The House of Favourite Newspapers

CRDB Sasa Kutoa Mkopo Ndani ya Saa 24, Marejesho Hadi Miaka 7 – Video

MKURUGENZI Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, amesema benki hiyo imeamua kuongeza kiwango cha mkopo kutoka Milioni 50 hadi 100 na pia wameshusha kiwango cha riba kwa wateja wao watakaochukua mkopo ili kuwawezesha kutimiza malengo yao ikiwa ni pamoja na kufungua biashara na vingine vingi.

 

Mbali na hayo, Dkt Mimeo amesema iwapo mtu atawasilisha nyaraka zote muhimu wakati wa kuomba mkopo atapewa ndani ya saa 24 huku muda wa kurejesha mkopo huo kutoka miaka mitano hadi miaka saba.

Fursa Mpya ya Mkopo Iliyotolewa na CRDB Leo

Comments are closed.