Browsing Category
Spoti Xtra
Mfungaji Namba 1 Aondoka? Ahoua Apigwa Bei Nzuri na JS Kabylie
Inaelezwa kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba SC raia wa Ivory Coast, Jean Charles Ahoua kwenye rada za Klabu ya JS Kabylie ya nchini Algeria kwa ajili ya msimu ujao wa 2025/26.
Kwa mujibu wa chanzo cha Habari kutoka ndani ya Simba SC…
Hato Akamilisha Dili Na Chelsea Majira Haya
Kiungo wa kati wa klabu ya AFC Ajax na timu ya taifa ya Uholanzi, Jorrel Hato, amekamilisha usajili wake na kujiunga rasmi na klabu ya Chelsea katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi 2025.
Hato, mwenye miaka 18, amesaini…
Wachezaji wa Liverpool Wafanya Maandalizi ya Kiroho Kabla ya Msimu Mpya Nchini Tokyo
Tokyo, Japan – Katika tukio lisilo la kawaida kwenye kalenda ya maandalizi ya timu, wachezaji wa Liverpool wameanza siku yao leo asubuhi kwa kufanya zoezi la meditasheni katika hekalu la Ekōin jijini Tokyo. Zoezi hilo ni sehemu ya…
“Yanga Yamnasa Nahodha wa Simba?” – Ali Kamwe Afunguka Suala la Zimbwe Jr
WAKATI Yanga SC wakitajwa kukamilisha kwa asilimia 100 dili la Mohamed Hussen Zimbwe Jr aliyekuwa beki wa Simba SC na nahodha msimu wa 2024/25, Ofisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe amefungukia suala la nyota huyo.
Zimbwe Jr aliwaaga…
Arsenal Yamnasa Viktor Gyökeres kwa Dau la Bilioni 300
Klabu ya Arsenal mbioni kufanikisha azma yake ya muda mrefu, ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji hatari kutoka Sweden, Viktor Gyökeres, kutoka klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Arsenal italipa euro…
Zimbwe Jr Atoa Ishara Za Kuondoka Simba, Yanga Waingia Mitaani!
NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussen Zimbwe Jr kuna hatihati huenda akaondoka ndani ya kikosi hicho baada ya kanadarasi yake kugota mwisho msimu wa 2024/25.
Zimbwe kwenye ukurasa wake rasmi wa Instgarm ameondoa utambulisho wake kuwa…
Vita ya Yanga na Simba Kumsaka Offen Chikola Yafika Ukingoni
MABINGWA mara 31 ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC inatajwa kuwa imefikia makubaliano na kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kwa ajili ya msimu ujao baada ya kufikia makubalian mazuri.
Tetesiz za hivi karibuni…
Ancelotti Ahukumiwa Mwaka 1 Gerezani Na Faini Ya Billioni 1
Kocha wa zamani wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani na kutozwa faini ya €386,000 (zaidi ya TSh 1.1 bilioni) na Mahakama ya Mkoa wa Madrid kwa kosa la kukwepa kodi mwaka 2014 alipokuwa katika…
Job na Yanga Mambo ni Moto! Hatima Yake Kusubiriwa
INAELEZWA kuwa mabosi wa Yanga SC wamefanya mazungumzo na beki wa Yanga SC, Dickson Job kuhusu kuongeza kandarasi mpya kuendelea kuwa mali ya Wananchi.
Job alikuwa chaguo la kwanza msimu wa 2024/25. Wakati Yanga SC ikitwaa ubingwa wa…
Fainali ya Yanga, Singida Black Stars Kupigwa New Amaan
FAINALI ya Kombe la Shirikisho la CRDB kati ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars imepangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Amaan huko Unguja, Zanzibar.
Mchezo unatarajiwa kupigwa Juni 28, mwaka huu huko Zanzibar ambako timu hizo mara ya…
Kocha Yanga Aiweka Kando Kariakoo Dabi Ligi Kuu Bara
KOCHA Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi amesema kuwa haufahamu mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao wa Kariakoo Dabi badala yake anaifahamu michezo miwili dhidi ya Tanzania Prisons na Dodoma Jiji.
Miloud alisema kuwa maandalizi yake ya michezo ya…
Beki Wa Kazi Yanga Deni Lake Limekia Hapa
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, Ibrahim Bacca deni lake la mabao kwa sasa ni 11 ili kufanikisha malengo aliyokuwa nayo msimu wa 2024/25.
Beki huyo mwanzo wa msimu baada ya kufungua…
Yanga: Tunamshusha Mshambuliaji, Watasema Yote
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa upo kwenye hesabu za kumshusha mshambuliaji wa kazi atakayeongeza nguvu katika kikosi hicho jambo litakalowafanya wapinzani wao waseme yote kutokana na tabu watakayopata.
Uongozi huo umeongeza kuwa…
Kisa Medeama, Gamondi atoa maagizo mazito Yanga
WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuwakabili wapinzani wao Medeama FC ya Ghana, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ametoa maagizo mazito kwa wachezaji wake wote kuanzia kwenye safu ya ushambuliaji na ulinzi.
Ipo wazi kuwa baada ya…
Chama Akabidhiwa Waarabu Ligi ya Mabingwa Afrika
KUTOKANA na kasi aliyoanza nayo kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy akitokea benchi, kuna uwezekano mkubwa wa Kiungo wa Simba, Clatous Chama akaanza kikosi cha kwanza Jumamosi dhidi ya Wydad Casablanca.…
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi Abadili Mfumo leo dhidi ya Medeama
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, unaweza kusema amejipata baada ya kubadilisha mfumo wake kutoka kutumia mabeki wa kati wawili na kuanza kutumia mabeki watatu wa kati jambo ambalo limeanza kuzaa matunda ndani ya timu hiyo.
Mfumo…
Pacome Ashusha Presha Yanga, Aitaka Robo Fainali CAF
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua, ameshusha presha ndani ya kikosi hicho baada ya awali kupata majeraha ya bega, lakini sasa yupo fiti, huku mwenyewe akiahidi kuipambania timu hiyo katika michezo iliyosalia ya Ligi ya…
Simba Waishtukia Wydad, Mipango Mipya Yasukwa
UONGOZI wa Simba, umesema kuwa, kikosi chao kitaingia uwanjani kucheza dhidi ya Wydad Casablanca, kwa tahadhari kubwa ili wafanikishe malengo yao ya kufuzu Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Timu hizo zinatarajiwa kuvaana…
Mabosi Simba Wacharuka, Waanza na Jean Baleke, Mambo ni Moto
SIMBA inaangalia uwezekano wa kumpa mkataba wa kudumu mshambuliaji wake, Jean Baleke, kwa ajili ya kukiimarisha kikosi chao.
Baleke hivi sasa yupo kwa mkopo Simba, akitokea Klabu ya TP Mazembe ya nchini DR Congo ambayo alijiunga nayo…
Aziz Ki Apewa Mkataba Mnono… Tabu iko Palepale!
TABU iko palepale! Ndivyo unavyoweza kusema, kwani kuna uwezekano mkubwa balaa la Stephane Aziz Ki likaendelea kuzitesa timu nyingi Bongo, ambapo imefichuka uongozi wa Yanga unamuandalia mkataba wa mnono staa huyo.
Aziz Ki ambaye…
Yanga: Tuleteeni Hao Al Ahly Tuwaoneshe Ligi ya Mabingwa Afrika
UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa, umetumia mchezo wa Simba kuwasoma wapinzani wao, Al Ahly ambao watakutana katika michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.
Yanga na Al Ahly wapo Kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu…
Bosi Avujisha Siri Nzito Simba… Watamba Kuuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu
AHMED Ally ambaye Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, amesema ili wajihakikishie nafasi kubwa ya kuuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, hawataruhusu sare yoyote katika michezo inayofuatia.
Hiyo ni baada ya juzi kupata…
Kocha AS Vita Awapa Angalizo Simba, Yanga Michuano ya Kimataifa
KOCHA Msaidizi wa AS Vita ya DR Congo, Roul Shungu, amefunguka kuwa, Simba na Yanga zina uwezo wa kufika mbali msimu huu katika michuano ya kimataifa ikiwa watazingatia malengo na mipango yao licha ya kupangwa kwenye makundi magumu.…
Simba Yatamba Kuendeleza Rekodi Yake leo dhidi ya Singida Fountain Gate
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira, amesema kuwa wanahitaji kuendelea na rekodi zao za kupata matokeo mazuri kwenye mechi za ligi ikiwa ni pamoja na mchezo wa leo Jumapili dhidi ya Singida Fountain Gate.
Leo Simba inatarajiwa…
Simba Watamba Kufuzu Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos
UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa, mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos, ni muhimu kufanikisha malengo ya kutinga hatua makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Katika mchezo uliopita ugeni, ubao ulisoma Power…
Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’ Aipeleka Simba Mafichoni
KUANZIA wiki hii, kikosi cha Simba chini ya Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’, kimepanga kuutumia Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Mbagala, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea…
Baleke Anautaka Ufungaji Bora Ligi Kuu Bara msimu huu
MSHAMBULIAJI wa Simba, Mkongomani, Jeane Baleke, ameahidi kuendelea kufunga mabao katika kila mchezo ili afanikishe malengo yake ya kufikisha mabao zaidi ya 20 ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu na kuwa mfungaji bora.
Kauli…
Stephane Aziz Ki na Khalid Aucho Waliamsha Rwanda
MAJINA ya mastaa watatu wa Yanga, Djigui Diarra, Stephane Aziz Ki na Khalid Aucho, ndio gumzo hivi sasa, wakisubiriwa kwa hamu kubwa nchini Rwanda kabla ya kikosi hicho hakijatua kwa ajili ya mchezo wa hatua ya Kwanza ya Ligi ya…
Kiungo Mpya Ajiondoa Simba Arejea Nyumbani Kwao, Uongozi Wafunguka
UONGOZI wa Simba, upo katika mipango ya kumruhusu kiungo wao, Muivory Coast, Aubin Kramo, kurejea nyumbani kwao kwa ajili ya matibabu ya majeraha yake ya goti.
Hiyo ikiwa ni siku chache tangu kiungo huyo, ajitoneshe majeraha hayo…
Hesabu Za Simba CAF Hizi Hapa Dhidi ya Power Dynamos Ligi ya Mabingwa
HUKU wakijiandaa kuvaana na Power Dynamos katika mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, uongozi wa Simba umetangaza kuja na hesabu mpya kwenye michuano hiyo msimu huu kwa kuweka wazi malengo yao ni kuandika…
Yanga Yachorewa Ramani Ya Ushindi Rwanda Ligi ya Mabingwa Afrika
KIUNGO wa kimataifa wa Rwanda ambaye amewahi kukipiga ndani ya timu za Simba na Yanga, Haruna Niyonzima, amesema mbali na mapokezi makubwa ambayo kikosi cha Yanga itayapata itakapotua nchini Rwanda, pia anaamini timu hiyo ina uwezo…
Kocha Yanga Apewa Maagizo Mazito dhidi ya Al Merrikh ya Sudan
UONGOZI wa Yanga ni kama umempa maagizo mazito kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamond baada ya kusema kwa kuwa msimu uliopita walifika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, basi msimu huu hakuna kinachoshindikana kufikia malengo yao.…
Kocha wa Yanga Awapiga Stop Maxi Nzengeli, Aziz KI, Jonas Mkude
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema wachezaji wake wote ikiwa ni pamoja na Maxi Nzengeli, Aziz KI, Jonas Mkude, ni lazima waongeze mashambulizi kila mchezo badala ya kujilinda.
Kocha huyo amebainisha kuwa, anafurahishwa na…
Simba Watamba Kuifunga Al Ahly, Kocha Awawekea Mtego Uwanja wa Mkapa
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira 'Robertinho' amesema hana hofu ya kukutana na Al Ahly ya Misri, kwani anazijua mbinu zote wanazotumia.
Timu hizo zinatarajiwa kukutana katika mchezo wa kwanza wa CAF African Football…
Mayele: Maxi Nzengeli Ataibeba Yanga Kubeba Ubingwa Msimu Huu
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele, amesema kwa namna anavyomfahamu Maxi Nzengeli, anaamini nyota huyo ataisaidia sana timu hiyo kwa kubeba ubingwa msimu huu.
Mayela ambaye aliitumikia Yanga kwa misimu miwili, ameondoka…
Injinia Hersi Apiga Hesabu Kali Yanga Ligi ya Mabingwa Afrika, Ligi Kuu
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, ameweka wazi kuwa, kukosa taji la Ngao ya Jamii sio mwisho wa mapambano, hivyo nguvu kubwa inawekezwa kwenye mashindano yaliyopo mbele yao ili kupata matokeo mazuri.
Yanga ilikuwa inatetea taji la…
Fainali Ndondo Cup kinawaka leo Kinesi Madenge dhidi ya Kibangu Rangers
LEO Jumapili, fainali ya michuano ya Ndondo Cup 2023, inatarajiwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Kinesi uliopo Shekilango, Ubungo, Dar, kati ya Madenge FC kutoka Magomeni-Makuti Wilaya ya Kinondoni, dhidi ya Kibangu Rangers inayotokea…
Kiungo Simba: Yanga Hii Inatisha Chini ya Kocha Mkuu Wao Miguel Gamondi
KIUNGO wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars na Simba SC, Amri Kiemba, amesifu aina ya soka wanalocheza mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, huku akiwatahadharisha wapinzani…
Kocha Mkuu Simba Atumia Siku 16 Kufumua Kikosi Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho' amefichua kwamba, amepanga kuzitumia siku 16 za mapumziko ya Ligi Kuu Bara kukijenga upya kikosi chake ili kuendana na kasi ya ligi msimu huu.
Robertinho ametoa kauli hiyo, Simba…
Bingwa Wa Ligi kuu ya Uingereza Msimu wa 2023-24 Yupo Hapa
WATAALAM wa uchambuzi wa data katika soka wamekusanya data na kufanya hesabu kuona ni timu gani msimu wa 2023-24 ina nafasi kubwa ya kutwaa taji la Premier League (Ligi Kuu ya Uingereza).
Katika uchambuzi huo wa data, viwango vya…