The House of Favourite Newspapers

Chid Benz Amilila Director Nisher, “Mmenishtua Sina Taarifa Yoyote” – Video

0

 

Kufuatia kifo cha Mtayarishaji wa video za muziki mahiri, Nic Davie almaarufu Director Nisher, Global Tv imefanya mahojiano na Msanii mkongwe wa Bongo Fleva Chid Benz na kutaka kujua kama taarifa za msiba huo anazifahamu, Chid amedai hakuwa na taarifa hizo.

Chid Benz ameiambia Global Tv kuwa Director Nisher alikuwa mtu poa sana kwani alishawahi fanya naye kazi, na alikuwa mtu wa watu.

Leave A Reply