The House of Favourite Newspapers

Seyi Shayi atamba kung’aa tuzo za Nea

0

3-Seyi Shay-OnoBello-818MSANII wa kike anayefanya vizuri kwa sasa Afrika, Deborah Oluwaseyi Joshua ‘Seyi Shay’ amefunguka kuwa albamu yake ya Seyi or Shay lazima ibebe Tuzo za Nea mwaka huu ambazo ameorodheshwa katika vipengele viwili; Albamu Bora ya Mwaka akichuana na Tiwa Savage, Yemi Alade, Wande Coal na Falz pamoja na Msanii Bora wa RnB ambapo anachuana na Iyanya, Dare, Praiz, Niyola na Waje.

Seyi-Shay-for-Y-Africa-Magazine-August-2014-BellaNaija.com-01010Akichonga na Ijumaa moja kwa moja kutoka Nigeria, Seyi aliongeza kuwa anategemea kunyakua tuzo hizo kwa sababu mapokeo ya albamu yake yalikuwa makubwa zaidi kushinda albamu za wapinzani wake.

“Huu mwaka ni wangu, ninategemea kunyakua tuzo hizo za Nea na sina wasiwasi kabisa juu ya hilo lakini jambo la muhimu ni mashabiki wangu kunisapoti pia,” alimaliza Seyi.

Leave A Reply