×

Spoti Xtra

Mazoezi Ya Simba Usipime, Yawekewa Ulinzi

BAADA ya Simba kubaki jijini Dar na kuweka kambi katika Hoteli ya Sea Scape iliyopo Mbezi Beach, jana Jumatano kikosi...

READ MORE

SPOTI XTRA LAZIDI KUWASHIKA MTAANI – VIDEO

  TIMU-kazi ya wachapishaji wa gazeti la SPOTI XTRA, mapema leo imezama tena mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es...

READ MORE

Zahera Amtuma Tambwe Aichinje Simba

  KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa anataka mshambuliaji wake, Amissi Tambwe aonyeshe uwezo wa juu kama alivyofanya kwenye...

READ MORE

Mbunge Awapa Yanga Ushindi

MWANACHAMA na mpenzi wa klabu ya Yanga ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amesema kuwa haoni sababu zozote...

READ MORE

Zahera Aanza Na Makambo Morogoro

YANGA jana Jumatano walianza kambi yao mkoani Morogoro chini ya kocha wao mkuu, Mwinyi Zahera kwa kujiandaa na mechi dhidi...

READ MORE

SPOTI XTRA LAENDELEA KUKIMBIZA SOKONI

GAZETI  jipya na bora la michezo la Spoti Xtra leo limeendelea kukimbiza mitaani ambapo wasomaji kwenye kona mbalimbali za Jiji...

READ MORE

MIAKA 13 YA MAMBO USIYOJUA YA MESSI

  MASHABIKI wa soka duniani walisherehekea mwezi huu wa Septemba, mwaka huu miaka 18 ya kung’ara kwa miongoni mwa mastraika...

READ MORE

Waliopigwa ‘Stop’ Yanga Kukiona Chamoto

SPOTI Xtra limejiridhisha kwamba wachezaji wanne waliopigwa stop kwa makosa ya kinidhamu watakatwa mshahara kwa amri ya Kocha Mkuu Mwinyi...

READ MORE

SPOTI XTRA ALHAMISI LAANZA KWA KISHINDO – PICHAZ

HAYAWIHAYAWI hatimaye yamekuwa, baada ya maombi ya muda mrefu ya wasomaji wetu, Gazeti Bora la Michezo nchini, Gazeti la Spoti Xtra leo Alhamisi,...

READ MORE

Zahera Agoma Kuletewa Msaidizi Yanga

KATIKA kuonyesha kweli hataki utani kocha wa Yanga, Mkongo Mwinyi Zahera amesema hahitaji msaidizi mwingine zaidi ya Mzambia, Noel Mwandila...

READ MORE

Simba Yaweka Rekodi Nyingine Bongo

SIMBA imeendelea kuweka rekodi kwa msimu wa pili mfululizo kuwa ni timu ya kwanza kwa kutoa mchezaji bora wa mwezi...

READ MORE

Kisa Mabao, Okwi Ahamishia Mke Ghorofani

STRAIKA wa Simba, Emmanuel Okwi amemleta mkewe na familia yake Jijini Dar es Salaam na watakuwa wakiishi kwenye ghorofa la...

READ MORE

Heritier Makambo: Nipanieni Niwalize

  MSHAMBULIAJI tegemeo wa Yanga Mkongomani, Heritier Makambo amewaambia mabeki wa timu pinzani waendelee kumchezea kwa kum pania, lakini atafunga...

READ MORE

Wachezaji Wawili Simba Wawekwa Pembeni

  WACHEZAJI kadhaa walioachwa wakifanya mazoezi na Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma Jijini Dar es Salaam, huenda wakaikosa mechi...

READ MORE

HATIMAYE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI LATINGA MTAANI – PICHAZ

TIMU nzima ya wafanyakazi wa Global Publishers, wakiongozwa na Meneja Mkuu, Abdallah Mrisho, mapema leo wametinga mtaani kulinadi gazeti la...

READ MORE

Wasomaji Wafurahia Bei Mpya ya Sh. 500 ya Spoti Xtra

GAZETI la Spoti Xtra limekuja katika ujio mpya unaohusisha  punguzo la bei  ambapo kuanzia leo (Jumapili) linauzwa kwa Sh. 500...

READ MORE

Kocha Yanga Apiga Marufuku Mafaza

KOCHA mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameweka wazi kwamba hataki ufaza wala kuendekeza umaarufu kwenye kikosi hicho na wachezaji wameanza...

READ MORE

Alikiba: Sikurupuki, Nausoma Mchezo

MSHAMBULIAJI wa Coastal Union ya Tanga, Ali Kiba amewashusha presha mashabiki wake ambao hawajamuona akianza mikikimikiki ndani ya timu hiyo...

READ MORE

Masoud Akabidhiwa Mechi ya Yanga

BAADA ya kugundua umuhimu na ugumu wa mechi ya Yanga, Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems ameianzia mkakati maalum ikiwemo kumkabidhi majukumu...

READ MORE

Kaeni Tayari Kwa Spoti Xtra Jipya, Jumapili na Alhamisi, Tumesikia Kiu Yenu

HILI ni toleo la 39 tangu Gazeti hili liingie mtaani Desemba mwaka jana. Tangu siku ya kwanza tulijipambanua kwamba sisi...

READ MORE

Pata Gazeti Spoti Xtra Kila Jumapili, Alhamisi Kwa Sh. 500 Tu

KUANZIA Septemba 16, 2018,  Gazeti la michezo la Spoti Xtra litakuwa likitoka kila Alhamisi na Jumapili na litauzwa kwa Tsh...

READ MORE

PIKIPIKI YA 11 TUSUA MAISHA NA GLOBAL YAENDA TUKUYU

Ndagha fijho! Hivyo ndivyo alivyosema mshindi wa pikipiki katika droo ya 11 ya Shindano la Tusua Maisha na Global, Bolen...

READ MORE

Hans Pluijm Awazuga Simba

MHOLANZI anayelipwa Sh.22.7Milioni kwa mwezi na Azam, Hans Pluijm ameweka wazi kuwa ubingwa wa msimu huu si kipaumbele cha waajiri...

READ MORE

Zahera: Nileteeni Kocha wa Simba Djuma Yanga

  YANGA wanafikiria kumpa ofa Kocha mwenye mbwembwe mazoezini, Masoud Djuma kama Simba wakikubaliana kumpiga chini.   Lakini Kocha wa...

READ MORE

Mzee Akilimali Aanza Na Fei Toto

MWANACHAMA maarufu wa Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali ametamba kwamba kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ni bonge la...

READ MORE

Makambo Agundua Pakuwabana Simba

YANGA wamesikia kejeli za Simba wanaowatania kwamba jina la Wakimataifa limekufa rasmi kwavile mwakani hawana chao, lakini Kocha Mwinyi Zahera...

READ MORE

Chama: Nakuja Na Moto Wa Hatarii

MARA baada ya kibali chake kupatikana, kiungo mchezeshaji wa Simba ambaye ni raia wa Zambia, Claytous Chama amesisitiza kwamba anakuja...

READ MORE

Kagere Afichua Siri Ya Kufumba Jicho

  STRAIKA mkali kwa mabao ya vichwa, Meddie Kagere ambaye mtindo wa kushangilia kwa kufunika jicho moja umewafurahisha mashabiki amesisitiza...

READ MORE

Lazima Simba Wajifunze Kuheshimu Timu Nyingine

SIMBA imeanza Ligi Kuu Bara kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Prisons. Hii mechi ilipigwa kwenye Uwanja wa Taifa...

READ MORE

Man Utd Ina Kibarua Kizito

MANCHESTER United itakuwa inasaka ushindi wa kuwasahaulisha mashabiki wake na kipigo cha Brighton & Hove Albion wakati watakapoikaribisha Tottenham Hotspur...

READ MORE

Arsenal Wameanza Ligi Yawachapa West Ham Mabao 3-1

WAKATI Man City wakitoka sare ya bao 1-1 na Wolves, Arsenal wenyewe walirudi kwenye mbio za ushindi baada ya kuwachapa...

READ MORE

Yanga Itawafanyizia USM Algiers, Manji Arejea Kwa Kishindo

HURUMA ya kugawa pointi na kung’ang’ania mkiani mwa kundi D la Kombe la Shirikisho kumeifanya Yanga iwe timu ya kwanza...

READ MORE

Yanga Yapata Vikosi Vitatu Moro

MASHABIKI wa soka bado hawajakiamini kikosi cha Yanga, lakini Mwinyi Zahera amewaambia kwamba kambi ya Morogoro imempa vikosi vitatu ambavyo...

READ MORE

MO ALETA MAJEMBE MAWILI HATARI

SIMBA inayoanza mashindano ya Kimataifa Novemba inataka kufanya balaa lingine kwenye usajili wa dirisha dogo linaloanza mwezi huo. Wamekaa chini...

READ MORE

Mkude Atamka Atakachomfanya Chama

UWEZO wa kiungo mshambuliaji wa Simba, Mzambia, Clatous Chama umewafurahisha mashabiki wengi wa soka, lakini Jonas Mkude amekiri kwamba mchezaji...

READ MORE

Yanga Kuwasha Mitambo Yake Leo Moro

YANGA itawasha mitambo yake kishikaji leo Jumapili mjini hapa kwa kuwatambulisha kwa mara ya kwanza wachezaji wao wapya saba kwenye...

READ MORE

Yanga Yakumbana na Aibu ya Mwaka CAF

KWA mujibu wa rekodi za ndani za CAF, Yanga inachodai sasa ni Sh.Milioni 311 tu baada ya awali kupewa advansi...

READ MORE

YONDANI APEWA RUNGU YANGA

  BENCHI la ufundi la Yanga, chini ya Kocha Mwinyi Zahera limempa mamlaka beki Kelvin Yondani kuwa mchezaji kiongozi ndani...

READ MORE

JB ANAJISIKIA RAHA SANA YANGA IKIFUNGWA

Muigizaji mkongwe nchini Jacob Stephen  ‘JB’ amefunguka kuwa raha yake kubwa siku zote ni kuona Simba inamfunga Yanga na si...

READ MORE

Okwi Awaaibisha Waarabu Uturuki, Video Ya Bao Lake Ipo Hapa

EMMANUEL Okwi jana Jumamosi alifunga mabao mawili na kuipa ushindi wa kwanza Simba tangu ilipotua Uturuki wiki mbili zilizopita.  ...

READ MORE