Dar Waadhimisha Uhuru kwa Kufanya Usafi

1.Wafanyakazi wa Manispa ya Kinondoni kwa kushirikiana na Askari Polisi wa Osyterbay wakifanya usafi maeneo ya Bamaga-Mwenge.Wafanyakazi wa Manispa ya Kinondoni kwa kushirikiana na polisi wa Osyterbay wakifanya usafi maeneo ya Bamaga-Mwenge.
2..RPC wa WilayaRPC wa Wilaya ya Kinondoni, Camilius Wambura, (katikati) akiwa na baadhi ya vijana wa ‘Dar Laning Club’ ya Kinondoni  kufanya usafi kwenye maeneo ya kituo cha daladala cha ITV kutokea maeneo ya Bamaga.3.Viojana wa Dar Laninh Club wakizoa takataka eneo la kituoc ha daladala cha ITV…Wakizoa takataka eneo la kituo cha daladala cha ITV4.RPC Wambura(Kushoto) akikazana kufanya usaf.RPC Wambura (Kushoto) akiendelea kufanya usafi.5.Barabara ya Bamaga Mwenge ilivyoonekana mara baada ya kufanyiwa usafi.Barabara ya Bamaga-Mwenge ilivyoonekana mara baada ya kufanyiwa usafi.6.Zoezi likiendelea.7.Zoezi la usafi likiendelea.8.Wafanyakazi wa hospitali ya Kijitonyama wakifanya usafi kwenye hospita yao.Wafanyakazi wa Hospitali ya Kijitonyama wakifanya usafi kwenye hospitali yao.

9.Zoezi likiendelea la usafi hospitalini hapo.Zoezi likiwa limepamba moto.

10. Askari wa kito cha Polisi cha Kijitonyama 'Mabatini' akifanya usafi katika maeneo yao.Polisi wa Kijitonyama ‘Mabatini’ wakifanya usafi katika maeneo yao.11.Kauli mbiu ya Hapa Kazi tu ikionekana kuungwa mkono na askari hao.Kaulimbiu ya ‘Hapa Kazi Tu’  ikionekana kuungwa mkono na askari hao.12.Zozi la usafi kituoni hapo likiendelea.Hapa ni usafi tu.12.Zozi la usafi kituoni hapo likiendelea. 13.Akina mama wa kikundi cha Vikoba endelevu akiungana na askari wa kituo cha Kijitonyama kufanya usafi maeneo ya kituoni hapo.Akina mama wa kikundi cha Vikoba Endelevu wakiungana na polisi wa Kijitonyama kufanya usafi maeneo ya kituoni hapo.

WAKAZI wa jijini Dar es Salaam, hii leo wemeadhimisha siku ya mika 54 ya uhuru  kwa kufanya usafi katika mitaa mbalimbali ya huku viongozi  wa serikali na taasisi wakishirikiana na wananchi kusafisha mazingira kwa kauli mbinu ya ‘Hapa Ni Usafi Tu’.

Zoezi hilo limefikia kilele hii leo tokea tamko la  Rais John Pombe Magufuli kuwataka wananchi kufanya usafi kwenye maeneo yao ili kuondokana na magonjwa ya mlipuko kikiwemo kipindupindu.

Kamera ya GPL imepita maeneo mbalimbali ya Mwenge, Bamaga, Hospitali ya Kijitonyama na katika kituo cha Polisi cha Kijitonyama ‘Mabatini’ na kukuta usafi ukiendelea.

NA DENIS MTIMA/GPL

Loading...

Toa comment