The House of Favourite Newspapers

Championi yatoa tiketi Taifa

0

Afisa Masoko wa Global Publishers, Yohana Mkanda (kushoto) akimkabidhi tiketi  ya kuingilia mchezoni Timoth Mwamakula wa Mwembe Yanga

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Yohana Mkanda (kulia)  akimkabidhi tiketi Daudi Kazeze mkazi wa Tandika, Dar.

SAMSUNG CAMERA PICTURES
David mkazi wa Mwembe Yanga, Dar akinunua Gazeti la Championi kutoka kwa Theresia Jiliani.
SAMSUNG CAMERA PICTURES
Hassan Pachengo akinunua nakala ya Gazeti la Championi kwa ajili ya kujishindia tiketi ya kwenda kuona mechi ya Yanga na Medeama leo.

SAMSUNG CAMERA PICTURES

David mkazi wa Mwembe Yanga, akinunua Gazeti la Championi kutoka kwa Theresia Jiliani.

SAMSUNG CAMERA PICTURES
Nuru Nassor mkazi wa Temeke akinunua Gazeti la Championi kwa ajili ya kujishindia tiketi ya kuangalia mechi ya Yanga na Medeama leo.
Leave A Reply