The House of Favourite Newspapers

DAR: BASI LA MWENDOKASI LAUNGUA MOTO KIMARA – VIDEO

Basi la UDART maarufu kama Mwendokasi likiteketea kwa moto usiku wa leo, katika kituo cha Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio wameeleza kuwa abiria wote waliokuwemo walifanikiwa kutoka salama.

Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika.

Comments are closed.