The House of Favourite Newspapers

Comedy Gala Ya Azam Yafunika Jijini Dar

0

KAMPUNI ya uzalishaji wa vipindi na televisheni ya Azam Media leo imemshusha wachekeshaji mashuhuri kutoka nchini Uganda, Teacher Mpamire, MC Pilipili, Dogo pepe, Mau Fundi na Katarina wa Karatu kuwaburudisha mashabiki kwenye tamasha la Sikukuu ya Eid Mosi linalotambulika kama Eid Comedy Gala.

Tamasha hilo limefanyika katika Ukumbi wa King Solomon, Namanga jijini Dar es Salaam leo Sikukuu ya Eid Mosi.

Leave A Reply