The House of Favourite Newspapers

Dar Washerekea Eid El HajjI Coco Beach

0
Wananchi wakisherehekea sikuu ya Eid El Hajji kwa kuogelea katika ufukwe wa Coco Beach uliopo Bahari ya Hindi jijini Dar.
Wafanyabiashara wakiendelea wakiuza bidhaa mbalimbali.
Furaha ya kuogelea ikiendelea.
Ni furaha tupu…
Vijana wakijimwaya kwenye ufukwe huo.
Watoto walikuwa miongoni mwa watu waliofurahia sikukuu hiyo.

Watanzania  leo wamesherekea Sikukuu ya Eid El Hajji katika ufukwe wa Coco Beach uliopo Bahari ya Hindi, Masaki, jijini Dar. Familia zilifika kwenye ufukwe huo kuogelea na kula mishikaki na mihogo inayouzwa kwa wingi sehemu hiyo.

PICHA: ISSA MNALLY | GLOBAL PUBLISHERS

Leave A Reply