani...
READ MOREKOCHA wa Stand United, Athuman Bilali ‘Billo’ amewaita vijana wenye vipaji vya kucheza soka kwa ajili ya kufanya majaribio...
READ MOREMSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi, raia wa Uganda, ameamua kuja kivingine katika kutekeleza majukumu yake ya uwanja ambapo ameahidi...
READ MOREWAKATI kikosi cha Simba kikianza maandalizi yake ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, juzi Jumatano, kocha mkuu...
READ MOREKama uja subscribe tumekuwekea link hapa ya kufanya hivyo www.youtube.com/user/uwazi1 Jishindie Smart Phone kwa kuangalia kipindi cha Spoti...
READ MOREBEKI Vincent Bossou, rasmi ameshindwana na Yanga lakini amepata neema baada ya kuitwa katika kikosi cha timu ya Bidvest Wits...
READ MOREMIDO mpya anayewaniwa na Yanga, Mcongo, Papy Kabamba Tshishimbi ‘Rasta’ ameshindwa kutua kwa wakati ndani ya kikosi hicho, baada ya...
READ MOREIMEELEZWA kuwa, beki wa Simba, Abdi Banda, amejiunga na timu ya Baroka FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL)...
READ MOREKUFUATIA kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Mrisho Ngassa, mipango yake ya kutaka kurudi Yanga kugonga mwamba, nyota huyo ameamua kujifua...
READ MOREMSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Mganda, Emannuel Okwi, anatarajia kuwasili nchini Julai 17, mwaka huu baada ya kumalizika mechi ya Chan...
READ MORESIMBA ipo mbioni kumleta nchini straika Mghana ambapo viongozi kadhaa wa timu hiyo wamethibitisha ishu hiyo lengo likiwa ni kuimarisha...
READ MORESiku chache kabla ya kuanza kwa maandalizi ya msimu ujao wa 2017/2018, kipa wa zamani wa timu ya taifa ya...
READ MOREFULL TIME Mwamuzi anamaliza mchezo, Tanzania inatolewa kwa jumla ya mabao 4-2. Dakika ya 93: Muda wowote kuanzia sasa mchezo...
READ MOREKLABU ya Yanga, leo imemtambulisha rasmi straika waliyemsajili kutoka Simba, Ibrahim Ajib. Ajibu amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka...
READ MOREKLABU ya Singida United imeipa pigo Klabu ya Simba baada ya kummng’oa winga wake wa kulia, Pastory Athanas na...
READ MORETIMU za Bidvest Wits na Mpumalanga Black Aces za Afrika Kusini, zimeanza kumfuatilia kiungo wa Taifa Stars na Simba, Mzamiru...
READ MOREKamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambayo imekutana leo Jumanne imefanya mabadiliko ya Kamati ya Uchaguzi na...
READ MOREUONGOZI wa Klabu ya Simba ya jijini Dar, umempatia nyumba mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi, maeneo ya Sinza kwa...
READ MOREAliyekuwa beki kisiki wa Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza John Terry amejiunga klabu ya Aston Villa kwa...
READ MOREUONGOZI wa Klabu ya Singida United, imetoa basi lenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 350 litakalotumiwa na wachezaji...
READ MORETaifa Stars imetinga nusu fainali katika michuano ya Cosafa baada ya kuifunga wenyeji Afrika Kusini bao 1-0. Shuja wa mechi...
READ MOREHALIPO na sijaliona neno mbadala la kutumia, zaidi ya ndoto imetimia. Kitendo cha mwanasoka maarufu na mwenye uwezo wa kipekee,...
READ MOREKamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kuwa mchakato wa uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo umesimamishwa hadi...
READ MOREBURUDANI ya soka kwenye nchi yetu imegawanyika katika makundi tofauti kulingana na matakwa ya wanaohitaji, wapo wanaoburudika kwa matokeo ya...
READ MOREUnaweza kusema, hii sasa noma kwani nahodha na beki wa kati wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amemuonya mshambuliaji mpya wa...
READ MORECHELSEA inajipanga kupeleka mshtuko mkubwa pale Bayern Munich wa kumtaka beki wao Jerome Boateng. Kocha Antonio Conte wa Chelsea anataka...
READ MOREMCHEZAJI bora husajiliwa na fedha nyingi, na ili timu yako ionekane pia kuwa na thamani na kuwavutia wachezaji mbalimbali basi...
READ MOREMWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amekiri kuitwa kisha kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...
READ MORESHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) muda wowote kuanzia sasa litatuma maofisa wake kuja nchini kufuatilia tuhuma za utakatishaji fedha...
READ MOREHABARI kuwa kiungo wa Chelsea, Nemanja Matic anatarajiwa kusajiliwa na Kocha Jose Mourinho ndani ya Manchester United kwa dau nono,...
READ MORE