The House of Favourite Newspapers

Chelsea Mabingwa Rasmi wa EPL 2016/2017

0

Antonio Conte akipeperushwa.

Goalkeeper Thibaut Courtois akifurahia ushindi.

Chelsea wakicheza ugenini wamechukua ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya kupata ushindi wa 0-1 dhidi ya West Brom.

Michy Batshuayi akitupia kambani.

Goli pekee lililoipa ushindi Chelsea lilifungwa na Michy Batshuayi katika dakika ya 82.

Michy Batshuayi akishangilia bao lake la ushindi na la Ubingwa wa EPL kwa Chelsea.

Gary Cahill

Chelsea wakicheza ugenini wamechukua ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya kupata ushindi wa 0-1 dhidi ya West Brom.

Conte na vijana wake.

Goli pekee lililoipa ushindi Chelsea lilifungwa na Michy Batshuayi katika dakika ya 82.

Kapteni John Terry  na wachezaji wenzake wakishangilia ubingwa.

Huu ni ubingwa wa mara ya tano wa EPL kwa Chelsea.

Mchezaji wa Chelsea wa msimu, N’Golo Kante akirushwa juu.

Tottenham ambao ndio waliokuwa wapinzani wa karibu wa Chelsea katika nafasi ya pili, walipoteza mchezo wao dhidi ya West Ham Mei 5, na hivyo kuifanya Chelsea kuhitaji kushinda mechi mbili kati ya nne zilizosalia.

Pedro akirushwa juu.

Walishinda mechi yao dhidi ya Middlesbrough 3-0 Jumatatu Mei 8, na kukamilisha pointi walizohitaji kuchukua ubingwa kwa kuizaba West Brom siku ya Ijumaa Mei 12.

David Luiz, Diego Costa na Marcos Alonso mob Batshuayi

Chelsea Bingwa EPL, Arsenal & Man U Hapatoshi Top 4

Leave A Reply