The House of Favourite Newspapers

Davido Kuja na Trey Songz

0

davido-soul-train-awardsDavid Adeleke ‘Davido’

MKALI wa ‘hits’ kibao Ikiwemo Skelewu, David Adeleke ‘Davido’ yupo njiani kuja na kolabo na staa wa Muziki wa RnB wa Marekani, Trey Songz.

936full-trey-songz Trey Songz.

Davido kwa sasa yupo Atlanta, Marekani kwa ajili ya kolabo hiyo ambapo hivi karibuni alionekana akijiachia na mkali huyo katika klabu moja ya usiku na kesho yake alitupia kipande cha video kupitia Snapchat yake na kuandika; “Leo ndani ya studio na Prodyuza Shizzi.”

Leave A Reply