The House of Favourite Newspapers

Chuo cha KITM Chamwaga Tena Nafasi Mpya za Masomo 2020

0

Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) kilichopo Mwenge na Sinza-Mapambano, jijini Dar es Salaam, chenye usajili wa NACTE No. Reg/ANE/029, anapenda kukufahamisha kuwa usajili wa  muhula mpya wa masomo umeanza kwa ngazi ya diploma (stashahada) na certificate (Astashahada)  kwa kozi mbalimbali.

Leave A Reply