×

Michezo

Serikali kutoa kadi za kuingilia uwanjani bure

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (kushoto) akiongea jambo katika semina elekezi ya matumizi ya kadi za...

READ MORE

Wabunge wa Yanga kutifuana na wa Simba

Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Ilala,  Mussa Zungu, Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja na Mbunge wa Mbinga Mjini,...

READ MORE

DTB yamwaga manoti Ligi Kuu Bara

Malinzi (kushoto) na Mabusi wakisaini mkataba. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Nandi...

READ MORE

Samatta Kuiongoza Genk Leo Dhidi Ya Anderlecht

Mbwana Samatta katika moja ya matukio awapo uwanjani. BAADA ya kuanza vibaya hatua ya makundi ya Europa League kwa kufungwa...

READ MORE

Ngassa Kutua Fanja FC

Mrisho Ngasaa wakati akitumikia timu yake ya zamani. KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa leo anatarajiwa kuwa na...

READ MORE

FT: Kutoka Uwanja Wa Uhuru, Azam 0-1 Simba

Mchezo umemalizika hapa kwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Simba imepata ushindi wa bao 1-0. Mfungaji ni...

READ MORE

Serengeti VS Congo-Brazzaville Kupambana Kesho Taifa

Kocha wa Serengeti Boys Bakari Shime(kulia) akiwa na Kocha wa Congo-Brazzaville Ekarik Basile walipokutana mapema leo kuzungumzia mchezo wa kesho....

READ MORE

Pluijm: Dk 45 tu tunawamaliza Mwadui

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Said Ally KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ametamka kwamba...

READ MORE

First XI: Simba vs Azam Kesho hii hapa

Wachezaji wa timu ya Azam wakifanya mazoezi. Nicodemus Jonas na Said Ally KESHO Jumamosi Simba itakuwa mgeni wa Azam katika mchezo...

READ MORE

Ronaldo Avunja Rekodi, Madrid Yashinda

Madrid, Hispania. Mshambuliaji tegemeo wa timu ya soka ya Real Madrid, Christiano Ronaldo usiku wa kuamkia leo kavunja rekodi ya...

READ MORE

Diamond Aanza Kupoteza Umaarufu

MWANAMUZIKI Diamond Platnumz wa Tanzania, anayefanya vyema kwenye ulimwengu wa muziki Bongo kwa maana muziki wa Bongo Fleva na nje...

READ MORE

Nwankwo Kanu Afiwa Na Mama Yake

Mshambuliaji nguli wa zamani wa klabu ya soka ya Arsenal ya nchini Uingereza na timu ya taifa ya Nigeria, Nwankwo...

READ MORE

Video: Highlights Za Premier League Wikiendi Hii Hizi Hapa…

Premier League iliendelea wikiendi hii, Jumamosi ya Septemba 10, 2016 Manchester United iliambulia kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Manchester...

READ MORE

Huyu Tambwe hafai, atupi mbili Uhuru leo

  MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga leo wameichapa Majimaji FC ya kutoka Songea kwa mabao 3-0 katika mchezo...

READ MORE

Guardiola amzima Mourinho Old Trafford

TIMU ya Manchester City leo imeshinda mabao 2 – 1 dhidi ya Manchester United  katika mchezo mkali uliopigwa Uwanja wa Old Trafford....

READ MORE

Man United Vs Man City… Yageuka Kuwa Madrid Vs Barcelona

  Mshambuliaji kinda wa Manchester United Marcus Rashford (kulia0 akifanya yake. Saleh Ally, Barcelona MECHI ya watani na wapinzani wakubwa katika...

READ MORE

Tanzia: Aliyewahi Kuwa Kocha wa Simba, James Siang’a afariki Dunia

Aliyewahi kuwa kocha wa Simba James Aggrey Siang’a  amefariki leo alfajiri nchini kwake Bungoma nchini Kenya baada ya kuugua kwa...

READ MORE

Omog: Kwa staili hii Yanga Bingwa

 Wachezaji wa Yanga wakipongezana kwa pamoja. Nicodemus Jonas na Sweetbert Lukonge LICHA ya Simba kuonekana kuwa ipo vizuri na ina...

READ MORE

Ajib Jeuri Aanzisha Vita Yanga

Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib (katikati) akishangilia na wachezaji wenzake. BAADA ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha katika mchezo...

READ MORE

Wachezaji Simba waoga noti

Wachezaji wa Simba wakishangilia baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo uliopigwa juzi kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Mwanasoka wa Zamani Taifa Stars, Mohammed Msomali Afariki Dunia

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Chama Cha Soka...

READ MORE

Shindano la “Shinda Gari na Whitedent” Latikiisa Mikoani

Baadhi ya Wananchi wa Mkoa Kigoma wakiangalia moja ya gari kati ya magari 25  yanayoshindaniwa  katika shindano la shinda gari...

READ MORE

Mbeya yaichapa Temeke bao 2-0 michuano ya Airtel Rising Stars

Timu ya Temeke ya wavulana imeshindwa kutamba mbele ya Mbeya baada ya kumkubali kichapo cha 2-0 kwenye mashindano yanayoendelea ya...

READ MORE

Tambwe Awachimba Mkwara Mavugo, Bocco

MFUNGAJI bora wa msimu uliopita, Amissi Tambwe (pichani) amewachimba mkwara washambuliaji wa Simba, Laudit Mvugo na John Bocco wa Azam...

READ MORE

Shirika la Ndege la Etihad Lasaidia Kituo Cha Michezo Sokoine Jogging Club Tanzania

Watoto wa kituo cha michezo cha Sokoine jogging club Tanzania kilichopo Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, wakiwa kwenye...

READ MORE

Matapeli watinga Yanga, waharibu mifumo

Kikosi cha timu ya Yanga. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam KLABU ya Yanga imepata pigo baada ya hivi karibuni watu waliotajwa...

READ MORE

Hatimaye Maradona Ampokea Mwanae wa Nje ya Ndoa, Diego Junior

Mchezaji nguli wa soka wa Argentina, Diego Maradona hatimaye amemkubali mtoto wake Diego Junior aliyekuwa naye mwishoni mwa wiki iliyopita...

READ MORE

Dirisha la Usajili Ulaya Limefungwa Usiku wa Kuamkia Leo na Hawa

Vilabu vya soka barani ulaya vimefanya usajili wa kumarisha vikosi vyao katika siku ya mwisho ya usajili uliofungwa usiku wa...

READ MORE

TFF yamchunguza Mavugo

Mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam MSHAMBULIAJI wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, hivi karibuni alionekana kama...

READ MORE

Gunners Kumtoa Wilshere kwa Mkopo

KLABU ya Arsenal iko tayari kumtoa kwa mkopo kiungo wake, Jack Wilshere ili kumpa fursa ya kupata nafasi katika kikosi...

READ MORE

Nyota wa Cameroon Atemwa Kisa VVU

Samuel Nlend wakati akisaini mkataba na Klabu ya Al-Ittihad Alexandria ya Misri. KLABU ya Al-Ittihad Alexandria ya Misri imetangaza kuvunja mkataba...

READ MORE

Yanga Yaichapa African Lyon 3-0

Beki wa Yanga, Hassan Kessy akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Yanga SC. Wachezaji wa Yanga wakishangilia mojawapo ya mabao...

READ MORE

Manji Akaa Kikao Kizito Na Wachezaji

Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam WAKATI Yanga kesho Jumapili ikitarajiwa kushuka uwanjani kupambana na...

READ MORE

Omog apangua kikosi Simba SC

Kikosi cha timu ya Simba. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge USIIONE Simba imekuwa tamu ukadhani benchi la ufundi limeridhika! Katika...

READ MORE

Pluijm amchambua Samatta kitaalamu

Mshambuliaji wa Genk ya Ubelgiji, Mtanzania, Mbwana Samatta akishangilia na wenzake. KIWANGO kinachoonyeshwa na mshambuliaji wa Genk ya Ubelgiji, Mtanzania,...

READ MORE

Wabunge Simba: Mo apewe timu

Bilionea Mohamed Dewji ‘Mo’. KATIKA kile kinachoakisi mapinduzi ya kweli kwenye soka la Tanzania, nao wabunge wanachama na wapenzi wa...

READ MORE