The House of Favourite Newspapers

Jiunge na Chapride Ufurahie Huduma Bora na za Uhakika za Usafiri wa Kimtandao

0

 

🚕 Chapride ndiyo habari ya mjini! Safiri kwenda sehemu yoyote unayotaka ndani ya Jiji la Dar es Salaam kwa usafiri wa Chapride, kampuni mpya ya huduma za usafiri kimtandao pamoja na huduma nyingine nyingi.

Si hivyo tu, ikifika wikiendi, kutakuwa na OFA maalum ya kuwarejeshea nauli wateja 100 wa kwanza watakaofanya safari isiyozidi nauli ya Tsh 10,000/=

Ili kufurahia Ofa hii download app yetu ya Chapride usafiri wikiendi hii tukurudishie nauli yako.

💥Kujiunga, download App ya Chapride kupitia Playstore au Appstore:

ANDROID: Chapride Driver App

IOS: Chapride Driver App

Simu:+255620817304
#chapride
#chapridetanzania
@chapridetz

Leave A Reply