The House of Favourite Newspapers

Davido na Mkewe Chioma Wapata Watoto Pacha

0

Staa wa Afropop kutoka nchini Nigeria, Davido na mkewe Chioma wamepata watoto pacha jana Jumatatu majira ya saa tatu usiku.

Taarifa za staa huyo kupata watoto pacha ikiwa ni mwaka mmoja baada ya kumpoteza mtoto wao, Ifeanyi, zimethibitishwa na mchungaji Gospel Agochukwu asubuhi ya leo.

Mchungaji huyo amepost ‘Screenshot’ ya mawasiliano ya meseji kati yake na Davido kupitia WhatsApp, ambapo staa huyo alikuwa akimpa taarifa hizo, ikiwa ni utabiri aliomfanyia mwaka mmoja uliopita.

HATARI! NAGWA ANUSURIKA KUCHOMWA MOTO, KISA WIZI? MKOJANI AMJIA JUU KISA UMBAMBAMBA….

Leave A Reply