Sauli Henry Amon. Richard Bukos na Issa Mnally, UWAZI Dar es Salaam: Majengo ya ghorofa zaidi ya sita ambayo hayajaendelezwa...
READ MORENa Mwandishi Wetu, UWAZI KUFUATIA kutumbuliwa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga (pichani) wiki iliyopita, watu wanaojihusisha na...
READ MOREKijana Noel Lazaro akiugulia. DAR ES SALAAM: Kijana mmoja mwenyeji wa Kijiji cha Mangamba mkoani Mtwara, Noel Lazaro (26) amelalamika...
READ MOREStori: Mwandishi Wetu MEI 21, mwaka huu, Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar utaweka historia...
READ MORERecho Steven akiwa na mwanaye baada ya kutelekezwa. Na Gabriel Ng’osha, UWAZI Dar es Salaam: Wanaume katili! Mwanamke aliyejitambulisha kwa...
READ MOREWiki iliyopita tuliwaletea maswali na majibu ya Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khamisi...
READ MOREEugenia Philipo enzi za uhai wake Na Johnson James, UWAZI MWANZA: Vilio, majonzi, simanzi na sintofahamu bado vimetawala kwenye Kitongoji...
READ MOREAmina Ahmad. Na Imelda Mtema, UWAZI Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Amina Ahmad (45) mkazi wa Magomeni Chama jijini...
READ MORENI Jumanne nyingine yenye neema ya Mungu. Kwa neema yake tunaishi, kwa neema yake tupo na afya. Ni jambo la...
READ MOREBenard Paul ‘Ben Pol’ Stori: Mwandishi Wetu Mwanamuziki wa RnB Bongo, Benard Paul ‘Ben Pol’ hivi karibuni alimfanyia ‘sapraizi’ Mwanamuziki...
READ MOREKituo cha Afya cha Mbagala Rangi Tatu kilichopo wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, baadhi ya watumishi wake wamelalamikiwa kwa...
READ MOREAika na Nahreel wa Navy Kenzo. Stori: Boniphace Ngumije Kundi la muziki linaloundwa na wapendanao wawili Aika na Nahreel ‘Navy...
READ MORERais Dk. John Pombe Magufuli. Na Elvan Stambuli, UWAZI DAR ES SALAAM: Tamko la Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’...
READ MOREShaibu Selemani Dadi ‘Babu Chinga’ enzi za uhai wake. Issa Mnally na Richard Bukos, UWAZI DAR ES SALAAM: Ni shetani...
READ MOREMambo vipi shoga yangu. Na kwa wewe Muislam umejiandaaje na mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani? Baada ya salamu napenda...
READ MOREChimbuko la bamia ni Ethiopia kisha ikaenea duniani kote. Unafahamu kwa kula bamia unaweza ukawa umejiondoa katika hatari ya kupata...
READ MOREUgonjwa wa kisukari kitaalam unaoitwa Diabetes Mellitus hutokea pale tezi kongosho au Pancrease inaposhindwa kutengeneza homoni au kichocheo aina ya...
READ MOREMungu Ibariki Afrika ni jina la Wimbo wa Taifa wa Tanzania. Asili yake ni Wimbo wa Nkosi Sikelel’i Afrika wa...
READ MORENSU ni herufi zinazotumiwa kuelezea magonjwa ya bakteria yanayoathiri mfereji wa kupitisha mkojo yaani Urethra kirefu chake ni Non Specific...
READ MOREBarakah Da Prince Stori: Boniphace Ngumije MKALI katika gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’ amefunguka...
READ MOREMiti iliyokuwa imesimikwa kwa ajili ya kutundika nguo kama inavyoonekana. Eneo la Mataa ya Ubungo walipokuwa wakiuzia nguo machinga baada...
READ MOREStori: Andrew Carlos BENDI kongwe za Muziki wa Taarab zikiwemo TOT, Zanzibar Modern, Muungano na nyingine kibao zinatarajiwa kukutana pamoja...
READ MORETimbwili likazua balaa. Stori: Francis Godwin, UWAZI IRINGA: ‘Jaribu la mtu si kwamba kaomba, bali ni kikombe tu lazima akinywe’,...
READ MOREMchungaji Berthania Simon akihubiri huku akiwa amepanda juu ya migongo ya waumini. Stori: Gabriel Ng’osha, UWAZI DAR ES SALAAM: Yule...
READ MOREKamanda wa Kitengo cha Kupambana na Kudhibiti Madawa ya Kulevya, ACP Mihayo Msikhela Na Makongoro Oging’, UWAZI Dar es Salaam:...
READ MOREHerry Mussa Yangealiyenaswa na ‘unga’. Stori: Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: Hii ni funga kazi sasa! Kuna habari kwamba,...
READ MOREKamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, ACP Bonaventura Mshongi Stori: Makongoro Oging’, UWAZI PWANI: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,...
READ MOREEluedi Misheto akiwa hospitali baada ya kujeruhiwa na mwalimu huyo. Stori: Issa Mnally na Makongoro Oging’, UWAZI PWANI: Wanafunzi wa...
READ MORESpika Job Ndugai. MUNGU ni mwema na ndiyo maana tupo hai leo kwa neema yake. Baada ya kusema hayo niwasihi...
READ MORESabrina Gharib binti anayefanya kazi kwa vitendo kimasomo kwenye Mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Tumbi Kibaha mkoani Pwani. Stori: Elvan...
READ MOREAli Khatib Haji ‘Shkuba’. Stori: Hashim Aziz na Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: Kufuatia kuendelea kushikiliwa kwa kigogo anayedaiwa...
READ MOREKamanda Mstaafu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. Stori: Ojuku Abraham, UWAZI DAR ES SALAAM: Kamanda...
READ MOREKisika Wambura akiwa na simanzi baada ya kufiwa na mkewe. Stori: Gregory Nyankaira, UWAZI MARA: Mkazi wa Kijiji cha Mwikoro,...
READ MOREHebu vuta picha! Mawaziri kibao kutoka nchi mbalimbali duniani pamoja na wadau wengine, wapo kwenye mkutano muhimu wakijadiliana kuhusu mambo...
READ MOREMwanamuziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Nyange ‘Dayna Nyange’. Stori: Boniphace Ngumije MWANADADA anayefanya poa kwenye gemu la Muziki wa Bongo...
READ MOREJiji Zima la London lilivyoteketea kwa moto. Hebu vuta picha! Moto unaanzia kwenye jiko moja la kuchomea mikate kisha unashika...
READ MOREStori: Andrew Carlos, UWAZI MSHINDI wa king’amuzi cha Ting katika Droo ya Tatu ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba inayoendeshwa...
READ MOREStori: Boniphace Ngumije MKALI wa masauti Christian Bella ‘Obama’ amefunguka kuwa ameumizwa sana na msiba wa msanii mkongwe kwenye gemu...
READ MOREIpo siri kubwa kuhusu Mwenge wa Uhuru ambao hukimbizwa nchi nzima. Wapo wanaodhani kwamba aliyeleta mabadiliko katika nchi kwa kuanzishwa...
READ MORE