×

Mikasa

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-24

ILIPOISHIA IJUMAA: Kama angejua kuwa sikuwa na gari hilo, angenisumbua kwa maswali na sikuwa na jibu la kumpa. Kama atajua...

READ MORE

Jini Mauti-13

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Ghafla nikajihisi kuwa na amani moyoni mwangu pasipo kujua kwamba kumbe wakati huo ndiyo niliingiziwa Jini Mauti...

READ MORE

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-32

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: Jome yeye hakusalimia yeyote yule, naye akafuata nyuma ya Maua. Baba Shua akafuatia, wakaingia kwenye gari...

READ MORE

Rigwaride la Afande – 2

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: “Sasa si nimekwambia lete yoyote lakini ya baridi…” “Eti anti, nikupe bia gani?” “Yoyote.” Yule mhudumu aliondoka...

READ MORE

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa – 33

ILIPOISHIA Kutokana na mapenzi ya dhati aliyokuwa nayo Destiny kwa Mtima, anaamua kuiuza supamaketi yake ili aanze kazi ya kumtafuta...

READ MORE

Niliolewa na Mganga kwa Tamaa ya Cheo

ILIPOISHIA: Nilikubaliana na mzee Sionjwi kuwa hashindwi na kitu kilicho nje ya kudra za Mungu. Nilishika mikono kifuani huku machozi...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-23

ILIPOISHIA WIKIENDA   Kama itakuwa hivyo, nilijiambia taarifa itafikishwa kwa waziri mkuu usiku uleule na huenda nikachukuliwa hatua.  Hatua pekee ambayo...

READ MORE

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-31

ILIPOISHIA IJUMAA WIKIENDA: “Hapahapa…tena wale pale wamekaa. Hebu ingia na sisi tukakae tuone,” alishauri Jome, baba Shua akaingiza gari kwenye...

READ MORE

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-2

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Palepale kaka Cheni akanawa maji, akasimama ili aondoke… “Cheni,” aliita baba… “Naam…” “Kaa hapo,” baba alisema kwa...

READ MORE

Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-23

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Dorcas aliposema kwamba kaka yake Evance aliendelea kumfundisha masomo na namna ya kutumia laptop...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili

Tulipotoka kaburini kuzika, ndugu wa marehemu mume wangu waliniambia itabidi nikae pale nyumbani hadi siku arobaini ambapo kwa mila na...

READ MORE

Niliolewa na mganga kwa tamaa ya cheo kazini-39

ILIPOISHIA: Nilikata simu ili niendelee na kazi lakini hamu yote ilikatika hasa nilipokumbuka kauli ya Safia kuwa hata nikikosa sitapungukiwa...

READ MORE

Chongo!-12

Ilipoishia wiki iliyopita “Safi sana, hebu tuambie ulikuwa unakaa wapi? Noel alimwuliza Bata, ambaye hadi wakati huo walikuwa hawajui jina...

READ MORE

Nilitaka Kumuua Mwanangu Mara 3, Leo Ananisaidia!-8

Ilipoishia wiki iliyopita: Kama niliyezinduka, nikajikaza na kujifanya kukasirika, nikamuuliza alikuwa na ujasiri gani kuniambia mambo ya ajabu kama yale...

READ MORE

Rigwaride ra afande

“We binti njoo hapa,” nilikuwa napita kwenye mtaa mmoja kule Temeke, nikaitwa hivyo na mbaba mmoja aliyekaa kwenye benchi la...

READ MORE

Mapazia ya chumbani -15

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Hee makubwa!” Aliropoka mama Muro baada ya kuliangalia lile jina. “Kwa hiyo hakuna kulemba, tunataka na meseji...

READ MORE

Mwanamke alivyomfanya zezeta kaka yangu -36

ILIPOISHIA Hata hivyo, baada ya sekunde chache aliwaamuru wale askari aliokuwanao ndani wamtoe nje, wakamtoa. “Huyu ndiye ndugu yenu?” aliuliza...

READ MORE

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 38

ILIPOISHIA: “Huyo msichana bado mko naye?” “Tunakuja naye.” “Hebu mpe simu tumsikie.” Faiza akapewa simu. “Hallo!” Akasema akiwa ameiweka simu...

READ MORE

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-26

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: Alifika nyumbani akiwa amechoka sana kiakili na mwili. Aliwaza namna ya kuwasiliana na mama yake na...

READ MORE

Nelly Muosha Magari wa Posta-15

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mhudumu alipofika katika meza waliyokaa Nelly na Atu kisha kutikisa chupa zilizokuwa na kilevi...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-21

ILIPOISHIA IJUMAA: “Kumbe huyu bwana halali usiku na anavuta!” nikajiambia kimoyomoyo huku nikimkodolea macho bila yeye kuniona. Kwa vile nilimkuta...

READ MORE

Niliolewa na Mganga kwa Tamaa ya cheo

ILIPOISHIA: “Vipi shoga unaonekana leo una furaha kulikoni?” “Mh! Mbona makubwa madogo yana nafuu.” “Yepi tena hayo shoga?” “Kwa vile...

READ MORE

Joto la Mapenzi

ILIPOISHIA: Alimuuliza Mabina kwa ishara wamuamshe Koleta au? Chris alimkataza na kusogea kitandani na kumkuta mzee Mtoe akiwa katika usingizi...

READ MORE

Waoo…! Kama Jana Vile!

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: Nje ya hospitali hiyo kuna kituo cha daladala, sasa zilipita kama tatu bila kusimama, mama Monica akahisi...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-21

ILIPOISHIA WIKIENDA Nilifika mbali nikaligeuza gari na kurudi. Nilipita tena ile nyumba nikaenda kusimama umbali wa mita mia tatu hivi....

READ MORE

Penzi Kabla Ya Kifo-6

ILIPOISHIA.. Kipindi chote sekretari yule alibaki akimwangalia Elizabeth, alikutana na msichana aliyekuwa supastaa, aliyependwa na wanawake wengi, kila alipomtazama, alijisikia...

READ MORE

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-26

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: “Mambo?” Musa alisalimia. “Poa tu,” mama Shua alijibu kwa mkato sana huku akichukua tahadhari kwa...

READ MORE

Kuzimu Na Duniani-8

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Aliposema hivyo tu nikalikumbuka hilo tukio. Niliwahi kupanda basi Kihesa kwenda Miyomboni. Ni kweli, kuna mama mmoja...

READ MORE

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!

Mama alikaa uani akiosha vyombo. Aliponiangalia nikitoka chumbani kwangu aliacha kuosha, akaonesha dalili za kuzubaa huku akinikazia macho na kuniuliza…...

READ MORE

Ndugu Zangu Walinichukua Msukule-8

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nilipoangalia, ajabu nikaona nyasi zikining’inia kuelekea niliko mimi, nikazishika na kuzitumia kutokea mle ndani ya pango.ENDELEA MWENYEWE…...

READ MORE

Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-23

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale yule mama wa Shinyanga alipomuhusia Dorcas aliyekuwa amevunja ungo namna ya kujiepusha na masuala...

READ MORE

Niliolewa na mganga kwa tamaa ya cheo kazini-37

ILIPOISHIA: Kwa vile ilikuwa alfajiri niliendesha gari kwa uhuru mkubwa kwa vile hakukuwa na magari njiani mpaka nilipoanza kuingia mjini...

READ MORE

Waoo..! kama jana vile!-26

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Sasa anti mbona unaficha hicho kipimo? Kusudi unipe majibu ya uongo, si ndiyo ee?” alikuja juu mama...

READ MORE

Nilitaka Kumuua Mwanangu Mara 3, Leo Ananisaidia!

Hadi usiku ulipoingia watu walikuwa bado wakiingia na kutoka, zamu yangu ilipofika, nikaingia. Akaniuliza kwa nini kijana wangu hakupotea kama...

READ MORE

Mapazia ya Chumbani -14

Aliona kama miujiza kurudi kwa mumewe akiwa amelewa. Aliingia chumbani na kuzima taa kisha akamfuata mzee Mashali na kuanza kuingiza...

READ MORE

Mwanamke Alivyomfanya Zezeta Kaka Yangu- -35

“Tangu lini mtu akakaa kwenye banda la mbwa?” Yule mwanamke akadakia huku mwili wake ukitetemeka. “Lakini mama kwa nini unajitetea?...

READ MORE

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 37

“Ni huyo jini niliyewaambia, huyu mwenzenu anamfahamu. Anaua watu wote wanaofika hapa.”  “Umesema anakuja, yuko wapi sasa?” Mwenye bunduki aliendelea...

READ MORE

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-25

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: Baba Shua alimkuta mama Shua sebuleni akiwa katika hali ya kutojua nini kinaendelea. Aliingia chumbani bila...

READ MORE

Nelly Muosha Magari Wa Posta-13

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mhudumu alipofika katika meza waliyokaa Nelly na Atu kisha kutikisa chupa zilizokuwa na kilevi...

READ MORE

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-20

ILIPOISHIA IJUMAA: “Hebu nisubiri,” Mzee Mgorozi akaniambia huku akinifuata. Nikajitokomeza kwenye vichaka. Niliisikia sauti yake nyuma yangu, ikisema. “Yule atakuwa...

READ MORE