Davido Amwaga Sifa Kem Kem Za Mahaba Kwenye Video Mpya ‘Wonder Woman’

Toka kwenye lebo ya ‘DMW’ msanii Davido toka Nigeria ameileta video ya wimbo wake mpya, ‘Wonder Woman’

Audio imetoka siku ya ijumaa Disemba 7 asubuhi na video imeachiwa siku hiyo hiyo mchana.

 

Video imeomgozwa na mwongozaji Twitch.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

Toa comment