The House of Favourite Newspapers

Championship Kinapigika Leo Na Mkwanja Ni Wakutosha

0

Ligi daraja la pili nchini Uingereza maarufu kama Championship itaendelea ijumaa ya leo na michezo mbalimbali itakwenda kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, Huku mteja wa Meridianbet ukiwa na nafasi ya kujipigia mkwanja wako wa kutosha.

Kuhakikisha kua kipindi hichi cha sikukuu wateja wa Meridianbet hawakai kinyonge mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamekua wakimwaga Odds za kutosha katika michezo inayoendelea kipindi hichi cha sikukuu na kufanya suala kupigwa mkwanja kua jepesi.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Vinara wa Championship klabu ya Leicester City watashuka dimbani leo baada ya kutoka kulazimishwa sare katika mchezo uliopita dhidi ya Ispwich Town, Leo watakua ugenini kukipiga dhidi ya klabu ya Cardiff City.

Southampton ikiwa moja ya timu inayofanya vizuri kwenye Championship wakiwa nafasi ya tatu leo watakua nyumbani katika dimba lao la St.Marrys kuikaribisha klabu ya Plymouth Arygyle, Mchezo huu utakua muhimu kwa Sotton katika namna ya kutafuta nafasi ya kukaa kileleni.

Mchezo mwingine mkali wa Championship ambao umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet ni kati ya klabu ya Ispwich Town wanaokamata nafasi ya pili kwenye ligi hiyo ambao watakua ugenini kukipiga na klabu ya Queen Park Rangers.

Bonge la mechi kwenye Championship litakwenda kupigwa katika dimba la Hawthorns ambapo klabu ya West Bromwich Albion walioko nafasi ya tano kwenye msimamo watakua nyumbani kuwakaribisha Leeds United inayokamata nafasi ya nne, Huku Leeds wakiwa wametoka kupoteza mchezo uliopita hivo unatarajiwa kua mchezo mkali kwelikweli.

Michezo yote inayokwenda kupigwa leo kunako ligi daraja la pili maarufu kama Championship nchini Uingereza imepewa ODDS KUBWA ambazo zitampata fursa mteja wa Meridianbet kuendelea kufurahia msimu huu wa sikukuu, Kwani ukiweka mkeka wako maokoto ni nje nje.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave A Reply