The House of Favourite Newspapers

Davina: Shilole ni mwanamke na nusu

0

MSANII wa Bongo Muvi, Halima Yahaya ‘Davina’ amefunguka kuwa anamkubali sana msanii mwenzake Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kwa sababu ni mtu ambaye hafeki maisha, anaishi atakavyo.  Akizungumza na Risasi Vibes, Davina amesema kuwa kwa upande wake kwenye wasanii ambao wanapaswa kuigwa hapa Bongo, Shilole ni mmoja wao.

“Nampenda sana Shilole kwa sababu ni mwanamke ambaye hapelekeshwi na mtu, anaishi yeye atakavyo na si watu watakavyo, siyo mtu wa kwenye mitandao. Unamuona mwingine na laivu anakuwa mwingine,” alisema Davina.

STORI :Khadija Bakari, Risasi

Leave A Reply