The House of Favourite Newspapers

Daraja la Kivule Lakatika Tena – Video

Daraja la Kivule jijini Dar es Salaam limekatika tena kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini.

Popote ulipo unapokutana na tukio ambalo unaweza kulinasa kwa njia ya video ya simu yako, basi usisite kufanya hivyo na kisha tutimie kwa WhatsApp 0753 715 779 (+255753715779). Tunalipa vizuri video za habari na matukio ya kwanza kutufikia.

SHUHUDIA TUKIO HILO HAPA

 

Comments are closed.