The House of Favourite Newspapers

CHADEMA: Rais Magufuli Arudishe Katiba ya WARIOBA – Video

Baraza la Wazee la Chadema limemtaka Rais Dkt. Jon Magufuli kuirudisha Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo mchakato wake ulianza wakati wa uongozi wa awamu ya nne chini ya Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

Comments are closed.