×

Spoti Xtra

MAGAZETI YA SPOTI XTRA, AMANI YAZIDI KUTIKISA MTAANI

Ni uhondo wa habari na burudani kupitia gazeti lako maridhawa la michezo kwa sasa, ni Spots Xtra Alhamisi lililosheheni habari...

READ MORE

SPOTI XTRA SASA HALISHIKIKI MITAANI – PICHAZ

HAKIKA ilikuwa ni Jumapili nyingine ya maajabu kabisa mitaani, pale gazeti bora kabisa la michezo kwa sasa nchini Tanzania, Spoti...

READ MORE

DIRISHA DOGO SIMBA MZIKI MNENE!

WAKATI usajili Umefunguliwa Novemba 15, mwaka huu, tayari Simba wameshajiweka mguu sawa kuhakikisha wanasajili majembe yanayoweza kuwasaidia kufanya vizuri kwenye michuano...

READ MORE

YANGA YASHUSHA MASHINE TATU MPYA

YANGA imempa ruhusa Kocha Mwinyi Zahera, kumalizana na mastaa watatu wa kigeni aliokuwa anawataka na wiki ijayo akisharudi Dar es...

READ MORE

Mbongo Afunika Mbaya Bundesliga

MDENMARK Yussuf Poulsen, ambaye mama yake ni mtanzania alifunika kwenye Bundesliga baada ya kupiga mabao mawili na kutoa asisti moja...

READ MORE

Thierry Achemka Monaco

KOCHA wa Monaco, Thierry Henry anakabiliwa na presha kubwa kutokana na timu yake kuboronga kwenye Ligue 1. Monaco ilicharazwa mabao 4-0...

READ MORE

Tshishimbi arejea mzigoni Yanga

shimbNYOTA Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi hatimaye amerejea rasmi ndani ya kikosi hicho juzi Jumanne na kuanza mazoezi baada...

READ MORE

ZAHERA AGOMA KUONDOKA YANGA

KOCHA mkuu wa Yanga, Mkongo Mwinyi Zahera amefunguka kuwa hata apate ofa ya dola 40,000(Sh90milioni) hawezi kuiacha Yanga sababu maisha...

READ MORE

AJIBU: ZAHERA ANANIPA HASIRA ANAPONISEMA

MKALI wa asisti ndani ya Ligi Kuu Bara, Ibrahim Ajibu ambaye mpaka sasa amefikisha tisa akiwa na mabao matatu amesema...

READ MORE

CHIRWA AJIUNGA AZAM FC – VIDEO

KLABU ya Azam imemtambulisha straika wake mpya, Obrey Chirwa kujiunga na klabu hiyo kwa kandarasi ya miaka miwili kufuati kuvunja mkataba...

READ MORE

SPORT XTRA LAZIDI KUJIIMARISHA KWA WASOMAJI

KIKOSI cha mauzo cha kampuni ya Global Publishers Ltd (GPL) watoaji wa magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Risasi, Championi...

READ MORE

POSHO YA OKWI, CHAMA INALIPA MSHAHARA YANGA

NEEMA imeendelea kuwashukia wachezaji wa Simba, unaambiwa kama mchezaji akicheza mechi ya Ligi Kuu Bara na timu ikapata ushindi, basi...

READ MORE

Zahera aleta kiberenge kama Msuva Jangwani

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera yuko kwenye hatua za mwisho kumalizana na winga kiberenge mwenye kasi aina ya Simon Msuva...

READ MORE

Meneja asema alipo Ibrahim Ajibu

BAADA ya nyota wa Yanga, Ibrahim Ajibu kukosekana katika mechi mbili za ligi ambazo zote timu hiyo ilishinda bao 1-0,...

READ MORE

AMANI, SPOTI XTRA YAZIDI KUKIMBIZA KITAANI

Kikosi cha mauzo cha Kampuni ya Magazeti nya Global Publishers Ltd (GPL) watoaji wa magazeti ya Amani, Uwazi, Risasi, Ijumaa,...

READ MORE

SPOTI XTRA SASA GUMZO KILA KONA

KIKOSI cha mauzo cha magazeti ya Global Publishers, leo kimeingia tena mtaani kulinadi gazeti jipya na bora la michezo la...

READ MORE

Mbelgiji Simba Aipa Siri Stars

KOCHA wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems amesema kuwa mechi ya Tanzania na Lesotho ndiyo itakayoamua hatma ya Taifa Stars kushiriki...

READ MORE

CHIRWA AREJEA YANGA, AONEKANA TAIFA (PICHA +VIDEO)

  ALIYEKUWA straika wa zamani wa Yanga, Obrey Chirwa jana aliibukia Taifa na kuiangalia timu yake wakati ikiwa inapata ushindi...

READ MORE

FULL TIME: TAIFA STARS 2-0 CAPE VERDE, KUFUZU AFCON

  FULL TIME Mchezo umemalizika, Taifa Stars inapata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Cape Verde. Dk ya 95: Stars...

READ MORE

Wachezaji Simba Hali Tete Kutekwa MO

KOCHA wa Simba, Patrick Aussems amekiri kwamba kila akiangalia sura za wachezaji wake mazoezi haziko sawa kutokana na tukio la...

READ MORE

Sababu Sita za Kutekwa Mohammed Dewji

SERIKALI ya Tanzania, imetaja mfano wa sababu sita za jumla ambazo zinaweza kuwa chanzo cha kutekwa Mohammed Dewji ambaye ameibua...

READ MORE

TFF WAMSHANGAA MBELGIJI WA SIMBA

  Kocha wa Simba, raia wa Ubelgji Patrick Aussems SHIRI-KISHO la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limemshangaa kocha wa Simba,...

READ MORE

Aliyewafunga Yanga Akiona Chamoto

MRUNDI wa Stand United aliyewapiga Yanga hat trick kwenye Uwanja wa Taifa, Alex Kitenge amekiri kwamba hali yake ni ngumu...

READ MORE

Kakolanya Afichua Kinachommaliza Kindoki

  KIPA tegemeo wa Yanga, Beno Kakolanya amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kumuunga mkono nyanda mkongomani, Klaus Kindoki...

READ MORE

Ajibu Aamua Kujitoa Muhanga Yanga

  STRAIKA mwenye asisti za kumwaga ndani ya Yanga, Ibrahim Ajibu amewa­sisitiza mashabiki wa klabu hiyo kuwaunga mkono kama ilivyokuwa...

READ MORE

Yanga Kama Wote Taifa, Kukipiga na Mbao

   YANGA ambayo imeanza kujiandaa na usajili wa dirisha dogo linalofunguliwa Novemba 15, leo Jumapili itacheza na Mbao kwenye mechi...

READ MORE

MSHINDI MWINGINE SPOTI XTRA AKABIDHIWA ZAWADI

Mwandishi wa Spoti Xtra, Khadija Mngwai (kulia) akimkabidhi zawadi ya jezi, Ismail Juma wa Kivule Ilala Dar es Salaam, baada...

READ MORE

MSHINDI SPOTI XTRA AKABIDHIWA ZAWADI

Mwandishi wa Spoti Xtra, Khadija Mngwai (kulia) akimkabidhi zawadi ya jezi, Halfan Habibu wa Keko Mwanga Dar es Salaam, baada...

READ MORE

SPOTI XTRA SASA HALISHIKIKI MITAANI

  Kikosi kazi cha idara ya masoko ya  Global Publishers jana kiliingia mitaani kulinadi  gazeti la Spoti Xtra linalotoka kila...

READ MORE

Zahera: Nashusha Mashine Yanga

  NYIE si mnasema kuwa kiungo Mkongoman, Papy Kabamba Tshishimbi anajua? Sasa Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amewaambia viongozi...

READ MORE

Siku za Masoud Djuma Zahesabika Rasmi Simba

  SASA ni rasmi kwamba dakika yoyote kuanzia sasa linaweza kutoka tangazo la Simba kuachana na kocha wao msaidizi, Mrundi...

READ MORE

Kagere Amuota Kakolanya, Mwenyewe Acheka Kwa Dharau

MEDDIE Kagere amesema haikuwa bahati yake kuwafunga Yanga huku akisisitiza kwamba Beno Kakolanya ni kipa. Katika mchezo huo uliopigwa juzi...

READ MORE

OKWI AWEKA REKODI MPYA SIMBA, KOCHA AFUNGUKA

  MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi amekumbana na miujiza kwenye historia yake ya soka baada ya kuweka rekodi ya pekee...

READ MORE

Chirwa Mbioni Kutua Azam

STRAIKA wa zamani wa Yanga, Mzambia, Obrey Chirwa amezua gumzo la aina yake kwa mashabiki wa Yanga baada ya kuonekana...

READ MORE

Mbao Waja Kuwafurahisha Simba Taifa

LICHA ya kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Ruvu Shooting, uongozi wa Mbao ya mkoani Mwanza umeibuka na kusema kuwa...

READ MORE

Yupo Kagere Hakiharibiki Kitu Leo Taifa

SHABIKI kindakindaki wa Simba, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ambaye ni mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro na msanii wa...

READ MORE

Dalali Amaliza Kazi, Akilimali Augua Dar

HASSAN Dalali ambaye ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika Simba, anasema; “Yanga tumewafunga kabla ya mechi kuchezwa, wana hofu, hivyo tunahitaji...

READ MORE

SPOTI XTRA LAZIDI KUJIPANUA KWA WASOMAJI

KIKOSI kazi cha kampuni ya magazeti ya Global Publishers Ltd, leo kiliingia tena mitaani kulinadi gazeti la Spoti Xtra ambalo...

READ MORE

REKODI YA KAGERE YAIFUNIKA YANGA

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda Meddie Kagere ndiye anayeubeba mchezo wa Simba na Yanga unaotarajiwa kupigwa Jumapili ijayo.   Kagere ndiye...

READ MORE