The House of Favourite Newspapers

Dada Mrembo Alivyoibuka Na Milioni 5, Za Tigo ‘Magifti Dabo dabo’ Moshi

0

Meneja Mauzo wa Tigo mkoa wa  Kilimanjaro, Silas Mkuyu (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi, Dada mrembo Loveness Hidana ambaye ni mfanyabiashara wa nguo za watoto, mkazi wa Moshi Mjini baada ya kuibuka mshindi kwenye Kampeni ya Magifti Dabo dabo inayoendelea nchi nzima kwa watumiaji wa huduma za kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo. Huduma hizo ni pamoja na kufanya miamala mbalimbali, kuongeza salio kupitia tigo pesa au vocha za kukwangua, kufanya malipo mbalimbali kama vile kulipa bili, malipo ya kiserikali na huduma nyinginezo. Hafla hiyo ilifanyika Mjini Moshi, Jana.     

Leave A Reply