The House of Favourite Newspapers

Cheka Apigwa Kwa ‘Knock Out’ na Dulla Mbabe ( PICHA +VIDEO)

Bondia Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ (wa pili kulia)makitangazwa mshindi baada ya kumpiga kwa ‘knock out; Francis Cheka usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa PTA Sabasaba  jijini Dar es Salaam.
Dulla Mbabe akiongea na mashabiki (hawapo pichani) wake kuhusu ushindi wake.
Mashabiki wakiwa Ukumbi wa  PTA Sabasaba katika pambano la Dulla Mbabe na Francis Cheka.
Dulla Mbabe (kulia) akimpa makonde ya nguvu Francis Cheka.
Francis Cheka akiwa hoi baada ya kupigwa kwa ‘knockout’ raundi ya sita.
…Akipata upepo baada ya kichapo.
Rais wa  chama cha Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO-Limited) Yasin Abdallah ‘Ustaadh’ akiongea jambo wakati wa pambano hilo.

Usiku wa kuamkia leo Jumapili, bondia Francis Cheka alichezea mkong’oto kwenye pambano lake na  Abadallah Pazi aka Dulla Mbabe katika Ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es Salaam kuwania Ubingwa wa Dunia wa WBF.

Cheka amepigwa kwa Knock Out raundi ya sita.

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL

Comments are closed.